Rais William Ruto ametia saini muswada wa Breastfeeding Mothers Bill, 2024, kuwa sheria katika hafla iliyofanyika State House, Nairobi, Alhamisi, Novemba 26, 2026.
Sheria hiyo inalenga kuimarisha haki za akina mama wanaonyonyesha, hasa wale wanaofanya kazi, kwa kuhakikisha wanapata mazingira...