njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga yajaribu kutumia njia za uani kuingia CAF Super League

    Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga kupitia kwa serikali imewapigia magoti CAF kuomba ipewe nafasi pia ya kushiriki mashindano hayo...
  2. Njia ya kupata mwanamke yeyote umtakaye

    Chukua mdudu aitwaye CHANDE mchome kisha mtwange na ungawake uweke kwenye kiganja Nenda kwa demu umtakaye na umpulizie. Hapo umeuwa kabisa mtongoze au mvute geto. Nb: Hii njia niliambiwa na watoto wenzangu utotoni sijawahi jaribu
  3. Kwenu wanawake, njia pekee ya kugundua mwanaume anakupenda ni pale akili yake inapofanya maamuzi baada ya kupiga mshindo (post nut clarity)

    Si kila mwanaume anaekwambia anakupenda anamaanisha. Haijalishi kwamba kakufanyia kitu gani iwe kukupa muda wake, kukusaidia, kukupa furaha, kukujali, kukupa pesa, n.k, kuna wanaume ambao huyafanya haya wakiwa bado hawapo timamu. Kwa mwanaume ambae kamfata mwanamke kwa lengo la starehe huyu...
  4. Anayeweza ubadili huu ujumbe uwe kwa njia ya cartoon au kibonzo

    Ujumbe wenyewe uwe hivi, Jinsi viongozi wa dini wanavyo waonyesha waumini wao njia ya kwenda peponi huku wao wakiipita ile ielekeao motoni,
  5. Zitumie njia hizi kukabiliana na athari za u-extreme perfectionism

    Habari kwa wanajukwaa. Ni matumaini yangu muwazima wa afya. Awali ya yote kabla sijaenda kwenye mada nataka nielezee u-perfectionism kwa kifupi. Perfectionism ni hali ya kuwataka/kutarajia au kujitaka/kujitarajia wewe mwenyewe kufanya jambo/mambo bila ya kuwa na kosa/makosa yoyote. Watu ambao...
  6. Ziko njia sahihi za kuingiza kipato mtandaoni

    Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji. Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni. Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba...
  7. Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
  8. Moja ya njia rahisi ya kuipeleka Bongo Hip-hop international

    Peace to brothers and sisters! Najua ziko njia kadhaa zinazoweza kuwapush wasanii wetu wa Hip-hop kuvuka mipaka hata nje ya Afrika,kutegemeana na strategies na plans za msanii husika. Nchi yetu imebarikiwa vipaji vingi sana vya ma Mc na Rappers wakali,japo hutumia lugha mama pendwa ya...
  9. CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  10. Ulitumia njia gani kuishi kwa mtu bila kukuchoka?

    Ndugu zangu humu hamjambo wote? Humu ndani kuna wakati tunakuwa au tumewahi kuishi kwa watu au ndugu, lakini huwa baada ya kuishi kwa kipindi fulani mkiwa pamoja linakuja suala la kuchokana au kuchokwa. Hii inatokana na wewe kuhitaji msaada wao zaidi hasa wa hifadhi na chakula. Sasa mimi...
  11. Yanga kesho njia nyeupe kuelekea Robo fainali

    Baada ya kuwapigia soka Safi real bamako, kesho ni usiku wa kisasi mje kushuhudia pira Safi. Simba hongereni Sana watani Ila muache kuroga😁
  12. Njia za kupata VISA ya Portugal ni zipi?

    Habari wana-JF. Ningependa kufahamu kwa nchi ambazo hazina balozi hapa nchini (Portugal) ni njia zipi za kufuata kufanya application hasa kwa Visa ambazo inakubidi application ufanyie nchini kwako. Retirement Visa / Portugal D7 Visa.
  13. D

    Ni njia gani ya ajabu ambayo mhalifu alikamatwa?

    Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani. Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa Marekani na zawadi ya dola 100 kwa yeyote ambaye angetoa taarifa ambazo zingemfanya akamatwe. Cha...
  14. Hizi ndizo zama za kila mtu abebe msalaba wake, njia ya msalaba

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shida zako zilikuwa za familia, ukoo na jamii nzima. Furaha yako, ilikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Mtoto wako alikuwa wa familia, ukoo na jamii nzima. Maadili yako yalikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Huko ndiko tulipotoka, tumefika hapa ndiko...
  15. Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  16. Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme katika Mradi wa JNHPP Yafikia 92%

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze pamoja na ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Chalinze ambapo ujenzi wa njia ya...
  17. M

    Naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya barua pepe (email)

    Habari wakuu, Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote. Asanteni.
  18. Njia 10 za kuongeza thamani ya ardhi yako

    Utangulizi. Thamani ya ardhi yako inapoongezeka huathiri bei ya ardhi husika. Mara nyingi thamani 6a ya ardhi na bei yake huenda pamoja lakini sio lazima. Thamani inaweza kupanda na bei isiongezeke. Vilevile bei inaweza kuongezeka bila hata thamani ya ardhi kuongezeka. Thamani ya ardhi hupanda...
  19. Njia za kushinda soko la ushindani kibiashara

    Habari wakuu, Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu ambavyo vinachangia kufanya vizuri kwa bidhaa yako(kupata wateja) ni pamoja na: 1) Brand name hii...
  20. K

    Tafuteni njia bora, Vicoba ni upotevu wa pesa!

    Kwa sisi wataalamu wa Fedha huwezi kuita uwekezaji kama hakuna vitu viwili Risk & Return. Sijui kwa kiswahili nisema vipi. Vicoba ni wizi tu maana pesa haiendi kwenye uzalishaji wowote lakini kibaya ukitoa pesa kuna faini. Hivyo Fedha mnaweka bank ambako kuna fees bila riba, hakuna faida yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…