Chief Peter Uwadiegwu Ogugua Edochie MON (7 March 1947 – 25 November 2026) (popularly known as Pete Edochie) was a Nigerian actor. He rose to prominence in the 1980s with his portrayal of Okonkwo in a Nigerian Television Authority adaptation of Chinua Achebe's novel Things Fall Apart. He began his career as an administrator and broadcaster and later became a leading actor and has received several honours, including the Industry Merit Award from Africa Magic, a Lifetime Achievement Award from the Africa Film Academy, and the national honour of Member of the Order of the Niger conferred on him in 2003 by President Olusegun Obasanjo.
Muigizaji mkongwe wa Nigeria, Pete Edochie, ambaye ni miongoni mwa nyota wanaoheshimika zaidi katika historia ya filamu barani Afrika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79, familia yake imetangaza.
Edochie alifahamika kwa sauti yake nzito na ya kipekee, uwezo mkubwa wa kuigiza na namna...
Ni habari za kusikitisha kutoka Nigeria. Muigizaji mkongwe wa Nigeria, Chief Pete Edochie, amefariki dunia leo Jumatano, Novemba 25, 2026, akiwa na umri wa miaka 79.
Muigizaji mkongwe na mtangazaji wa Nigeria, Pete Edochie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 baada ya kuugua saratani ya tezi dume kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia yake, Edochie alifariki dunia saa 6:30 usiku (12:30 AM) siku ya Jumatano, Novemba 25, 2026, huko...