njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Njia 198 za kumpinga Dikteta: Siri ya vuguvugu la Kiarabu (Arab Spring) lilivyofanikiwa kuangusha madaraka ya Madikteta

    ❗❗❗ANGALIZO: Mada hii liwe na mjadala unaolenga kujifunza historia, na sio kuhamasisha vurugu. Je, wananchi wanaweza kuupinga na kuudhoofisha utawala wa kidikteta bila kuwa na jeshi, silaha wala uwezo wa kifedha unaolingana na serikali? Historia ya Arab Spring inatoa majibu ya kuvutia...
  2. A

    Je, unazijua njia tofauti za usafirishaji wa magari na mizigo?

    Kabla ya kusafirisha bidhaa au gari lako kupitia Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, ni muhimu kuelewa njia mbalimbali za usafirishaji. 🚢 1. FCL (Full Container Load) Hii ni njia ambayo mzigo wako unasafirishwa ndani ya kontena maalumu kwa ajili ya mzigo wako. 📦 2. LCL (Less than Container...
  3. Katavi: Elimu, uchumi na Imani zageuka kuwa njia ya kupunguza udumavu

    Udumavu kwa watoto hauwezi kumalizwa kwa kumtibu mtoto mmoja mmoja hospitalini pekee. Wataalamu wanaeleza kuwa suluhisho linahitaji familia kupata uelewa wa lishe, kutumia vizuri chakula kinachozalishwa, kubadili baadhi ya mitazamo kuhusu vyakula na kuhakikisha watoto wanafuatiliwa mapema, hasa...
  4. Kwanini Wakatoliki wanapinga njia zote za uzazi wa mpango wakitaka njia ya kalenda tu itumike ?

    Kwa nini Wakatoliki waliamua kuharamisha na kufanya ni dhambi kutumia njia zote za uzazi wa mpango zisizo za asili (artificial) za condom, vidonge, sindano, njiti, P2, kitanzi na kukata mirija ya uzazi wakaidhinisha njia moja tu ya kutumia kalenda ?
  5. Huwezi kuta wahindi ugenini na wakataka kupindua njia ya maisha iliokuwa imezoeleka pale ila waarabu wanaweza chukuliwa kwa msaada kinachofata ni fujo

    Wahindi wametapakaa duniani kote na wamerithishana njia za kuitana mahali ambapo pana manufaa kwa maendeleo yao. Licha ya madhaifu mengine hawa jamaa ni watu ambao wana jali mambo yao, wako private na imani yao lakini zaidi hawasumbui watu na imani zao wanapokuwa ugenini Ila waarabu ni watu wa...
  6. Jinsi ya kukuza biashara kutoka mtu mmoja hadi kampuni kubwa: Njia 8 za kujenga empire

    Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo. Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
  7. Njia ya kuongea na shetani ni ipi ?

    Kama maombi au dua ni njia ya kuongea/kuwasiliana na mungu, Je njia ya kuongea na shetani ni ipi ?
  8. R

    Kumbe bado maandalizi ya ElNino yanaendelea, Tanga bado wanatengeneza njia za pembeni

    Lazima kuhalalisha namna mtakavyo gawana helà. Kweli bado kuna haja ya kutengeneza njia za pembeni ie service road kwa maandalizi ya El Nino?
  9. Q

    Gerson Msigwa: Tutatumia njia yeyote ile AFCON ifanyike Tanzania

    Naona maji yameanza kufika shingoni, walipewa hadi September kuonyesha utayari wa viwanja na miundombinu leo mwaka unakatika, walidhani 2027 ni mbali, wameanza kulaumu mitandao mwisho watalaumu wanaharakati kama kawaida yao. "Tunatumia njia yoyote itakayotuwezesha kuhakikisha AFCON inafanikiwa...
  10. NSSF namna ya kufanya madai kwa njia ya mtandao

    Kwa wale wenzangu na mimi tuliopoteza kazi lakini tuna chochote kitu . Tupite kwe wakuuu tuokote chochote kitu bila kuchoka Utaratibu ndio huo hapo chini Nikitoa nitarudi na mrejesho maaana ni week ya pili sasa napambana na mwajili wa mwisho afanye jambo
  11. Elimu inaweza kuwa njia ya kupata wateja

    Katika biashara, si lazima kila mara uanze kwa kuuza bidhaa au huduma zako. Wakati mwingine, njia bora ya kuvutia wateja ni kuwafundisha na kuwapa suluhisho la changamoto zao. Unaposhiriki elimu yenye manufaa kupitia mitandao ya kijamii, blogu au video: Unajenga uaminifu kwa wateja wako...
  12. Ulofa wa Jaji Ndunguru Huu Hapa: “Haiwezekani Lissu Akavuruga Uchaguzi kwa Njia za Amani”

    ULOFA WA JAJI NDUNGURU: ETI “HAIWEZEKANI LISSU AKAVURUGA UCHAGUZI KWA NJIA ZA AMANI” Napendekeza kuwa Jaji Ndunguru anasumbuliwa na ulofa wa kifalsafa, yaani, philosophical illiteracy, katika kipengele Cha falsafa inayochunguza uhusiano uliopo kati ya sababu na matokeo (etiology). Hoja yangu...
  13. F

    Pendekeza njia bora za kuhakikisha magari ya watekaji yanaondoa tinted haraka uwezekanavyo

    Mwalimu Nyerere alitembelea gari ambayo haikuwa na tinted glass, na alilindwa vyema tu. Kiongozi wetu lazima uonekane, hupasi kufichwa kama jambazi . Sasa Kuna watu wanatumia magari tinted, tena tinted glass zenyewe ni nzito hasa, Hadi tunajiuliza dereva aonaje akiendesha wakati wa usiku...
  14. Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  15. U

    Taarifa Muhimu: Ili Democrats wamuondoe Trump madarakani kwa njia ya impeachment wanahitaji kura 67 za Maseneta

    Hamjamboni nyote? Nimeona nitoee taarifa hii mapemaa kuepusha mkanganyiko na sintofahamu. Basi nendeni kazini mkachape kazi
  16. MWAUWASA yasema Mteja anaweza kuomba huduma ya kuunganishiwa maji kwa njia ya Kidigitali, si lazima afike ofisini

    Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). MWAUWASA: Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
  17. Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

    Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm? Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
  18. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  19. M

    Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

    "Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari? Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
  20. TANROADS yafungua njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne Nsalaga - Ifisi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…