sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Sababu ya mtandao wa X kuhusishwa na ngono ni herufi X inayotumika kama utambulisho wa Ponografia

    Sababu kubwa inayofanya mtandao wa X uhusishwe na masuala ya ngono au maudhui ya watu wazima ni historia ndefu ya herufi "X" kutumika kama alama au utambulisho wa ponografia na filamu zisizofaa kwa watoto Katika tamaduni nyingi duniani, matumizi ya alama kama "X", "XX", au "XXX" yalizoeleka...
  2. Je, ni sababu zipi huwa zinafanya mtu anayejua kiingereza kuaminika kwa haraka?

    Yaani hapa TANZANIA kama imetokea kiingereza haujui mtu kukuamini inachukua muda sana hata sijui kwanini
  3. Sababu kwa nini Benki hazikopeshi wafugaji kama sekta nyinginezo!

    Wafugaji wengi wana mifugo yenye thamani ya mamilioni ya shilingi, lakini wanapokwenda benki kuomba mikopo wanakutana na vikwazo. Sababu kubwa ni kwamba ufugaji mwingi bado hauna kumbukumbu rasmi za mapato, matumizi, uzalishaji na historia ya biashara. Pia, benki huona hatari ya magonjwa, vifo...
  4. M

    Nguruwe wako hawakui? Sababu inaweza kuwa kwenye lishe! Fahamu suluhisho la kitaalamu

    NGURUWE WAKO WAMEDUMAA? HUU NDIO MUDA WA KUBADILI MATOKEO! Tumia MAX PIG SUPER MEAT โ€“ virutubisho asilia vyenye madini, vitamini na probiotics vinavyosaidia kuboresha ukuaji, afya na ufanyaji kazi wa mwili wa nguruwe. Dozi: 1Kg kwa kilo 500 za chakula. Bei: 30,000/= Tsh kwa 1Kg. Nunua MAX...
  5. Hizi ndo sababu za Sheikh Mziwanda kuchukiwa na kupingwa?

    https://www.instagram.com/reel/DgIbSHlII9E/?avpt=MWlla255ZXE2NTg4Yg==
  6. Dr Slaa anasema aliacha upadre kwa sababu kulitokea wizi ofisini kwake, sasa tumchambue anachokificha

  7. M

    Vitu hutokea kwa sababu

    Kuna mwamba mmoja aligongwa na gari mfupa wa juu wa mkono uloconnect na bega ukachomoka kwenye socket yake sapot ikabak ni ngozi, misuli na tishu zingine. Kwa bahati nzuri ile ajali ilitokea karibu na hospital ya wilaya na ma dokta walikuwa wapo nje wameenda kupata lunch. Wakawahi kumchek jamaa...
  8. F

    Kwa nini waislam wamekaa kimya tu hawalalamiki huku waganga wa kienyeji wanatumia QURAN kwenye ushirikina tena live mitandaoni? Why hawaitetei Quran

    Habari wadau. Nimeona waganga wa kienyeji kadhaa mtandaoni wakiwa na kitabu cha QURAN kwenye ungo na kuweka pia ka mzimu ka kitapeli kanachozunguka kujifanya kana nguvu za kichawi. Wanatafuta wateja mitandaoni na kuwasomea nyota ili kuwatapeli. Kitu kinachonishangaza sioni waislam...
  9. Nandy: Hakuna mtu ambaye atapewa dili la hela nyingi alikatae especially la pombe, isionekane hivyo kwa sababu atajua kwamba tumeongea details

    Mjadala mkubwa umeibuka kupitia klipu ya sauti inayoangazia madai yanayohusiana na dili la mvinyo au pombe linalodaiwa kuhusisha jina la msanii zuchu na Nandy. Inasemekana kuwa Zuchu alisikika akidai dili hilo lilikuwa liende kwake lakini alilikataa kwa sababu ni la mvinyo, huku sauti...
  10. U

    Sababu 13 zinazoonyesha jinsi waislamu wanavyofuata mafundisho ya nabii Issa (Yesu) zaidi kuliko wakristo

    SABABU 13 ZINAZOONYESHA JINSI WAISLAMU WANAVYOFUATA MAFUNDISHO YA NABII ISSA (YESU) ZAIDI KULIKO WAKRISTO 1. Kumuamini Mungu Mmoja. Nabii Issa (Yesu), amani iwe juu yake, alifundisha kwamba Mungu ni Mmoja na ndiye pekee anayestahili kuabudiwa, kama inavyoelezwa katika Kumbukumbu la Torati 6:4...
  11. Kwa nini watu wanaojifanya wana dini ndio wanaongoza kusupport mauaji ya October 29?

    Kama kuna kitu nimenotice ni kwamba comments nyingi zinazosupport mauaji yaliyofanyika October 29 zinatoka kwa watu wenye dini kabisa. Hawa ndio same people watakaokuattack ukisema Mungu hayupo lakini ndio wa kwanza kusupport kuwa serikali ilifanya vizuri kuua watu October 29 Yani mi naona...
  12. Hakuna Mzee wa heshima aliyewahi kuhamia CHADEMA akamaliza mwaka hajarudi CCM. Sisi wajuzi wa siasa tunazijua sababu

    Siwezi kuwataja kwa majina nawaheshimu na kuwapenda sana. Huwa wanachungulia chadema wanarudi speed Nyumbani (CCM) ili kulinda utu, heshima na haiba zao, na wakisharudi Nyumbani (CCM) huwa hawataki kabisa kusikia UTAPELI wa viongozi wa chadema. Juzi hapa kijijini Kuna Mzee kamshitaki mtu Baraza...
  13. F

    Ukweli husiofundishwa kanisani,wa israel sio wakristo wana dini yao ambayo haimtambui yesu kristo na wala huwa hawasali Kanisani. Sababu ni sadaka

    Mafundisho ya kanisa yanamtaja sana Mungu wa israel ila hata siku moja huwezi kuta wanaitaja dini ya Waisrael. Judaism religion Na huwezi kuta kanisa linasema ukweli kwamba wa israel wanamkataa yesu kristo sio masihi na wala sio mwana wa Mungu na wala sio Mungu. Pia huwezi kuta kanisa linataja...
  14. M

    Hufanyi biashara kama hakuna washindani, una Priveledge ! hii ndio sababu wanasiasa na watumishi wengi wakistaafu au kufukuzwa biashara zinawashinda

    It's not business if competition is not allowed. Kama biashara yako haiwezi kuendelea bila uwepo wa madaraka yako, basi hukuwahi kujenga biashara ya kweli. Ulikuwa umejipendelea tu (priveledge) Watumishi wengi wakiwa serikalini hujijengea mazingira ya biashara yasiyo na ushindani. Huanzisha...
  15. L

    Yericko Nyerere: CHADEMA inatakiwa kufa sasa kwa sababu haijui inachopigania kwa sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Soma Hapa Kilichozungumzwa na Mwanachama huyo wa Zamani wa CHADEMA na ambaye alikuwa na ushawishi kwa Viongozi Waandamizi wa CHADEMA Taifa Haya hapa Mazungumzo yake nimeyaleta kama Yalivyo๐Ÿ‘ŽMwanachama wa Chama cha CHAUMMA, Yericko Nyerere, amesema Chama cha...
  16. J

    HOJA Kuimarisha utaratibu wa ajira kwa wauguzi kulingana na kiwango cha elimu

    Naomba Serikali kupitia Wizara ya Afya na mamlaka zinazohusika na ajira za afya zifuatilie changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wa Shahada ya Uuguzi (Nurse Degree). Kwa sasa, nafasi nyingi ambazo zingehitaji wataalamu wenye shahada ya uuguzi zinadaiwa kutolewa kwa wahitimu wa...
  17. Shikilia vizuri ulicho nacho kwa sababu ni ngumu mno kuinuka upya baada ya kuanguka kiuchumi

    Motivational speakers watakuambia "Knocked down? You can stand up"... mwingine atakutolea mifano ya watu walioanguka na kusimama upya na mara nyingi huwa ni watu wa Ulaya na America. Hatakupa mifano ya watu maelfu walioanguka na kushindwa kuinuka upya hadi ile siku wanavuta pumzi ya mwisho...
  18. Kimedani hakukuwa na sababu ya mauaji kiasi kile. Akili yangu inanituma huenda ilikuwa Kafara

    Hamjambo! Bado najaribu kutafakari maamuzi yale makubwa zaidi yenye kuumiza zaidi. Sifikirii kwamba kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kutoa maamuzi ya shoot to kills. Kimedani naona kabisa hayakuwa maamuzi sahihi. Na hayakuwa maamuzi ya lazima. Kuanzia watu wenyewe ambao kimsingi hawakuwa na...
  19. H

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š ๐˜ž๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ณ๐˜ช ๐˜”๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ฏ๐˜ป๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข ๐Ÿ—“๏ธ Novemba 11, 2026 ๐Ÿ“ Segese...
  20. B

    Kenya yafungiwa kote kusafiri sababu Ebola

    10 November 2026 EBOLA ALERT IN KENYA https://m.youtube.com/watch?v=bkqiUh3Z1XY By Mercy Chelangat Africa CDC has called on Saudi Arabia to review its travel restrictions on Kenya, arguing that a country that detects and contains an imported Ebola case should be supported, not penalised. The...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ