njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Njia ya haraka ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania

    Habarini wakubwa, ni njia ipi ya haraka Ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania?
  2. Niko njia panda

    Habari wana jf, Natuamina wote mko poa humu ndan. Mi nikijana wa miaka 33 sasa nmekua na mahusiano na mdada mmoja wa kichaga from marangu yapata miez karibia 6 sasa, mwanzon mpaka juz tulikua vizuri tu nampenda na yeye kwa upande wake naona anaonyesha upendo na kunijali kwan kila nikimhitaj...
  3. L

    Wataalamu na wasomi wapongeza pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kwa kuleta mabadiliko makubwa katika Afrika

    Na Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo mbinu mingine ili kuweza kuziunganisha nchi hizo pamoja na kuwa kitu kimoja. Hadi sasa pendekezo hili...
  4. C

    Ulishawahi kunusurika kifo? Nini kilikuwa chanzo na njia gani ulitumia kujinisuru?

    Habari Watanzania! Leo nina stori ya kweli ambayo imetokea katika maisha nikiwa mkubwa hivi. Basi bwaana baada ya kumaliza masomo nilianza vijikazi vya hapa na pale kuendesha maisha yangu. Nilipigana kama miezi 5 bila mafanikio. Niliamua kwenda mwambao wa ziwa Victoria kuangalia fursa zingine...
  5. SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  6. F

    SoC02 Ujasiriamali ni njia ya kujikwamua na umaskini kwa kutumia mtaji mdogo

    Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira serikalini isipokuwa nimejiajiri katika shughuli za uuzaji uji kwa mtaji wa shilingi elf 70000/= kwa...
  7. Michepuko uimarisha ndoa na uchumi kama utawatumia vizuri

    Kuna rafiki yangu mmoja yupo kwenye ndoa huu ni mwaka wa 19, wameishi pamoja na mkewe kwa muda mrefu, na hii imechangiwa pia kwa kufanya kazi mkoa ambapo wote wanaishi pamoja. Amejitahidi kujiwekeza anavyoweza ila mwaka juzi alipata uhamisho wa kikazi wa kwenda mkoa wa mbali. Kufika huko...
  8. F

    SoC02 Vijana, ajira mtandao vilio njia za malipo

    Peter ni rafiki yangu na ni kijana wa miaka 27, mjasiriamali na anatumia mitandao kujitaftia riziki. Vilevile ni mtaalamu katika masuala ya uundaji na uendelezaji wa tovuti(website designing and development), pia ni mtaalamu wa kuunda picha na uchoraji (graphic designing). Katika harakati za...
  9. Njia anazotumia Mungu kukusaidia

    Hiki ni kisa cha mchungaji ambaye yeye alikuwa akimwamini Mungu kiasi kwamba alishindwa kutambua njia anazotumia Mungu kusaidia mtu anapokuwa kwenye tatizo. Mchungaji huyu alikuwa anaamini kwamba Mungu atakuja kumwokoa kimiujiza, mbali na kwamba Mungu alitumia watu mbalimbali kama daraja la...
  10. D

    SoC02 Tunaweza kupitia njia zifuatazo kuepuka changamoto ya ukosefu wa ajira kuwa kubwa sana ili kuimarisha uchumi wetu

    Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi wanapaswa kuchukua hatua endelevu kutatua tatizo la ukosefu wa ajira ili kukuza uchumi. UKOSEFU WA AJIRA NI NINI? - Ni ile hali ya mtu kutafuta kazi/ajira bila kuipata. Tanzania unemployment rate (www.theglobaleconomy.com) Ukosefu wa ajira ni moja...
  11. B

    Kwa mwendelezo wa unyanyasaji huu, Serikali mnazidi kujiweka njia panda

    Hatua stahiki zinahitajika hapa kama si mwendelezo wa kujisahau: Ya Mwigulu, Nape na walamba asali wengine tumeyaona. Kama vile haitoshi tena tunastaajabu ya Waziri Masauni. Asali mlambe nyie na kukiuka haki zetu juu? Hivi mnawajibika kwa nani enyi miungu watu?
  12. Y

    SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Utangulizi na kauli kuhusu tatizo Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
  13. Njia mbalimbali za asili za kudhibiti/ kukinga/ kuzuia mimba

    📢📢Wananzengo mpo📢📢 Uzazi wa mpango wa asili ✨Kukwepesha Msome mtu wako, anapokaribia kufika kileleni... Msadie amwage nje ... Utamjua kwa joto lake la mwili, kukakamaa na yeye kufunga macho au kurembua kama anakata roho😂😂😂 ✨Mbegu za mpapai Tafuta mapapai kama sita... Toa mbegu zake...
  14. hivi kwanini njia (under ground ways ) cha chini kwa chini za shule sekondari mkwawa (kwasasa mkwawa college of education ,muce ) zilifungwa ??.

    habari zenu wakuu , moja kwa moja kwenye mada , siku ya jumapili nilipata nafasi ya kumtembelea mzee mmoja mstaafu maarufu sana hapa Iringa . Mzee huyu yeye alikuwa mwalimu ambaye enzi za utumishi wake alipata nafasi ya kufundisha katika shule mbali mbali hapa Iringa kama vile kleruu , mawelewe...
  15. Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

    Wazazi wengi, wanajitahidi sana kusomesha watoto wao ili huko mbeleni wawe na maisha mazuri au wasiwe tegemezi. Watoto wakishahitimu, uanzisha maisha yao, kwa kujitegemea pamoja na kuwa mbali na wazazi wao; wakuoa wataoa, na wakuolewa wataolewa. Changamoto inayojitokeza, ni wazazi kubaki...
  16. Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

    Watu wanapoteza maisha, na kila siku tunawalilia. Hata hivyo tusichojua ni kwamba baadhi yao, hasa vijana, wanaweza kuwa wamechangia vifo vyao kabla ya wakati wao kwa kujihusisha na tabia fulani ambazo ni hatari kwa maisha yao ya kibinadamu. Baadhi yao hata hawatambui kwamba vitendo au tabia...
  17. S

    SoC02 Ongeza kipato chako kwa kuzingatia njia hizi 3

    Umeshawahi kujiuliza, utaongeza vipi pesa ambayo unaipata katika maisha yako? Watu wengi sana wanatamani kuongeza kipato chao ila mara nyingi wanatumia njia ambazo sio sahihi kujipatia au kujiongezea kipato. Leo ningependa ujifunze njia rahisi na sahihi ambazo unaweza kuzitumia kuanzia sasa na...
  18. Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko. Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
  19. Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri) Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa...
  20. Ushauri wa haraka unahitajika wakuu niko njia panda

    Umofia kwenu wakuu Ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…