sadc

The Southern African Development Community (SADC) is an inter-governmental organization headquartered in Gaborone, Botswana. Its goal is to further regional socio-economic cooperation and integration as well as political and security cooperation among 16 countries in southern Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

    Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali yenye mahitaji makubwa duniani kwa sasa. Baada ya Waafrika wenyewe kuushindwa huo mgogoro bila shaka...
  2. T

    Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma

    Kama Mkuu wa majeshi ya M23 anavyonukuliwa na shirika la habari la UK, SKY NEWS.... Waasi wa Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kiongozi wa muungano wa waasi unaojumuisha kundi la M23 alisisitiza Jumapili kwamba majeshi ya serikali...
  3. Waziri Kombo Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Mkutano Wa Dharura Wa Mawaziri Wa SADC Organ Zanzibar

    WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA DHARURA WA MAWAZIRI WA SADC ORGAN ZANZIBAR Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Balozi...
  4. Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 11 Desemba, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na...
  5. Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC

    Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa...
  6. Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC-Organ)

    WAZIRI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC (SADC-Organ) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi...
  7. L

    Rais Mwinyi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na serikali wa SADC

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika mkutano wa dharura...
  8. Former Tanzanian Chief Justice, Othman Chande arrives in Mauritius as Head of SADC election mission

    The Head of the Southern African Development Community (SADC) Electoral Observation Mission (SEOM) to the upcoming National Assembly Elections in the Republic of Mauritius, Honourable Mohammed Chande Othman, former Chief Justice of Tanzania, arrived in Port Louis on 4th November 2024. His...
  9. Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
  10. L

    Dkt Mwigulu Nchemba Ammiminia sifa na pongezi Rais Samia kwa kuendelea Kuaminiwa na Viongozi Mbalimbali Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Amemmiminia sifa na pongezi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa kuendelea kubeba imani na kuendelea kuaminika na viongozi wenzake Duniani Kwote. Hii ni...
  11. Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  12. B

    Rais Samia Hassan Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC tarehe 17 Agosti 2024

    Harare, Zimbabwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC unafanyika tarehe 17 Agosti 2024 mjini Harare, Zimbabwe chini ya mada: " Kukuza Ubunifu ili kufungua fursa za ukuaji endelevu wa uchumi na maendeleo kuelekea SADC yenye Viwanda"...
  13. Rais Samia kuhudhuria Mkutano wa 44 wa SADC na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan anatarajia kuhudhuria Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utafakaonyika tarehe 17 Agosti 2024 mjini Harare, Zimbabwe. Rais Dkt. Samia...
  14. Waziri Kombo asisitiza ushirikiano katika kutekeleza mikakati ya kikanda – SADC

    Waziri Kombo asisitiza ushirikiano katika kutekeleza mikakati ya kikanda – SADC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameahidi kushirikiana na Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika kukuza uchumi wa...
  15. Waziri Kombo kushiriki mkutano wa Mawaziri wa SADC, Harare

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Harare, Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika tarehe 13 na 14 Agosti, 2024 Mkutano huo wa Mawaziri ni sehemu ya mikutano ya...
  16. Ripoti: Sheria za Ulinzi wa Data katika nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ni ushindi mkubwa kwa Haki za Kidijitali

    Ripoti kuhusu hali ya haki za kidijitali Kusini mwa Afrika imepongeza juhudi za nchi za ukanda huo kuweka sheria za ulinzi wa data kama moja ya njia za kuboresha haki za kidijitali miongoni mwa wananchi. Ripoti hiyo yenye kichwa “Kulinda Haki za Kidijitali Kusini mwa Afrika: Wito wa Hatua kwa...
  17. E

    KUMEKUCHA!! Kongo DRC Majeshi ya SADC kuwaangamiza M23

    Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili "kuwamaliza waasi wa M23 na kurejesha amani na usalama." SADC ilitangaza hayo katika taarifa yake...
  18. Tanzania yahimiza ushirikiano nchi za SADC katika usimamizi wa Misitu ya Miombo

    Serikali ya Tanzania imezihimiza nchi za ukanda wa SADC kushirikiana katika usimamizi wa Misitu ya Miombo kutokana na umuhimu wake kiuchumi, kijamii na katika uhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 17,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) kwa niaba ya...
  19. Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

    Wananchi maskini wa Msumbiji wanaachwa waendelee kuchinjwa na magaidi ya kiislamu.... SADC wanaondoka. The Southern African Development Community (SADC) military mission in Mozambique (Samim), which was deployed on July 15, 2021 to fight the Islamic insurgents terrorising the Northern Cabo...
  20. Makamu wa Rais, Dkt. Mpango kumwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa SADC Nchini Zambia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi mbili za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…