njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lafanyika

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
  2. Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

    Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki. Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao...
  3. Njia niliotumia kupata kazi bila ya kuwa na msaada wa connection yoyote

    Wakuu! Huwa wanasema sharing is caring. Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick niliitumia mm mwenyewe kama kufanya majaribio ya kupata nafasi amabazo hazipatikani kirahisi UTANGULIZI...
  4. Njia 3 Rahisi Za Kukusaidia Kuhakikisha Unadumisha Upendo Wa Mwanamke Wako

    Ukiwa na mwanamke mwenye furaha ni raha sana ndani. Vitu vinakua rahisi, pia utaweka nguvu zako kwenye kazi/ biashara kwa amani. Raha ya upendo wa dhati. Wote mnakua mpo kwa ajili ya kuhakikisha mwenzio ana furaha. Wengi hudhani mwanamke anakua tu ivo bila kushughulika. Lakini ukweli ni kuwa...
  5. R

    Nakubaliana na CCM kwamba bodaboda na vicoba ndiyo njia pekee iliyobaki kuwakomoa Watanzani wajifunze kujitegemea

    Mtoto akililia wembe mwache umkate. Mtu yeyote anayesema bodaboda na vikoba siyo njia sahihi yakumkomoa Mtanzania akapimwe akili. Ukiona MTU amekubali kuwa bodaboda na ukamwambia ukuletwa Duniani kuja kuendesha bodaboda then huyo MTU akakupinga nakutamani urudi ukimbizini basi usiumize kichwa...
  6. R

    Serikali itafute njia mbadala kushughulika na wahalifu wa 'Tuma kwenye namba hii', kwenda kuripoti polisi ni kupoteza muda

    Waziri Nape alitoa maelekezo watu kutoa taarifa polisi endapo watapokea jumbe za matapeli wanaokwambia tuma kwenye namba hii ama jumbe za waganga na kushinda jackpot ambapo kupata zawadi hiyo unaambiwa upige simu kwa maelekezo zaidi. Badala ya watu kwenda kutoa taarifa polisi, kuwe na njia ya...
  7. Unazungumziaje hali ya Utapeli unaofanyika kwa njia ya Simu baada ya kuzimwa kwa laini zisizohakikiwa?

    Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277. Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
  8. Demu wa mdogo wangu kanifungukia, nipo njia panda!

    Wanajamvi, salaam! Iko hivi nina mdogo wangu (rafiki) naishi nae kwakua anaumwa, tunaheshimiana sana. Tunaishi kisela kila mmoja anaweza kuleta demu wake maghetoni. Dogo ana mademu watatu ambao najua yupo active nao na wote wanakujaga maghetoni kwa wakati tofauti, sasa kumbe ana wa nne ambaye...
  9. Rais Samia alisema opras ni njia isiyofaa kupona performance ya mtumishi. Hiki kinachoendela ni kukusanya fedha za watumishikwa kuwapigisha photocopy

    Maafisa utumishi hii sio sahihi ...sina mshahara natafuta chakula Leo nikatoe kopi kibao.? Open performance haiwezi Kwa kumtesa mtumishi kumuongiza gharama za ajabu ajabu. Piga nakala 4 x opras 1 =700*4
  10. Njia nne zinazoweza kukusaidia kuwa na kumbukumbu bora zaidi

    Usahaulifu au amnesia kwa lugha ya kitaalamu ni hali inayosababishwa na mtu kutokuwa na afya ambayo watu wengi huugua bila kujua. Wakati mwingine hugeuka na kuwa ugonjwa unaofahamika kama "Dementia" na kuwa katika aina tofauti. Professor Richard Restak, anayefundisha sayansi ya ubongo katika...
  11. M

    Mwendokasi njia ya Kibaha wanachelewesha abiria

    Wito kwa DART kuboresha huduma ya Mabasi ya Kimara to Kibaha. Leo tarehe 20/3/2023 nimefika Kimara saa 2.30 asubuhi na abiria walikuwa wamejaa wa kwenda Kibaha lakini Dereva wa basi hakua na haraka ya kusogea abiria walipo ili gari iende Kibaha. Baada ya kusubiri kwa nusu saa na kwenda...
  12. Njia 3 zinazotumika kusafirisha madawa ya kulevya kwa siri .

    Ushoga dili,kumbe wengine washafirishaji wa madawa ya kulevya sikia hii. Leo ni siku nyingine tena katika chanel hii hapa unapata elimu na BURUDANI kwa kina kabisa. Tuanze na habari kuhusu ushoga. Ushoga ni nini? Ushonga ni hali ya kutamaniana we mwenyew angali wote. Mko na jinsia moja MWANAUME...
  13. Njia nyepesi kumtambua jini

    Hakuna mbambamba let's go directly on point Kumtambua jini haraka hizi hapa 1.chek mikono 2.cheki mguu 3.cheki kiini Cha macho Sasa nataka like 100 nichambue kimoja baada ya kingine Kama Kuna mtu anazijua ruksa leta nondo hapo chini Mimi mpakq nipate like 100 ndio nitaleta
  14. Msaada wa jinsi ya kutumiwa pesa na mtu akiwa nje kwa njia ya M-Pesa

    Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu. Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa. Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
  15. Rukwa kinara wa kutapeliwa kwa njia ya simu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA), imetoa takwimu za maeneo vinara ya utapeli kwa njia ya simu ikionesha kuwa mkoa wa Rukwa ni kinara kwa wananchi wake kutapeliwa Katika kipindi cha robo ya mwisho ya mwaka uliopita 2022, kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi mwisho mwa mwezi Disemba matukio ya...
  16. Tumia njia zako binafsi kutatua changamoto zako, usipige kampeni wote tutumie njia zako

    Kama wewe binafsi umeona CHANGAMOTO ZA NDOA zinakwepwa kwa kutokuoa...basi BAKI HIVYO HIVYO NA UFUSKA WAKO USIOE... Sio kutwa kushinda kusambaza kampeni ya KISHETANI usioe...eti kisa ndoa ina changamoto nyingi... Mkimaliza kukimbia changamoto za ndoa kwa wanawake...mtakuja kupiga kampeni juu...
  17. Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya bil 17.5 wasainiwa jijini mbeya, barabara ya njia nne kuanza kujengwa upesi

    Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr. Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza...
  18. Unajua njia sahihi za kutunza chaji kwenye simu yako

    Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu. Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7...
  19. Azam wanatumia njia gani kuajiri wafanyakazi?

    Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie kama kuna nafasi. Swali: 1. Je, unapeleka cv ofisi zao? Na kama unapeleka je ofisi zao ziko wapi? 2...
  20. Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu. Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…