nyumba

  1. Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

    Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
  2. Eneo Lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa Kinondoni Msisiri

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs...
  3. Nyumba inauzwa – Mabibo mwisho | inaingiza kila mwezi 🔥

    🏠 💼 FURSA ADIMU KWA WAWEKEZAJI! Unatafuta property ambayo inaleta kipato kila mwezi? Hii ni fursa ya kipekee Mabibo Mwisho, eneo lenye wanafunzi wengi na biashara kubwa. 📐 Kiwanja: 300 SQM 🏠 Vyumba 4 vikubwa vyenye deka (slab), vimegawanywa kwa ajili ya wanafunzi 38 na tayari vinafanya kazi...
  4. A

    KERO Polisi wa Ushirombo Geita wanaokagua nyumba za kulala Wageni wanatengeneza mazingira ya 'upigaji'

    Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA, watakwambia wanataka Kitambulisho cha Mpiga Kura ukiwa na Mpiga Kura wanakuuliza NIDA. Wakikupeleka Polisi...
  5. I

    Mnaokaa nyumba za kupanga (shared) fahamu hili

    Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima...
  6. "Ukikimbia wanakupiga risasi, ukijificha wanachoma nyumba"

    "Ukikimbia kuingia chumbani, wanakichoma moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia, wanakupiga risasi." Watu hao waliojihami kwa silaha, waliofanya shambulio hilo saa nane usiku (saa...
  7. Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  8. M

    Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani mpaka ikamilike? Pamoja na finishing

    Habari wakuu,
  9. Ramani ya nyumba bei nafuu

  10. Waliouwa Oktoba 2025 walikwenda kuzima nyumba ya udongo kutumia gari ya maji ya zimamoto

    Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani. Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka kabisa. Baadhi ya Mali zinaharibika pia. Kuna wakati inaonekana afadhali uache nyumba iungue kisha moto...
  11. Siri nyuma ya namba 666

    Katika kitabu cha Ufunuo 13:16-18 tunasoma, Naye awafanya wote... wapokee chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao... na hesabu yake ni 666. Katika maandiko matakatifu inaonyesha kuwa "alama ama chapa" ina maanisha ishara ya utii na mamlaka ya kiroho juu ya wanadamu...
  12. Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  13. Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
  14. Nyumba iliyokuwa na mgogoro ikidaiwa hati imebadilishwa bila ridhaa ya wahusika yabomolewa Kikuyu Dodoma

    Nyumba hiyo iliyopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension), Plot no 42 Jijini Dodoma imebomolewa Agosti 18, 2026. Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia...
  15. A

    KERO Ucheleweshwa kwa mchakato wa usajili wa hati ya nyumba ya mirathi katika Ofisi ya Usajili wa Hati

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu kucheleweshwa kwa mchakato wa usajili wa hati ya nyumba ya marehemu katika Ofisi ya Usajili wa Hati, Wizara ya Ardhi. Mimi ni msimamizi wa mirathi ya marehemu baba yangu. Nyumba hiyo ipo Kigamboni, Dar es Salaam, ina ukubwa wa SQM 1,122 na hati yake imesajiliwa...
  16. Bashe alimchoma Mpina mbele ya Rais huku nyumba uhalifu ulifichwa?

    Nakosa majibu kati ya Bashe na Mpina nani alikuwa mwalifu? Nimekosea heading!!
  17. Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

    Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu. Nyumba tunazotilia shaka: Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na...
  18. Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  19. G

    Nimeipenda sana hii ramani ya hii nyumba

    Before sijaenda kuilipia niambieni mapungufu yake ? Ili yarekebishwe
  20. G

    NYUMBA HII HAIUZWI

    KUNA CHA KUJIFUNZA HAPA https://youtu.be/P6-WiDCm3QU?si=a0TlslZqFwtu5787 https://youtu.be/leKDEB8NPrA?si=x8u8dpSBmDbUP1Zk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…