Wanamgambo wenye msimamo mkali wameuwa wanajeshi 30 wa serekali katika mfululizo wa mapigano kaskazini mashariki mwa Nigeria toka Jumatano, kwa mujibu vyanzo vya kijeshi na raia.
Shirika la habari la Reuters linaeleza kwamba usalama kote Nigeria, umezorota katika miezi ya hivi karibuni...