nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mambo mengine utayaelewa siku ukiwa muhusika, kwa sasa utaona kama vile hawajui kutumia vizuri nafasi zao

    Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika. Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
  2. PreGE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

    Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
  3. CCM achaneni na wahuni wapita njia wapeni nafasi wafia chama mmnawakatisha tamaa sana

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo...
  4. Nafasi za kazi: Fitter Mechanics and Welder/Fabricator

    Mwenye uhitaji akuje PM, msharaha 700,000 per month. Ratiba ya kazi ni siku 14 on and 7 days off, after 2 months of probation period. Tayari tumewapata, Mudi naomba mfunge huu uzi tafadhali.
  5. W

    Natafuta nafasi ya kazi ya kuajiriwa au kujitolea. Nina Stashahada ya Uhasibu

    Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
  6. U

    Ni kweli walikaacha kachanga hako hai na kwenda Nako hukoo juu? Kaliishi miaka laki 6, baadaye kaliasi na kutupwa chini na ndiyo anasumbua Dunia?!

    Wadau hamjamboni nyote? Huwa sipendi kuhoji Imani za watu wengine kwani Kila mtu ana Imani yake nahivyo huwa namheshimu Hata hivyo Leo nimeona nihoji japo kwa uzuri tuu. Kwamba waliagizwa na bosi wao kuua wazazi, Ndugu na jamas zake wote japo wengineo walifanikiwa kutorokea baharini...
  7. Nafasi za Kazi ya IT Technician na Marketing Staff

  8. Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Hii Taarifa ina ukweli gani? Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki === Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
  9. Nafasi za Kazi Accountant na Admin Officer Wanahitajika

    Habari Anahitajika Accountant na Administration Officer, wenye uzoefu usiopungua Miaka 2. Mkoa: Dodoma Tuma CV yako: hrfbde@gmail.com
  10. Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
  11. Nafasi ya kazi kwa graduates wa Computer Engineering, Telecommunications Eng, Computer Science

    Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
  12. Natafuta nafasi ya Kujitolea

    Na tafuta sehemu ya kujitolea kwenye NGO yoyote. Nipo Dar es Salaam nimesoma Project Planning and Community Development. CVkwa ufupi Age 25 Place dar es salaam Experience. Biko sales Nom 0672885858 Email tylorchriss43@gmail.com
  13. Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

    Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia; Awe na umri kuanzia 22-28 Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na kazi halali ya kufanya Asiwe mweusi sana, akiwa mweupe fresh Asiwe mfupi sana kama ni mrefu hapo sawa. Sifa zangu Sina mke wala mtoto Ni...
  14. Nafasi za kazi ajira portal ni kizungumkuti

    Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge Tunakosa tena...
  15. Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta, unaweza jifunza kitu

    Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
  16. T

    JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  17. Sehemu ya kwanza: Nafasi ya wanalindi kwenye mradi wa gesi

    PART I: NAFASI YA WANALINDI KWENYE MRADI WA GESI LINDI. Mradi wa kuchimba na kuchakata gesi asilia (LNG) Lindi mjini ni mradi ambao wakazi wengi wa Lindi wanautegemea uje ubadirishe maisha yao. Hata hivyo Wanalindi wengi hawajui mradi huu unahusu nini haswa na utaanza lini au kwanini haujaanza...
  18. Singida Black star, wamejipanga, moto utawaka nafasi ya pili

    Hawa wapo kimya ila wamejipanga vyema. Naona wazi akichukua nafasi ya pili. Azam wameleta magalasa ya huko South America nadhani nafasi ya pili ataisikia redioni. Mbumbumbu a.k.a zoazoa fc au DEBORA fc naona wakishika nafasi ya 6 hata shirikisho hawapendi tena. Guede , Lyanga, Manura...
  19. Tanzania imetajwa katika nafasi ya 12 kwenye Ripoti ya Viashiria vya Demokrasia Barani Afrika

    Ripoti inaonyesha kuwa Kiashiria cha Demokrasia nchini Kenya kinaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa miaka minne mfululizo kutokana na alama duni kwenye mchakato wa uchaguzi na wingi wa vyama, uhuru wa raia, na utendaji wa serikali. Ripoti ya Kiashiria cha Demokrasia 2023 kutoka Economist...
  20. Mtendaji wa Kijiji III nafasi 13 POST at Hai District Council July, 2024

    POST VILLAGE EXECUTIVE III – 13 POST EMPLOYER Hai District Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-07 2024-07-22 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Accounts Officer and chief executive of the village government; To manage the protection and safety of citizens and their properties, to be...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…