Hi
Je, ni sawa kwa wazazi kuvaa nguo au kuoga mbele ya watotot wenu wadogo kuanzia mwaka 1-7. Maana kuna wazazi bado wana kaa uchi mbele ya watoto wao waki amini hawajui kitu chochote, huku baadae watoto wakiwa na wenzao wana anza kusimuliana yale wanayo yaona kutoka kwenu
kuna namna ina...