njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. TANROADS yafungua njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne Nsalaga - Ifisi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
  2. Tanzania na Angola Kukubaliana Kuunganisha Reli Zao, Kufungua Njia ya Usafirishaji Kati ya Bahari ya Atlantiki na Hindi

    Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi. Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
  3. RESOLVED Haya hapa maboresho ya njia mpya ya Mabasi ya Mjini (Daladala) kwa Dar yaliyofanywa na LATRA

    MABORESHO NA NJIA MPYA ZA MABASI YA MJINI (DALADALA) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Dar es Salaam 20 Oktoba, 2026 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria inatangaza maboresho katika baadhi ya njia pamoja na uanzishaji wa...
  4. Siasa za kitapeli tuziache, Mnyika nakukubali sana Ila kusema tugome kula wakati tunakula si njia sahihi

    Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active! It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance. We ought to proceed unto the penitentiary...
  5. Ninepikiwa mboga ya majani ya magimbi, Ngara, wanaita IBITEKETEKE, nimewashwa sana hasa wakati wa kupata haja kubwa njia yote inawaka moto

    Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa. Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku. Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
  6. Kujengwe barabara ya njia sita kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe

    Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
  7. K

    Kuna Njia ya Kuigeuza Haramu Kuwa Halali?

    Samia na wengine wote wanaomhangaikia ili serikali yake na utawala wake uonekane kuwa halali ni muhimu waelewe hili: Kwamba hakuna njia yoyote inayoweza kugeuza Haramu na kuifanya Halali.. Tume za akina Chande na Lila hazina uwezo huo; na wala kuendelea kukandamiza wapinzani na kuwafungulia...
  8. M

    KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
  9. Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    Wale pro-Nyerere wote nawaita humu. Kichwa kinajieleza chenyewe. Ni kweli Nyerere alirithi Tanganyika kwa njia za kidemokrasia kupitia uchaguzi halafu baada ya yeye kuingia kwenye madaraka, akaamua kwa utashi wake yeye binafsi, kuleta udikteta kupitia chama chake cha TANU na baadae CCM. Na huu...
  10. L

    Kadri ushindani kuhusu madini ya Afrika unavyozidi kuimarika, ni njia gani sahihi ya ushirikiano inayohitajika?

    Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
  11. A

    KERO Utaratibu wa Bajaj njia ya Mbagala Vikindu kuzuiwa kupita Mwandege unawasumbua abiria

    Madereva wa Bajaj njia ya Mbagala Vikindu tunazuiwa kupita Mwandege kisa wanasema Bajaj haziruhusiwi kuvuka mkoa na ukipita na abiria unaandikiwa hadi vyeti vitano kwa wakati mmoja. Hakuna utaratibu inasemekana ni mbinu ya watu wa daladala kuzuia Bajaj ili wao wafanye kazi japo abiria...
  12. Sitashangaa Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania anajua njia za kushika madaraka

    Madaraka yana-njia zake na usipojua njia za kushika maradaka hata uwe na akili kiasi gani ni ngumu sana kushika madaraka kama hujui zake Paul Makonda anajua njia za kushika madaraka na mara nyingi watu kama hawa huwaga wanachanga karata zao kwa siri huku wakiwa kwenye power mnakuja kushtuka...
  13. O

    Zile hela tulizokuwa tunaokota njia panda sikuhizi hazipo

    Zile hela za washirikina hazipo watu tukalie mihogo kwa mama mnene rip. Hali ni mbaya sikuhizi waganga hawatoi zindiko kwa kutupa pesa njia panda. Mshana Jr
  14. HOJA Jasho lisipotee ghalani: Njia za kuokoa mazao ya wakulima wa Geita

    "Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno. Katika sehemu...
  15. Hakuna njia yoyote nyingine ya kumtengeneza mtoto bora zaidi ya ukaribu na mtoto ila ule ukaribu ambao sio wamazoea bali ule uitwao SECURE ATTACHMENT.

    Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake. Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
  16. Dokezo la Usalama wa Kimkakati: Wito wa Kupunguza Mbinu za Kimabavu na Njia Mbadala za Mabadiliko Kuelekea 2029

    Mheshimiwa Msomaji, Husika na mada iliyotajwa hapo juu. Nina heshima kubwa kuwasilisha rasmi kwako Jalada la Usalama wa Kimkakati kuelekea Tanzania 2029, lililoandaliwa na Baraza la Kufikirika la Ushauri Kuhusu Utawala Bora na Usalama wa Kimkakati. Jalada hili limetayarishwa kufuatia tathmini...
  17. Njia za kumjengea mtoto wako tabia mpya

    Albert Bandura (1960) alikuja na nadharia ya social learning theory. Hii ni nadharia ambayo imetengenezwa na Kuonesha namna ya kujenga tabia mpya..... Albert Bandura amefundisha juu ya umuhimu wa observational learning (kujifunza kwa kuangalia). Hii ni mbinu ambayo mzazi yoyote anaweza...
  18. Nani kafanikiwa kufuta Cheti Ajira portal kupitia njia hii?

    Wakuu, habari za jioni. Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree...
  19. H

    Balozi Mindi Kasiga afungua Kongamano la Kumuenzi Dkt Salim: Asisitiza Vijana kutatua Migogoro kwa njia za Kidiplomasia

    Balozi Mindi Kasiga afungua Kongamano la Kumuenzi Dkt Salim: Asisitiza Vijana kutatua Migogoro kwa njia za Kidiplomasia. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mindi Kasika leo tarehe 30 Septemba, 2026 amefungua Kongamano la...
  20. M

    Traffic Goba Njia nne mbona kama uwepo wenu umeongeza foleni?

    Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo, toka mmeanza kuruhusu magari kwa zamu imesababisha foleni kuongezeka mara dufu. Kuthibitisha hilo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…