nyumba

  1. House4Sale Nyumba yenye maduka 12 inauzwa Kinondoni Road bei billion 3.5 (sqm 1343) phone:+255 719 377 649

    NYUMBA YENYE MADUKA 12 INAUZWA KINONDONI ROAD BEI BILLION 3.5 (SQM 1343) PHONE:+255 719 377 649 ARDHI YA THAMANI INAUZWA! 🏢🏠 Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na Hati safi .
  2. House4Sale Nyumba yenye maduka 12 inauzwa Kinondoni Road, bei bilioni 3.5 (sqm 1,343)

    ARDHI YA THAMANI INAUZWA! 🏢🏠 Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na biashara yenye kipato.
  3. Wafuga Midevu na Majini wauana kwenye nyumba ya IBADA huko Khyber Pakhtunkhwa Pakistan

    Pakistan: Takriban watu 31 wamepoteza maisha, wakiwemo maafisa 16 wa polisi na majeruhi wasiopungui 100, katika shambulio la kujitoa mhanga kwa gari lililokuwa na vilipuzi kwenye msikiti ulioko ndani ya kambi ya polisi ya Kohat (Kohat Police Lines) huko Khyber Pakhtunkhwa wakati wa sala ya...
  4. Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

    Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana. Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.
  5. Natafuta Apartment DSM: Ghorofa, AC, Jiko <300K

    Nataka ni sake apartment kabisa, hiyo 200k sio shida tena kwangu. Labda ni waambie tu. Mazingira unayoishi yanaku shape in subtle ways ambazo wewe mwenyewe huwezi kujua Nataka ni sake apartment, Wajuvi ni ipi bei chee kwa DSM na iwe below 300k yaani iwe ghorofani, iwe na air condition, na...
  6. Aliomba Iphone kwa wapenzi wake 20, kisha akaziuza na kununua nyumba

    Mwanamke mmoja nchini China, aliyetambulishwa kwa jina bandia la Xiaoli, alizua gumzo mtandaoni mwaka 2016 baada ya kuripotiwa kuwa aliwaomba kila mmoja wa wapenzi wake 20 kumnunulia simu aina ya iPhone 7. Kwa mujibu wa ripoti zilizochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari wakati huo, Xiaoli...
  7. Kingai aliyejenga nyumba ya Mungu kijijini kwao kesho anakwenda kuchuma dhambi

    Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
  8. RC Chalamila; Kila nyumba Dar iwe na Dustbin

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi na mazingira yanatunzwa. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Septemba 17...
  9. Fahamu mfumo wa Baraza la ardhi na nyumba la Wilaya

    https://m.youtube.com/watch?v=8Mw7LJ6EwEc&t=1764s[/URL]
  10. Tusiibomoe nyumba kwa sababu ina kasoro, lakini pia tusikatae kuikarabati kwa sababu tumeizoea

    Wasalaam, kuna msemo mmoja ambao naamini una nafasi kubwa sana katika mjadala wa siasa za Tanzania. “Tusibomoe nyumba kwa sababu ina kasoro. Lakini pia tusikatae kuikarabati kwa sababu tu tumeizoea.” Tanzania ni kama nyumba ambayo imejengwa kwa miaka mingi. Ina historia yake, imepitia vipindi...
  11. Haki za mlalamikiwa katika baraza la ardhi na nyumba la wilaya

    https://youtu.be/8SBsWi-SQHE?si=UWsuLLh2v3L1dOzq
  12. Mwenye Nyumba Mkorofi na Majungu Yake

    Baada ya kumlipa pesa yake ya miezi 6,pamoja na hela za taka na maji.. Naona amenikasirikia sana, Huwa anajaribu kujenga mazoea na mm ila namkwepa. Kajaribu mara kibao sana nimkope hela, ila na kataa maana najua ni hatanirudishia na tutasumbuana tu. Sasa majuzi nimekuja na mtoto mkali...
  13. M

    Nyumba Inauzwa

    Habarini za asubuhi wana Jamii Forum Naomba kutangaza Nyumba inauzwa Maeneo ya Fadhili Bucha Kiwanja namba 512 Kitalu C Nyumba ni Mbili kwa Moja (2 in 1) Kila upande zinafanana Sifa ya Nyumba Master bedroom Male Room Female Room Choo Jiko Pande zote nyumba zinafanana Aidha kuna Nyumba ya...
  14. NYUMBA ya KUBOMOA 🔥*INAUZWA*🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI ENEO. *

    NYUMBA ya KUBOMOA 🔥INAUZWA🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI ENEO. (SQM 732) Price Mill 700 maongezi 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #property #realestate #instagram #tiktok #viral
  15. NYUMBA ya KUBOMOA 🔥*INAUZWA*🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI

    NYUMBA ya KUBOMOA 🔥INAUZWA🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI ENEO. (SQM 732) Price Mill 700 maongezi 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #property #realestate #instagram #tiktok #viral
  16. G

    KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
  17. Kwanini mtu anatangaza kwenye Social Media anakodisha Nyumba yake hafu anaiita Airbnb?

    Ili Nyumba/apartment iitwe Airbnb Apartment, ni lazima itangazwe kwenye official platforms za Airbnb (website au App), otherwise ni Nyumba ya kupanga tu. Sahivi ukiingia Insta, Facebook, TikTok watu wanageuza maghetto yao kua ya kupanga na wanayaita Airbnb, ukiwaomba link ya profile yao kwenye...
  18. Kutokea kwa Bikira Maria ukutani kwaleta taharuki ya mahujaji na nyumba kuvunjwa huko Kisii, Kenya!

    Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa...
  19. Kisa: Nilivyo fukuzwa kwenye nyumba niliyo panga kwasababu ya nanii

    Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita..... Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe) walikua wakifanya mambo yao nasikia, ila walikua wanawasha radio kwa sauti ya juu hata usiku wa maneno...
  20. M

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Makabe TZS. 23M

    Mbezi mwisho - Makabe - Kwa Lipelanya . Ni nyumba inayohitaji finishing ndogo ili kuingia . Ukubwa wa kiwanja ni mita 17 kwa mita 18 Vyumba vitatu, sebule, dining, store Shimo la choo, setting ya vyoo, setting ya maji na setting ya umeme tayari Imeshapauliwa tayari madirisha na milango ya grill...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…