nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tupeane nondo kwa waliowahi fanya usaili nafasi za data analyst na system developer

    Naombeni msaada mfano wa maswali kwenye written interview kwa waliowahi kufanya interview kama data analyst, pia system developer angalau tupate pa kuanzia
  2. PreGE2025 LGE2024 Kwanini Wanawake wanashindwa kuingia katika majimbo nabadala yake kubakia katika nafasi za Viti Maalumu?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
  3. PreGE2025 Awamu ya sita watu wanatamani kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu ya tano. Je ni kweli!?

    Leo kwenye kipindi chao cha minyama kitenge ametoa maoni yake ya kwamba hivi sasa watu wanapenda kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu iliyopita kwa sababu awamu iliyopita kuna maeneo watu walipita bila kupingwa. Kwa takwimu za uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 vijana wengi walichukua form na...
  4. Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

    Wakuu, Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana. Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia, Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu...
  5. Nawezaje kupata nafasi ya kuhamia UDOM?

    Wakuu habari? Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza, Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za kufanya Ili kupata nafasi ya kuhamia UDOM dogo Yuko vzr Kwa case ya matokeo ya mwaka Au mwenye...
  6. Siwezi kutoboa, Waalimu elfu 28 kugombea nafasi 183. Narudi kulima

    Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
  7. Nafasi ya Kazi: Radiographer anatafutwa

    Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka. Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
  8. B

    Haichukui nafasi ya Daktari

    HAICHUKUI NAFASI YA DAKTARI usizidishe message juu ya message ambayo haijajibiwa especially ya mpenzi usilete unyonge - Haichukui nafasi ya daktari usitume na ya kutolea kama Kila siku anakupiga kalenda -Haichukui nafasi ya daktari mara moja moja kunywa bia mbili kalale - Haichukui nafasi...
  9. Nafasi ya Graduate Trainee AutoXpress

    Nimepata kutumiwa hii kitu na mfanyakazi wa AutoXpress hivyo kama kuna graduate wa mwaka 2023 na mwaka huu. Wafanye kuomba!
  10. Mwanzilishi wa hotel za Hilton ilibidi alale ofisini kwake ili tu a-utilize kila nafasi iliobaki kwa ajili ya vyumba vya kulala wageni

    Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato. Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
  11. Alex Ngereza: Yanga atamaliza ligi nafasi ya 3

  12. Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
  13. Nafasi ya Kazi Pamba Fc

    Kazi kwenu wenye sifa
  14. T

    Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

    Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
  15. Nafasi za kazi( 3)

    " New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053
  16. Nafasi ya kazi

    New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053"
  17. LGE2024 Nimesanuka, mitaa yote niliyokaa Viongozi wa Serikali za Mitaa ni Wazee, kwanini Wanawake na Vijana hatuzishobokei nafasi hizi?

    Salaaam Wakurungwa, Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute viongozi wa Serikali za Mitaa kupata huduma mbalimbali. Kautafiti kangu kwa mitaa yote niliyopita ofisi...
  18. Artisan II (Plumbing And Pipe Fitting) at TBS

    TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) at TBS October 2024 TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania • Full-time Job description Job type: Full-time POST ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) – 1 POST EMPLOYER Shirika la Viwango...
  19. Tangazo la Nafasi za kazi

  20. Gachagua akana kudai Ksh.8B ili akubali kuachia nafasi ya Naibu Rais wa Kenya

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri. Amesema hayo wakati alipohojiwa na kituo cha Redio, amesema “Sina tamaa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…