nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jeshi la Polisi tumieni Sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria vya kuvuruga amani nchini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
  2. L

    Marekani yashindwa kuelewa mafanikio ya kiteknolojia ya nchini China

    Linapokuja suala la maendeleo mapya ya utengenezaji wa chips nchini China, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti hivi karibuni kuwa, haitakuwa ajabu kwa Marekani kuongeza nguvu ya vikwazo na kuimarisha hatua za kupunguza kasi ya ueneaji wake, lakini, daima biashara italazimisha ubunifu wa...
  3. R

    Macho ya kinabii yatumike kuboresha vetting zetu nchini

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTON. Napoongelea macho ya kinabii, Siongelei hao mnaowaita wazee wa kamati, HAPANA. Pia sichanganyi dini na siasa, sababu Asili ya Siasa ni Mbinguni, sasa Mwana wa Mungu nakupa codes Kutoka JUU, ambazo zaweza kututoa hapa kwenye mkwamo. Wakati Nchi zilizoendelea...
  4. Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  5. Staa wa "Movie" Kutoka India, Sanjay Dutt atua nchini Kufanya Royal Tour kuitangaza Tanzania

    Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa nchini. Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na...
  6. Tafadhali nichagulie Wimbo mzuri wa Kusikiliza ili nishushe Hasira zangu za Draw ya Kizembe ya Ndola nchini Zambia 16 Sept, 2023

    Najitahidi kushusha Hasira za tokea Jana Jumamosi Saa 12 Jioni na hadi Usiku huu wa Saa 4 leo Jumapili bado tu hazijapungua kwa Draw ya Simba SC huko Jijini Ndola nchini Zambia. Ukiwa ni Wimbo wa Kikongo ( Rhumba au Sebene ) nitafurahi zaidi kwani ndizo Nyimbo ambazo huwa nikiwa Nimekwazwa...
  7. Makampuni yanayotengeneza Magari ya Umeme nchini China

    Watu kwa sasa wameshafunguka macho. China imekuwa electronic hub ya dunia yetu. Nchi za kiarabu zenyewe zinakuwa ni hub ya mafuta hapa duniani. Kwa kuwa mabadiliko yanaendelea china kwa sasa ndiyo inayotuongoza kwenye mabadiliko ya kiteknolojia. Leo nitaongelea magari ya umeme (EV). Nitaongelea...
  8. Waziri Dkt. Ndumbaro Ateta na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Avetisyan Septamba 14, 2023 Jijini Dar es Salaam. Katika Mazungumzo yao viongozi hao wamekubaliana kushirikiana katika Sekta ya Utamaduni na Michezo...
  9. Waziri Dkt. Ndumbaro - BASATA Vibes Kutikisa Mikoa Yote Nchini

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - BASATA VIBES KUTIKISA MIKOA YOTE NCHINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lihakikishe kuwa Mradi wa Baraza hilo ujulikanao kama BASATA Vibes unawafikia Wasanii mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar ili azma ya Serikali ya...
  10. Taarifa fupi ya utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi kilichoshughulikia masuala ya demokrasia ya vyama vingi nchini

    Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:- Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa Kuhusu demokrasia ndani ya vyama vya siasa Kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa inayotolewa na Serikali. Kuhusu uhuru wa Tume ya Taifa...
  11. T

    Wamachinga na Haki-Jiji Nchini Tanzania

    Ungemuona kijana Kulwa Makasi kwa mbali ungeweza kudhani ni kijana mwenye furaha. Hujitahidi kumkaribisha mteja kwa bashasha japokuwa, tofauti na wenzake, angekuwa amekaa ndani ya kijibanda chake anamouzia viatu. Kijibanda hicho kilikuwa kimepangiliwa vizuri na kwa unadhifu mkubwa,kama...
  12. J

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu...
  13. R

    Ukiwa mtaani au kwenye mikusanyiko ya kijamii unajihisi huru kutoa maoni yako juu ya mambo mbalimbali nchini?

    Wakuu, Uhuru wa kutoa maoni umehakikishiwa na katiba katika ibara ya 18 kwa kila mtu bila kuathiri sheria za nchi. Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake nje. Uhuru wa kutoa maoni hautakiwi kubaki kwenye makaratasi, badala yake watu wajisi kuwa huru na waweze kutoa maoni...
  14. Serikali Kuendelea Kuhamasisha Uwekezaji na Uendelezaji wa Viwanda Nchini - Mhe. Kigahe.

    Serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji na uendelezaji wa viwanda Nchini-Mhe.Kigahe. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema kuwa Serikali inaendelea na juhudi za kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vipya na uendelezaji wa viwanda vilivyopo katika Sekta ya Mifugo na...
  15. Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  16. Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  17. Suala la nishati ya mafuta nchini lishakuwa janga la Taifa

    Habarini za asubuhi, nikiwa na masikitiko makubwa naomba ni address hili suala la mafuta kiukweli limekuwa zaidi ya changamoto Sikudhani hali ingefikia huku yaani leo nikiwa safarini mkoani nikipita huku maeneo ya Chunya Mbeya mji mzima ni shell moja tu ndio inayouza mafuta Na hiyo foleni ya...
  18. K

    Sakata la Nishati ya Mafuta Nchini: Makamba kakwepushwa na lawama makusudi

    Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
  19. R

    IGP mshawishi Rais Samia akuruhusu utumie japo 50% ya bilioni 125 kuboresha makazi ya Askari NCHINI. Uchaguzi ni tendo la siku moja

    IGP upo katika kipindi ambacho serikali inakuhitaji kuliko wakati wowote. Watangulizi wako pamoja na wewe mmekuwa mkiomba bajeti ya kuboresha makazi ya askari bila mafanikio kwa miaka mingi. Lakini kila inapofika kipindi cha uchaguzi watu wale wale wasiokuwa na fedha ya kukusaidia kuboresha...
  20. EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…