silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balozi Albert Chimbindi: Umoja na mshikamano ni silaha ya mtangamano imara wa SADC

    Umoja na mshikamano imeelezwa kuwa ni silaha pekee ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ya kuimarisha mtangamano imara na wenye nguvu, utakaowezesha kufikia malengo yaliyowekwa na jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kikao cha Maafisa Waandamizi wa SADC...
  2. NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine

    Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani ya euro milioni 500. Sweden pia ilitangaza siku ya Jumanne (Agosti 5) kwamba itachangia dola...
  3. Licha ya kumtishia uhai bado yupo na ujasiri na kujiamini na kuwatisha wanao mtisha Je wa mjua ni shujaa Gani anaeogopwa na wenye kumiliki silaha

    Ndugu zangu watanzania, Nimebubujikwa na machozi Leo hii baada ya kuona nukuu iliyo tukuka na kujawa na baraka toka kwa Allah na mtume wetu kipenzi s.w.a huu ya shujaa wetu na kipenzi chetu na mtetezi wa wanyonge wa nchi hii Ndugu zanguni fikilieni hakimu yule anaye simamia kesi ya lisu au...
  4. Kwa nini hakuna biashara ya silaha za nuclear duniani kati ya nchi?

    Kwa nini nchi zinazotengeneza silaha za nyuklia hawauzi hizo silaha kwa nchi nyingine kama wanavyouza silaha nyingine zote?
  5. H

    Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  6. Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.

    Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa. Xinhua|June 24,2025 The weapons and equipment to be displayed in China's Sept. 3 military parade embody the Chinese military's system-based combat capabilities, new-domain and new-quality combat strength and...
  7. Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

    Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi...
  8. Trump asema Marekani itaipa Ukraine silaha hatari na za kisasa huku akimkosoa Putin

    Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kauli "kuu" kuhusu Ukraine hii leo, huku kukiwa na kile kinachoonekana kuzidi kukasirishwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Siku ya Jumapili usiku, Trump alisema kuwa vifaa vya kijeshi "vya kisasa" vitaelekea Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya...
  9. Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  10. Korea Kaskazini sasa ni chanzo muhimu cha silaha kwa Urusi

    Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un, ametoa "msaada wake usio na masharti" kwa Moscow, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya...
  11. Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas awahutubia wakazi wa Gaza!!!

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag: “Hamas haitatia saini mkataba huo. Morag Corridor inawatia hofu. Hawataki...
  12. Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  13. Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  14. Trump aahidi kuipatia silaha Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumatatu kwamba Marekani itatuma silaha zaidi nchini Ukraine. Wiki iliyopita , Pentagon ilitangaza kuwa inasimamisha usambazaji kwa Ukraine, na msemaji wa White House alielezea Jumatatu kwa nini ilifanya hivyo. "Tutawatumia silaha zaidi. Tunahitaji kufanya...
  15. Mjue Mtekaji huyu mahiri duniani: Ameteka watu wengi bila pingu wala silaha!

    Hii sio chit-chat wala chai. Ni habari ya ukweli. Kuna mtekaji mahiri duniani anayewateka watu kwa urahisi kabisa bila vitisho wala silaha. Mtekaji huyu ameteka mamilioni ya watu, wazee kwa vijana, maskini kwa matajiri, na hata wasomi wenye PhDs. Ajabu ni kwamba anaowateka hawalii, wanacheka tu...
  16. A

    Hezbullah haitasalimisha silaha zake chini ya vitisho vya Israel

    Mkuu wa Hezbullah anasema kundi la Lebanon bado liko wazi kwa amani, lakini halitasalimisha silaha zake , hadi pale Israel atawacha mashambulizi yake ya anga na kuondoka kusini mwa Lebano, pia walio ahidi USA na Saud Arabia kuijenga Lebanon na kuwachiwa mateka wote wa Lebanon Mkuu wa Hezbullah...
  17. War zone: Chambuzi mbalimbali za silaha na vifaa vita

    Tuzichambue hizi ndege mashuhuli na maalum kwa kazi maalum katika uwanja wa vita. Nazileta kwenu BOMBERS: Tu-160M & B-2 Spirit. ~( Bila ushabiki wala upendeleo wa upande wowote) lets beginning. KATEGORI Tu-160M B-2 Spirit KASI mach 2+ (over supersonic) mach 0.9 ( subsupersonic)...
  18. Hizi ndo silaha nne za CCM za kuitawala Tanzania

    Simba na Yanga - hii inatumika kupumbaza Watanzania Taasisi za dini Kama Mwamposa , Shekh kishiki , n.k Bodaboda - hii inajulikana kazi yake ni kuua Viloba na Sungura - hii inajulikana Kazi yake ni kuua uwezo wa Vijana kufikiri vizuri.
  19. Marekani yasitisha usafirishaji wa silaha kwenda Ukraine, Ikulu inasema

    Marekani imesitisha baadhi ya shehena za silaha kwenda Kyiv, Ikulu ya Marekani imesema, huku vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vikizidi kupamba moto. Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka masilahi ya Marekani mbele" kufuatia tathmini ya Idara ya Ulinzi kuhusu "msaada wa kijeshi na usaidizi wa Marekani...
  20. Matangazo ya Online: Siyo Tena Hiari, Ni Silaha ya Maisha ya Kidijitali

    Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya kiuchumi. Zamani biashara ilikuwa ya kupiga kelele sokoni au kuweka bango barabarani. Sasa dunia iko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…