simu

  1. Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

    Habari wakurugenzi..! Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika . Hilo swala la kulipa vifurushi naona...
  2. Kununua LUKU kwenye simu kunakaribisha gharama?

    Nimenunua LUKU. Mbali na hela ya LUKU, mtandao wa simu nilioutumia umeripoti kukata malipo ya kuutumia mtandao wao kununulia LUKU. Zamani walikuwa hawaonyeshi makato hayo. Huo mtandao utakuwa umeamua kuwa wawazi zaidi.
  3. Ni sababu zipi zinasababisha HR kutopokea simu au kujibu email baada ya interview?

    Nimefanya interview na taasisi fulani inayojihusisha na maendeleo ya Jamii, cha kushangaza kuna baadhi ya vitu waliniomba niwasilishe nilivyompigia HR simu yake ya mkononi hapokei wala ujumbe hajibu. Je, sio sahihi kwa HR kupokea simu ya mtu aliyemfanyia interview?
  4. R

    Wanaosajili line za Simu wanalipwa commission kutokana na matumizi ya mteja?

    Habari wakuu, Huwa najiuliza hawa vijana wanaozunguka mitaani wakiuza line za mitandao ya Simu wanafaidikaje? Wanafaidika tu kwa kuuza line walizonunua kwa bei ya jumla au baada ya kumsajili mtu huwa wanapata commission labda kila mwezi kulingana na matumizi ya mteja? Wenye kufahamu tafadhali...
  5. K

    Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Amani iwe kwenu! Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati yaani kwa kimombo wanasema stategic managment is about formulation, implementation and Review /...
  6. Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  7. Zitto Kabwe aliwahi kupinga kodi ya laini ya simu

  8. Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

    Nakumbuka nilikuwa sina sana iyo tabia kiivo na ilipelekea kila mmoja wetu kutokuwa na password katika Simu. Iyo siku shetani alipitia na ndio uhusiano wangu ulivunjika ambao nliuamini ntazeeka nao, Tulitoka kuzika sasa si unajua ukifiwa pole nyingi na unakuwa bize kuzijibu, Tukafika home...
  9. Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
  10. Kampuni ya LG yasitisha uzalishaji wa simu janja

    Kampuni ya LG Electronics leo imesema itafunga Biashara yake ya utengenezaji wa simu janja ambayo kwa takriban miaka sita imepata hasara inayofikia Dola za Marekani Bilioni 4.5 Kampuni hiyo ya Korea Kusini ambayo mwaka 2013 ilitajwa kuwa Kampuni kubwa ya tatu kwa utengenezaji wa simu janja...
  11. Screen Protector kwenye simu ni aina nyingine ya Upigaji

    Hii Simu nilinunua mwezi wa 9 mwaka jana, mpaka inafika mwezi wa 12, nilikua nshaweka screen protector 3 (ya elfu 5, elfu 7 na elfu 10). Ukisahau 100 mfukoni, au ukaichanganya na funguo, unakuta ishapasuka. Nilikua najiuliza sana, inawezekanaje hii gorila glass iwe protected na plastic cover...
  12. U

    Klabu ya Simba yapewa siku 14 kulipa kodi ya ardhi jumla ya Tshs milioni 77

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa Utekelezaji wa agizo hilo...
  13. TCRA: Mawakala wa mitaani ruksa kusajili line za simu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeondoa zuio la kampuni za simu nchini kuwatumia mawakala kusajili laini za simu mitaani. Akizungumza Jumatano Aprili 14, 2021 mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Dk Jabir Bakari amesema mamlaka hiyo imeondoa zuio hilo na sasa kampuni za simu zitaendelea...
  14. Kuhusu vifurushi vya simu asilaumiwe Waziri Ndugulile au makampuni ya simu bali Serikali

    Kwa maoni yangu, Makampuni haya hususan mbabe wa wababe Vodacom, huwezi kuyapa lawama wala Waziri wa Mawasiliano.. kwanini? kwasababu wangekuwa wamefanya kinyume na Serikali inavyotaka wangeshapigwa faini au hata kufukuzwa nchini! lakini kwa upande wa Ndugulile kama angekuwa ni yeye mtaabishaji...
  15. Huduma za fedha za mitandao ya simu zinakwaza sana

    Hizi huduma ni za muhimu sana ila mara nyingine zinaweza kukusababishia usumbufu ambao unaweza kujutia kuzitumia Mara kwa mara nimekuwa nikituma hela kutoka Airtel kwenda TTCL. Kama mara 3 hivi kwa siku tofauti baada ya kutuma pesa unaletewa meseji na Airtel kwamba hela imeenda na unaona kabisa...
  16. Sioni vifurushi vya usiku katika menyu za mitandao ya simu, au navyo ndiyo kwaheri?

    Habari zenu wanajukwa. Naomba kujua vile virushi vya kuanzia saa sita usiku vilikuwa vinalundo la dakika, sms na mb havipo tangu bei za vifurushi kupanda? kama vipo vinapatikana kwa menyu zipi kwa mtandoa wako unaotumia.
  17. Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi

    Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi Watumiaji wa simu za mkononi bado wameendelea kulia na mabadiliko ya vifurushi vya simu za mikononi ambayo yamepandisha gharama za matumizi. Mabadiliko hayo ya vifurushi ambayo yalifanyika Hivi karibuni yakihusisha makampuni mbalimbali ya simu...
  18. Waliowahi kununua simu kikuu online tupe matokeo ya simu hizo

    Habari, Ebana nataka kujaribu kununua simu kikuu online. Naomba aliewahi kununua kwa njia hiyo anijuze ni nzuri au zinakuwa famba.
  19. Kuna nini kinafanyika kwenye huduma za kifedha za mitandao ya simu?

    Jana nilitaka kufanya muamala kutoka M-PESA kwenda Tigo Pesa ikawa inakataa, mpaka hapo asubuhi ya leo nilipoamua kuwapiga. wakasema wanatengeneza! Hayaa, nimeingia leo kuperuzi Facebook nimekutana na tangazo la Tigo nao TIGO PESA yao haipo hewani. Nimeingia JF nakutana na TTCL nao na huduma...
  20. R

    Mitandao ya simu bado wamegoma kurudisha vifurushi vya zamani, DG TCRA nadhani nawe hapo hapakutoshi, ukimzingua atakuzingua

    Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote. Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…