nyumba

  1. Hivi kweli hapa duniani kuna mmiliki wa nyumba anaeweza kuwa anaitwa Lupweko?

    Kuna mdogo wetu mmoja Wa mtaani tunampiga tafu kwenye Mambo yake ya shule. Anasoma chuo kimoja maarufu hapa jijini Darusalama.. Mwaka Wa kwanza alipata room. Ila mwaka Wa pili hajapata room. Kwanza kuna mtu alimbeba lakini akaona miyeyusho. So akaona atafute chumba cha kupanga karibu na chuo...
  2. Naomba ushauri: gharama za kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi finishing

    Wakuu, naomba ushauri kutoka kwa watu wenye uzoefu wa ujenzi, hasa wale ambao wamewahi kujenga hivi karibuni. Nina mpango wa kujenga nyumba yenye: Vyumba vitatu vya kulala, kimoja kikiwa Master Bedroom. Sebule. Jiko. Choo na bafu. Ningependa kujua gharama za ujenzi kuanzia kuchimba msingi...
  3. πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! πŸ“ LOCATION: Goba Center πŸ“ UKUBWA: 645 SQM πŸ“œ UMILIKI: Hati miliki ipo πŸ“ VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  4. πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! πŸ“ LOCATION: Goba Center πŸ“ UKUBWA: 645 SQM πŸ“œ UMILIKI: Hati miliki ipo πŸ“ VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  5. πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! πŸ“ LOCATION: Goba Center πŸ“ UKUBWA: 645 SQM πŸ“œ UMILIKI: Hati miliki ipo πŸ“ VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  6. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 25, 2026 mkoani Morogoro.
  7. A

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbweni Teta

    Inauzwa nyumba iliyopo Mbweni, yenye thamani ya TSh milioni 320. Nyumba hiyo ina vyumba vinne vya kulala, vitatu vikiwa na bafu ndani (master bedrooms), jiko, sebule na eneo la chakula (dining). Nyumba ina sakafu ya vigae (floor tiles), eneo la nje lililowekwa lami (pavement), servant quarter...
  8. N

    House4Rent Nyumba ya vyumba viwili mbezi beach

    Nafaulisha vyumba viwili, sebure jiko choo, tanki bovu, umeme maji unajitegemea 400,000, nichek 0712040094, Haina udalali
  9. Bck in the day; Kila nyumba kulikua na photo album.

    Back in the day kila nyumba kulikua na photo album. When a visitor comes unampea anaangalia alafu unakaa kando kumpea caption kwa kila picha. Huu utamaduni bado upo au ndo uliondoka na karne yake?
  10. C

    Brazil: Watu watatu wamefariki dunia na nyumba kuharibiwa kufuatia dhoruba kali

    Watu wasiopungua watatu wamefariki dunia na maelfu ya nyumba kuharibiwa kufuatia dhoruba kali iliyopiga mji wa TupanciretΓ£, katika jimbo la Rio Grande do Sul, kusini mwa Brazil. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Ulinzi wa Raia, dhoruba hiyo ya aina ya Supercell iliambatana na upepo mkali uliofikia kasi...
  11. Zuchu: Nimemvumilia Nandy kwa Muda Mrefu, sikusema popote

    Wanamuziki nyota wa kike nchini Tanzania, Zuchu na Nandy, wameingia kwenye sintofahamu kubwa baada ya mashabiki kuwapambanisha kwenye mitandao ya kijamii, hali iliyojitokeza hivi karibuni. Sintofahamu hiyo ilibainika wazi baada ya Zuchu kuacha comment yenye ujumbe mzito kwenye ukurasa wa...
  12. Fani ya Uwakili Inazidi Kukua, Mzigo Mpya wa Mawakili 577 Unapakuliwa Desemba 2026, Wakili Msomi Mpya Ally Salum Happi Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Leo naendeleza motoo ya JF, wewe kama mwana jf, unapata kitu kinaitwa The JF Advantage, Be The First to Know, hivyo leo nawaletea habari njema kuhusu fani ya uwakili, inazidi kukua kwa kasi, ambapo mzigo mpya wa mawakili wasomi 577 unapakuliwa mwezi Desemba 2026, kwa mawakili hao...
  13. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
  14. CCM kutoa pesa kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa nyumbni kwa Marehemu ALUTE LISU MGHWAI, kumuenzi mwanaccm mwenzao

    Kwa Taarifa zilizonifikia ni kwamba Chama cha Mapinduzi kitatoa tsh million 200 kwa ajili ya kujenga nyumba, nyumbani kwao ALUTE LISU MGHWAI ili kuenzi mchango wake ndani ya CCM, pamoja na kwamba TUNDU LISSU amekuwa mbunge kwa miaka 10, na amefanya nafasi kubwa kubwa za kimataifa na hajawajengea...
  15. C

    Wananchi waishukuru Serikali kwa β€œkuwabomolea nyumba”

    Wakati baadhi ya wakazi wa eneo la Maili Mbili, Kata ya Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma wakikabiliwa na huzuni kufuatia zoezi la ubomoaji wa nyumba na majengo yao, baadhi ya vijana wanaofanya biashara ya bodaboda wamepongeza hatua hiyo ya Serikali, wakisema itasaidia kuboresha miundombinu ya...
  16. Hiyo inayodaiwa kuwa nyumba ya akina β€œLissu”

    Watu waliofilisika ki hoja na ki fikra, huishia kufanya mambo ya kitoto na ya kipumbavu. Hiyo wanayodai kuwa ni nyumba ya akina Lissu, ina ubaya gani? Asilimia kubwa tu ya Watanzania wanaishi katika nyumba kama hizo. Hakuna lolote lililo la ajabu kuihusu hiyo nyumba. Kuishangaa na kuanza...
  17. Q

    Zanzibar kuvunja nyumba zote za umma za zamani na kuzijenga upya. Sisi tuendelee kutekana

    Watanganyika tuendelee kutekana na kufungana, akitokea mwingine kutetea maliasili zetu afungwe tu, machawa nao waendelee kushangilia na kutetea hilo. ==========/========= The Zanzibar Government plans to demolish and rebuild all public housing estates constructed in the years following the 1964...
  18. Eneo lenye Nyumba linauzwa Ubungo Kibangu

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Ubungo Kibangu. Eneo liko mita 100 kutoka barabara ya mandela, mita 2 kutoka barabara ya Makoka. Nyumba iliyoko ndani ya eneo ina vyumba 26, mbele ina fremu 4 za biashara. Ukubwa wa Eneo: SQM 626. Bei: Tzs 450M. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka...
  19. Video: Mume alipia kodi ya nyumba miaka 14, nyumba ya mkewe

  20. Afrika: Tunaongoza Kwa Kusali Na Kuwa Nyumba Za Ibada Nyingi Lakini Tunaongoza Kwa Umasikini

    Hii imekaaje? Hivi kuna watu wanaongoza kwa kuomba na kusali kama watu kutoka Afrika kweli? Nyumba za ibada kila baada ya mita kadhaa, nadhani bara hili hata kwenye wingi wa nyumba za ibada tunaongoza duniani, huko mitaani makanisa na misikiti vimesongamana mno, nimeona nyumba za ibada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…