rais

  1. Rais Samia amzawadia gari mpya Mkubwa Fella

    Kuelekea Novemba 29, 2026, katika tukio maalumu la ‘Heshima kwa Mkubwa’, Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemzawadia Meneja Mkongwe wa Bongo Fleva, Said Hassan Mlinge, maarufu kama Mkubwa Fella, gari aina ya Toyota Vellfire. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam...
  2. K

    Hapa Rais wa TLS kaupinga mwingi

    Wakili TV Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amehoji utaratibu uliotumika kumfuta uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ulivyokua na ukakasi bila kufuata utaratibu wa Kikatiba...
  3. Rais Samia: Ma DED wanavurunda sana pesa sana, Fedha zinagaiwa kwa mikoba huko

    Akizungumza wakati wa kuwaapisha viongozi wateule katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Novemba 25, 2026, Rais Samia amesema: "Lakini jingine matumizi ya fedha. Fedha nyingi namsikia waziri mkuu akitembea huko anahoji, fedha zimekwenda wapi? Kwa nini mradi haujatimia? Kwa nini...
  4. Rais Samia: TAMISEMI kuna watumishi wasiofanya kazi kabisa. Fedha zimepelekwa lakini miradi haiendi

    Wakuu Akizungumza na kiongozi aliyemteua kusimamia wizara ya TAMISEMI, Rais Samia amebainisha kuwa licha ya serikali kujaribu kufanya marekebisho mbalimbali katika ngazi za mikoa na wilaya, bado kuna changamoto kubwa ya utendaji kazi kwa Wakuu wa Mikoa (RC), Wakuu wa Wilaya (DC), Makatibu...
  5. Rais Samia: Tumezoea kutoa leseni, mameli ya wageni yanakwenda yanavua, hatujui yamevua kiasi gani

    Rais Samia Suluhu ameiagiza wizara ya Uvuvi kufanya mabadiliko ya haraka katika sera ya uvuvi, hususan wa bahari kuu, ili kukomesha utaratibu wa meli za kigeni kuvua samaki nchini na kuondoka nao bila uwajibikaji wala taarifa kamili za kiasi kinachovunwa. Akizungumza Novemba 27, 2026, wakati...
  6. Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Jijini Dar es Salaam | 27 Novemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/eYm_4HmbPWE Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 27, 2026.
  7. O

    Rais Ruto Atia Saini Muswada wa Akina Mama Wanaonyonyesha, Aagiza State House Kuweka Vyumba vya Unyonyeshaji

    Rais William Ruto ametia saini muswada wa Breastfeeding Mothers Bill, 2024, kuwa sheria katika hafla iliyofanyika State House, Nairobi, Alhamisi, Novemba 26, 2026. Sheria hiyo inalenga kuimarisha haki za akina mama wanaonyonyesha, hasa wale wanaofanya kazi, kwa kuhakikisha wanapata mazingira...
  8. F

    Baada ya Tundu Lissu kuwa kiongozi mkuu hapo mbeleni, nani watamfaa kuiimarisha Serikali yake?

    Haya ni maoni binafsi, natumia uhuru wangu kutoa maoni, kamwe nisieleweke vibaya, ni uhuru wa maoni nilionao kikatiba. Kila mtu ajua kuwa CCM ilikufa rasmi October 29 2025, Sasa muda si muda,Tundu Lissu atakuwa kiongozi mkuu wa wa Tanzania Mungu akipenda. Sasa nauliza mapema,ni watu Gani...
  9. Balile: Tunaomba Serikali itenge Tsh. Bilioni 10 kukopesha Vyombo vya Habari

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeiomba Serikali kuanzisha mfuko maalum wa mikopo yenye riba nafuu wenye thamani ya Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuvikopesha vyombo vya habari nchini. Akizungumza Novemba 26, 2026 katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF), mbele...
  10. Rais Samia anafungua Mkutano wa Tatu wa Kisayansi wa Afya JNICC, Dar es Salaam | 26 Novemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/RHxzTxFUdNE Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifungua Mkutano wa Tatu wa Kisayansi wa Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto Mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe, JNICC jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2026.
  11. Bangi kuwa ruksa CIVILIAN-COIN akiwa RAIS Tanzania, Mishahara ya Wabunge atapunguza kutoka Mil. 12 na kuwa Mil.1 tu.

    Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa RAIS wa Tanzania ataruhusu Watanzania kutumia...
  12. C

    Mwabunguru aibuka Rais mpya wa TUCTA katika uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu

    Licha ya zuio la mahakama Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limefanya uchaguzi na kuwapata viongozi wake wapya huku Shaaban Mwabunguru wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) akitangazwa rais mpya. Uchaguzi huo ulizuiwa na Jaji M.P. Opiyo wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, lakini...
  13. Rais Samia hawezi kukubalika na hatakubalika kwa Watanganyika wenye akili

    Kwanza wanajua kabisa yupo hapo madarakani si kwa sababu watanganyika wanataka awatawale. Pili alipata nafasi ya kuwa raisi kwa namna ambayo kila mtanganyika hadi leo huwa anaona hana uhalali wa kuwa rais wa Tanganyika. Anafanya siasa za kitoto akidhania kuwa Watanganyika ni wajinga na...
  14. R

    Rais Mwinyi ana uchungu na raslimali za nchi yake, Tanganyika anauzwa kila kitu maana anajua hapa siyo kwake/ kwao

    Wwkurugenzi wameiba billion Tsh, amewawajibisha, ila Samia hapa anasema tuwazomee! Hapa ni TANGANYIKA, siyo kwao ya TANGANYIKA hayamuhusu
  15. Rais wa Marekani Trump aseme Neno kuhusu Iran

    Rais wa Marekani Trump kuhusu Iran: Nina mwelekeo wa kuanzisha tena mashambulizi dhidi ya Iran baada ya kuanza kwa mwaka mpya, iwapo hakuna makubaliano yatakayofikiwa. Natumai meli za mafuta za Iran zitajaribu kupinga mzingiro huo. Zote zitajikuta zikiwa chini ya bahari, kama ilivyo kwa Jeshi...
  16. Jeshi la Polisi kufutwa kabisa na CIVILIAN-COIN na kuanzisha DBS ya Wananchi siku akiwa RAIS wa Tanzania

    Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa Rais wa Tanzania atafuta na kuondoa kabisa...
  17. D

    Kwani Samia alichelewa wapi kuwa Rais? Magufuli alipata urais bahati mbaya sana

    Kipindi cha jpm kazi za kujitolra watu walikuwa wanaaply kwa sasa hakuna kitu kama hicho. Ajira sasa hivi kila kona ushindwe mwenyewe. Jpm aliharibu nchi kiasi graduates wanaambiw awawe machinga lakini sasa hivi hakuna graduate machinga wala bodaboda nchii imekuwa tamu
  18. Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika

    Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026)
  19. D

    Makamba: Mradi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba kwa thamani Sh 119bn na urefu wa kilomita 34 ni turufu nyingine Mtwara

    MTWARA: Mradi wa gesi asilia wa Ntorya mkoani Mtwara unaendelea kuwa miongoni mwa miradi muhimu ya kimkakati inayotarajiwa kuongeza upatikanaji wa nishati na kufungua fursa kubwa za kiuchumi nchini Tanzania. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome...
  20. Wazo Mbadala: Rais Samia Aboreshe Tume ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya kwa Kufuta Tume ya Jaji LIla

    Baada ya kusikiliza kwa makini na kuchambua hotuba mbili za Rais Samia, sasa natoa mapendekezo katika hatua tatu. Katika hatua ya kwanza, napendekeza kwamba: majukumu ya "Kamati ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya" yafafanuliwe ili kukidhi matarajio ya wananchi wengi yenye kujikita kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…