simu

  1. Wanaopiga simu Zimamoto kuripoti matukio ya uongo kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Kinondoni, Kamishna msaidizi muandamizi, Salum Mohamed amesema watawachukulia hatua za kisheria wanaosababisha usumbufu kwa Jeshi la Zimamoto. Kamanda huyo amesema kuna raia wamekuwa na tabia ya kuitumia namba ya Zimamoto kuzungumza mambo...
  2. Kwa wenye tatizo la simu kujaa nafasi au inaandika delete file fulani ili kupata nafasi ya kudownload app nyingine usikonde fuata hatua hizi ...

    1.washa simu kisha washa data. 2.Bonyeza settings. 3.Bonyeza apps. 4.kisha zitakuja app nyingi ulizodownload,sasa anza na zile zenye mb nyingi kama WhatsApp, unaibonyeza 5.Bonyeza storage. 6.Bonyeza clear data.kisha sema OK. Halafu back unaingia app nyingine,ukifanya app tano nafasi utapata ya...
  3. Mume amuua mkewe baada ya meseji ya muamala wa pesa kuingia kwenye simu ya mke na kudhani meseji imetoka kwa mwanaume mwingine

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Chalantai wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Tabita Mwanyanje (29), anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na maeneo mengine ya mwili na mumewe Frank Galimoshi (30) kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  4. Jinsi simu za China zinavyowaibia wateja Afrika

    Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na South Afrika. Transsion ambae ni mzalishaji wa simu aina ya Tecno inayoongoza kwa mauzo barani...
  5. Nawafokea: Tafadhali aliyechukua au aliyeokota simu za msaidizi wa Mo

    Naomba tu ukaziwakilishe sehemu husika ili kupata zawadi yako, mimi nimezunguka uwanja mzima hadi kwenye magoli hakuna kitu, 😢 nilijua hiyo ni fursa chap nikaingia kazini kumbe kazi sio rahisi, sa sijui aliziangushia pale pale uwanjani au🤔 ila nimepata wazo ngoja nianzie kutoka hapa uwanjani kwa...
  6. Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu kwa watoto katika shule

    Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu janja ' Smart Phones ', tablet na saa janja ' Smart Watches kwa watoto chini ya miaka 15 katika shule. Serikali ya taifa imekuwa ikitilia shaka uwezo wa wanafunzi kwa maana ya kutegemea vifaa hivi katika masomo yao pia ikionekana kama chagizo la...
  7. PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu

    PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu Halopesa/Tigopesa/MPesa/Airtel Money/T-Pesa/waleti zingine Badala ya watumishi katika sekta za umma na za binafsi kulazimika kutumia akaunti za benki kupokelea mishahara, waruhusiwe kupokelea mishahara na malipo mengine...
  8. Muungano wa Tigo na Zantel utakavyoimarisha huduma za mawasiliano ya simu Tanzania

    Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa wa vijana, Afrika inaongoza katika matumizi ya teknolojia ya simu na programu tumishi maarufu kwa Kiingereza kama apps. Ukuaji wa sekta hiyo unajidhihirisha pia...
  9. Enyi wana-CHADEMA na wapenda haki wote Tanzania tumieni simu zenu kama silaha

    Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha. Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu. Kuweni waangalifu...
  10. C

    Tabia ya kukodolea macho simu za watu

    Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu! Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika! Tuweni wastaarabu jamani
  11. Picha 35623, kwenye simu. Zote unafanyia nini?

    Umefika wakati sasa ndugu zangu tuanze kufahamu matumizi sahihi ya simu, Iweje leo mtu unakuwa na picha nyingi kwenye simu kiasi hiki? Hiyo sasa simu au Camera cha kusikitisha sasa hizo picha zote hakuna jipya. Tubadilike jamani Dunia inatuacha hii, simu km hiyo ikiibiwa sijui itakuwaje.
  12. Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

    Habari za mchana wakuu, natumaini muwazima wa afya, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kununua simu ya kusogeza maisha sasa embu wajuzi wa mambo mnishauri nitapata simu gani kwa hiyo hela?
  13. T

    Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

    Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series. Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya...
  14. Msaada: Nimeibiwa simu

    Nimeibiwa simu hapa nahisi kuchanganyikiwa, natmia kisim kizito kuandika hapa inaskrach balaa nisameheni kwa mwandiko,nahisi nimechanganyikiwa nifanyeje niiipate tena simu yangu? Nimeibiwa simu wakati ambao nimefulia maana cm yng ndo ilikua km jembe kwangu ndo ilikua inanilisha na kuniweka...
  15. iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna simu hata za laki kwa wenye bajeti finyu ila pia kuna simu za gharama kuliko hata iPhone kwa...
  16. T

    iPhone yapoteza nafasi ya kuwa simu namba 1 China. Watu wengi wanahamia Huawei

    China kulikua na Iphone nyingi kuliko nchi yoyote Duniani ila sasa Iphone inapoteza nafasi ya kua simu namba moja China. Watumiaji wengi wa Iphone wanahamia Huawei, Iphone inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa makampuni ya China kama Huawei, One Plus, Oppo, Honor, TCL, ZTE na kadhalika...
  17. Nahitaji namba ya Simu ya Hospitali ya Amana

    Naomba aliye na namba za simu za Amana Hospitali anipatie kwani zilizopo kwenye mtandao hazipatikani. Asanteni
  18. GE2020 NEC yaonya wasimamizi kuzima simu

    WASIMAMIZI wa uchaguzi wa mikoa na wasimamizi wa uchaguzi mkuu ngazi ya wilaya na majimbo, wameagizwa kuhakikisha simu zao zinakuwa wazi katika kipindi chote hadi uchaguzi utakapomalizika na matokeo kutangazwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kadhalika, NEC imewasisitiza wasimamizi wa...
  19. Wallpapers za simu

    Hello mwana JF Wengi wetu tunapata changamoto kupata wallpaper nzuri za simu. Ama tunaweka wallpaper zinazotuumiza macho kwa namna moja ama nyingine au tunatumia wallpaper lakini imekuchosha na hujui wallpaper nzuri ya kuweka... Sasa basi usisumbuke tena kwani tunakuletea wallpaper nzuri...
  20. Msaada wakuu hii simu ina mapepo au?

    Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3. Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha. Na ikijiwasha inaandika tu neno tecno arafu inaganda hivyo hivyo baada sekunde kama kumi hivi inajizima na kujiwasha tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…