simu

  1. Simu Yako Inakutawala? Hizi Hapa Dalili 7

    Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control) Unafikiri unaitawala simu yako. Hapana. Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya bure. Hizi ni dalili 7 zinazoonyesha umekabidhi maisha yako kwa screen na ukaita “connection,”...
  2. SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  3. M

    Kuna mwamba huko TikTok amebomoa bei za vioo vya simu, wafanyabiashara wamemkasirikia, wateja wanamfurahia, kosa lake ni lipi?

    Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu , Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara, sasa kosa lake lipi.
  4. Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
  5. M

    Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

    Hodi wana jamvi, Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana...
  6. Alie karibu na popoma ampokonye simu

    Sio kila muda unapswa ku-post vitu, hata akijsikia kuoga ana post. Either jamaa yuko disturbed au stressed. Dude has been posting shxxt vigorously
  7. Pata charger simu yako na abiria wako walio seat ya nyuma kwa bei poa

    🔥 CAR USB CHARGER (FAST CHARGING 48W) 🔥 Chaji simu zako kwa haraka na urahisi! Ina ports 6 (Type-C + USB) – unaweza kuchaji abiria wa mbele na wa nyuma kwa wakati mmoja 🚗⚡ Waya mrefu (1.5M) unawafikia hadi waliokaa nyuma Inafaa kwa simu zote na vifaa vingine 💰 OFa: 30,000/= tu 📍 Arusha Town 📞...
  8. Watumiaji wa Samsung kuna feature 5 zinakuja kwenye simu yako hata hivyo

    Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana. Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps, mipangilio ya simu, ufanisi, stability pamoja na security kwa ujumla. kama unatumia Simu ya Samsung Kuna...
  9. O

    Finance Bill 2026: Serikali Yalenga Mitumba, Simu na Magari — Je, Mwananchi wa Kawaida Ataumia Zaidi?

    Finance Bill 2026 imeleta mjadala mkali sana miongoni mwa Wakenya, especially kwa sababu inagusa vitu za everyday life kama mitumba, simu na hata juice. Serikali inasema hii ni njia ya kuongeza revenue, lakini wananchi wengi wanaona mzigo unaongezeka. Kwa mfano, wafanyabiashara wa mitumba sasa...
  10. Matatizo ya Mitandao ya simu

    Habari wana jf, kuna tatizo kubwa hasa kwa mitandao ya simu usipo tumia line yako ya simu kwa muda flan anapewa mtu mwingne Kwa sababu namba yako ya simu si namba tu tena. Imeunganishwa na akaunti yako ya benki. Barua pepe yako. Akaunti zako za kazi. Maisha yako binafsi. Mara tu namba hiyo...
  11. Viongozi wa CHADEMA kemeeni tabia za wafuasi wenu za kutukana viongozi wetu kupitia namba za simu

    Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja. Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili...
  12. Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

    Kama unadhani simu aina ya Samsung ni simu ya kawaida subiri kioo kipasuke ndo utanielewa namaanisha nini. Kioo kikipasuka na ukataka kuweka kingine, bei inaweza kuwa nusu ya au zaidi pesa uliyonunulia simu, Kwa hiyo kama unamiliki simu aina ya samsung jipige kifuani sema mimi ni shujaa, Wale...
  13. M

    PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
  14. Responded HOJA Hivi kwanini TANESCO wasiwe wanakopesha Luku mteja anapohitaji kama inavyofanya Mitandao ya Simu🤔

    Kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (LUKU) hadi unalazimika kulala giza au kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kuisha. Kwenye Mitandao ya Simu kuna huduma ukitaka kukopa vocha/salio muda wa...
  15. Kuna madhara gani ya kutumia simu zisizopokea new software updates au security updates?

    Kama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027. Je simu kama hiyo na nyingine nyingi zisizopokea updates tena zina effects gani...
  16. Trump: sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ulaya wamekanusha

    Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥 🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: 🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇪🇸...
  17. Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima!

    🚗⚡ KWANINI ABIRIA WAKO WAKOSE CHARGE? Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima! Jipatie Car Fast Charger inayoweza kucharge hadi simu 6 kwa wakati mmoja 🔥 🔌 Type-C + USB (Fast Charging) 📏 Cable ndefu – inafika hadi siti za nyuma 💡 LED ya kisasa inayovutia 👨‍👩‍👧‍👦 Inafaa kwa dereva...
  18. A

    KERO Dar: Usalama duni wa watoto wanaoenda kuogelea Jangwani Sea Breeze Beach, nani anawajibika?

    Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto wamekuwa wakisikia ikitajwa na wenzao shuleni. Nilikubali. Nikawasha gari, mimi na mke wangu...
  19. Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  20. R

    Taja kampuni kama unaijua: Bei ya simu laki 4, kioo kikivunjika gharama yake laki 3 na osheee

    Wakuu, Naona niendelee kutumia infinix na TECNO 😂 😂😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…