silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

    Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya. Finland ambayo inashirikiana...
  2. Jicho la Mwewe: Kwanini Mataifa mengi seriously sasa yanaelekeza silaha nyingi zaidi Ukraine?

    Mapambano makali zaidi ya kivita yanaendelea Ukraine hasa mashariki mwa nchi, unaambiwa mapigano yaliyoko kule ni zaidi ya movie za kivita , Jeshi la Urusi limeuchakaza mji wa Mariopol lakini kwa sababu ya ushujaa wa jeshi la Ukraine Urusi imeshindwa kuumiliki mji Kwa 💯 hii ni baada ya...
  3. S

    Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  4. Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

    Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
  5. Uchambuzi: Vikwazo vya Urusi vinaweza kuchochea mauzo ya silaha za China kwa Nigeria

    Vikwazo vya Magharibi kwa Urusi na Belarus vinaweza kusukuma Nigeria kuagiza silaha za China zinazoweza kufikiwa zaidi na za bei nafuu Uvamizi wa Februari 24 wa Ukraini uliofanywa na Urusi umevuruga uhusiano wa kisiasa wa kijiografia na kibiashara kote ulimwenguni, kutoka kwa maswala ya kununua...
  6. Die Glockie: Je, ni kweli chombo hiki chenye nguvu ya ajabu, Hitler alikitumia kuunda silaha za ajabu na kufanya time traveling?

    Wasaalam Naam, Miaka fulani hadithi kuhusu ndege zenye umbo la sahani Almaarufu kama UFO (unidentified Flying Object ) zilishamili sana kuliko hata neno lenyewe, na usichokijua ni kwamba hata jina lenyewe lilipatikana kwasababu ya kutokufahamu vyombo hivi vilikuwa vinatoka wapi! Na viko chini...
  7. A

    MUZIKI: SILAHA KUNTU KUELEKEA MEI MOSI HII

    Wanabodi Habari zenu. Kuna watu wengi wanao uwezo wa kutunga nyimbo. Nawaalika watu wote wenye uwezo huo katika uzi huu. Tungeni mashairi yenye heshima na staha kuelekea mei mosi hii(2022). Zimebaki siku chache sana kufahamu mbichi na mbivu juu ya stahiki za wafanyakazi wote hapa Tanzania...
  8. Lazima Tanzania iwe na mpango maalumu wa kutengeneza Silaha za kujilinda

    Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu. Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu. Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa...
  9. M

    Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

    Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!! Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo...
  10. M

    Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

    Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
  11. S

    Maafisa wa Marekani waduwazwa na silaha 'ngeni' za Urusi

    Wanaintelijensia wa Marekani wamesema kuwa Russia inatumia silaha za ajabu nchini Ukraine. Wanainteligensia hao wamebaini kuwa makombora ya balistiki (Iskandar-M short range ballistic missiles) yanayovurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine yameongezewa vionjo au vikorombwezo fulani...
  12. Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  13. Nchi zenye vinu vya nyuklia na silaha za nyuklia humu duniani

    NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine) NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
  14. Albert Einstein: Sijui silaha gani zitatumika kupigana WWIII, lakini lakina zana za mawe na miti zitatumiwa kupigana WWIV

    Dunia inaenda kasi sana, hivyo hivyo technolojia na ugunduzi wa mashine na vifaa mbalimbali. Kasi ya ukuaji wa science na silaha za maangamizi kama atomic bomb wakati uhai wake ulimfanya Albert Einstein kushindwa kujua vita vya 3 vya dunia zitakuwepo silaha gani za kivita. Leo hii AI, defensive...
  15. Hii ndiyo idadi ya silaha za nyuklia Urusi, hali ilivyo mataifa mengine

    Urusi ina silaha ngapi za nyuklia? Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa vinavyosababisha mlipuko wa nyuklia - ingawa hii inajumuisha takriban 1,500 ambazo zimechoka na zinatazamiwa...
  16. Fahamu mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani

    Mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani Kufuatia uvamizi wa Ukraine uliotekelezwa na Urusi, kitengo cha BBC Reality Check mwaka 2018 kiliangazia kule ambapo silaha za kinyuklia zipo na nani anayezimiliki. Huku mkusanyiko mkubwa wa silaha hizo za kinyuklia ukidaiwa...
  17. Y

    Nimeamini ukitaka Marekani ikuheshimu, tengeneza silaha za nyuklia (silaha za maangamizi)

    Hakika nimeamini silaha za maangamizi (nyuklia)ni silaha zinazoogopwa dunia nzima matokeo yake endapo mataifa makubwa yakitumia nadhani ndio mwisho wa sayari hii ya dunia ,kwa kitisho alichokitoa urusi kwa silaha za nyuklia na mataifa ya magharibi ku-surrender ni...
  18. S

    Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  19. S

    Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

    Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imetoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo. Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…