Kumbe huu ulikua ni mkakati wa mda sana kuusiana na jinsi yakupunguza population duniani na ndo maaana hata aueleweki bcz unakua na maaana nyingi nyingi aupo clear kila mtu na chake alicho nacho moyoni hii ndo conspiracy ambayo amna mtu mwenye uelewa nayo hata apa jf wapo watakao jitokeza sema...