nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

    Kwa mujibu wa Matangazo ya BBC Dira ya Dunia ya Leo Jioni walionteka Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) Melchiory Dominic (Raia) wa Tanzania na Mwenzake Raia wa Burkina Faso wanahitaji Kikombozi (Ransom ) cha Dola za Kimarekani 70,000 kwa Wote Wawili (yaani Dola 35,000) kwa kila Mmoja ili wawaachie...
  2. Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

    President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo. Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao...
  3. Uhaba wa Dola nchini: Badala ya kutupiana lawama tutafute mwarobaini. Tuishauri serikali

    Umofia kwenu. Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini. Nasema yapo...
  4. R

    Hivi kwa presha ya siasa iliyopo nchini Rais angekubali kwenda uwanjani bila uwanja kujaa kwanza? "Sold out"

    Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani. Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi...
  5. Mbarikiwa Mwakipesile, Mtanzania pekee anayeweza kumkemea bila woga kiongozi yeyote hapa nchini

    Habari! Wengi wanajitahidi kusema ukweli na wengine kukemea viongozi. Lakini karibu wote wanatumia indirect way (kuzunguka zunguka) ila huyu Mbarikiwa Mwakipesile hazunguki anakwenda moja kwa moja.
  6. Mkuu wa Kikundi cha Wagner Yevgeny Prigozhin, ametoa maoni yake juu ya mzizi wa matatizo nchini Niger

    "Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu. Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na...
  7. Jukwaa la Wahariri (TEF): Uhuru wa Vyombo vya Habari Umeongezeka Nchini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo. Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru...
  8. Nimewasikiliza 'Bodaboda' wanaounga mkono 'Uwekezaji' wa 'DP World' na kuilaumu CCM kwa Kuzalisha 'Wehu' wengi nchini

    Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili. CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
  9. I

    Naibu Imamu auwawa katika vurugu za kidini nchini India

    Naibu Imamu ameuawa baada ya kundi la Wahindu wenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia kuteketeza na kufyatua risasi msikiti mmoja katika kitongoji cha mji mkuu wa India, New Delhi, saa chache baada ya ghasia mbaya za kijamii katika wilaya jirani. Polisi wamemtaja mwathiriwa kuwa ni Maulana...
  10. Benki ya CRDB yatwaa tuzo nne za kimataifa nchini Nigeria

    Lagos, Nigeria. Tarehe 1 Agosti 2023: Taasisi kubwa zaidi ya fedha nchini, Benki ya CRDB imenyakua tuzo nne za kimataifa za umahiri katika ugavi zijulikanazo kama Africa Procurement and Supply Chain Awards (APSCA) 2023 jijini Lagos nchini Nigeria. Benki yenyewe imeshinda tuzo mbili huku...
  11. Uongozi wa kijeshi nchini Niger waishutumu Ufaransa kutaka kumrejesha Rais aliyeondolewa madarakani

    Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger Jumatatu umeishutumu Ufaransa kutaka ‘kuingilia kati kijeshi’ ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’atuliwa Mohammed Bazoum, huku mivutano ikiongezeka kati ya Niger na Ufaransa, iliyokuwa mtawala wa kikoloni kwa Niger, na majirani zake. Ufaransa ilijbu mara...
  12. SoC03 Mchango wa utawala bora na uwajibikaji katika maendeleo endelevu ya nchi

    Katika nchi ya Tanzania, uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Uwajibikaji unahusisha uwezo wa viongozi na taasisi za umma kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na uwazi, huku wakilinda maslahi ya umma. Utawala bora, unahusisha uwajibikaji...
  13. Tutafakari pamoja: Kwa nini Dubai wanalazimisha mfumo wa mikataba unaojumuisha IGA na HGA wakati miradi yote itatekelezwa nchini Tanzania?

    Mchoro wenye kuonyesha: Mtindo wa Mikataba ya Kimataifa Unaotumiwa na Dubai (The Dubai BIT Model) wenye sura ya piramidi la mikataba ifuatayo: (1) Inter-Governmental Agreement (IGA), ambacho ni kitako cha piramidi; (2) Host Governmental Agreement(HGA) ; (3) Project-level Lease Agreement (PLA)...
  14. Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
  15. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kumaliza mgogoro wa mkataba wa bandari nchini Tanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUMALIZA MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI NCHINI TANZANIA Utangulizi Katika juhudi za kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii, serikali na taasisi za umma hufanya mikataba na wawekezaji ili kuvutia uwekezaji na kuleta maendeleo katika nchi. Hata hivyo, mikataba...
  16. M

    SoC03 Kujiajiri vijana inahitaji mabadiliko ya mfumo wa elimu nchini

    Kujiajiri vijana inamanisha vijana waliohitimu vyuoni waanzishe kazi au biashara zao wenyewe kutokana na elimu waliyonayo au waliopata vyuoni. Kwa maoni yangu hili ni wazo zuri saana lakini linahitaji wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni wapate kusoma na kufanya vitu ambavyo kiuhalisia...
  17. SoC03 Nitafurahi kuona uboreshaji wa mfumo na muongozo wa utoaji wa taarifa za Kiserikali nchini Tanzania

    Uboreshaji wa Mfumo na Muongozo wa Utoaji wa Taarifa za Serikali nchini Tanzania. Utangulizi. Habari ndugu wana JamiiForums! Karibuni tujumuike katika chapisho hili lenye lengo la kuchunguza na kutoa mapendekezo kwa nia njema juu ya taifa letu, hususani katika sekta inayohusika na utoaji wa...
  18. Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

    Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama. Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
  19. Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

    Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato. Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi. Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa...
  20. R

    Bila kuwa na Sheria nzuri kwenye Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha tusahau uwekezaji wa maana nchini

    Kadiri teknolojia inavyoendelea kusonga mbele na dunia inavyozidi kukua kidigitali, umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha unazidi kuongezeka. Hili ni jambo muhimu sana, hasa katika biashara, hususani katika upande wa miundombinu. Kushindwa kuhakikisha Ulinzi wa Taarifa Binafsi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…