nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta nafasi ya kazi Tabora na mikoa mingine

    Naitwa Rashid, kijana wa kiume 24, muhitimu chuo kikuu 2026, natafuta kazi yoyote kama cleaner, gas station attendant n.k ndani ya mkoa wa Tabora mjini, pia nipo tayari kufanya kazi ndani ya Dar es salam.. Ahsanteni
  2. Hakuna nafasi ya mifereji kwangu, ndugu wa mfukoni wakae mbali

    Wanajamii Forums, leo sina hata tone moja la huruma wala maneno ya kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hawa wanaojiita ndugu Kama kuna kitu kinachonichefua kwenye maisha haya, ni kuona mijitu yenye roho ngumu kama chuma cha pua ikijifanya ina upendo wa ghafla baada ya kuona umejitutumua na...
  3. πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! πŸ“ LOCATION: Goba Center πŸ“ UKUBWA: 645 SQM πŸ“œ UMILIKI: Hati miliki ipo πŸ“ VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  4. πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! πŸ“ LOCATION: Goba Center πŸ“ UKUBWA: 645 SQM πŸ“œ UMILIKI: Hati miliki ipo πŸ“ VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  5. πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    πŸ”₯ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! πŸ”₯ Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! πŸ“ LOCATION: Goba Center πŸ“ UKUBWA: 645 SQM πŸ“œ UMILIKI: Hati miliki ipo πŸ“ VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  6. C

    Murtaza Ally Mangungu akosa nafasi ya kuwania Uenyekiti Simba SC

    Mwenyekiti wa sasa wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Ally Mangungu, ameondolewa miongoni mwa wagombea saba waliochukua na kurudisha fomu za kuwania nafasi ya Uenyekiti katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo utakaofanyika Januari 30, 2027. Kwa mujibu wa orodha ya awali iliyotolewa na Kamati ya Uchaguzi...
  7. Uteuzi, utenguzi na mantiki ya kuwapa watu wale wale nafasi zilezile?

    Mtu mwenye mamlaka ya kupanga na kupangua, kuteua na kutengua ana wajibu mkubwa wa kuhakikisha watu anaowapa dhamana wanakidhi matarajio ya nafasi husika Sometimes najiuliza, tatizo ni watu wanaoteuliwa kushindwa kutekeleza majukumu yao mpaka kunakuwa na panga pangua au mteuaji naye ana...
  8. Je, wakati mwingine tunachelewesha mafanikio yetu wenyewe kwa kushindwa kutunza nafasi ambazo Mungu anatupa?

    Wasalaam (Hii haiwahusu Atheists) Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari kuhusu maisha, imani, riziki na mafanikio. Kwenye maisha wakati mwingine tunapitia hali ambazo kwa kiasi fulani tunajua kabisa kuwa tumechangia wenyewe kujirudisha nyuma au kuwa mahali tulipo. Tunafanya maamuzi mabaya...
  9. REO Mbeya: Hongereni Rungwe kwa kuifanya Mbeya kushika nafasi ya tatu Kitaifa ufaulu wa Shule za Msingi

    Kikao kazi cha tathmini ya Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2026 kwa halmashauri za Mkoa wa Mbeya kimefanyika leo tarehe 23 Novemba 2026 katika ukumbi wa Ndalichako Hall, Chuo cha Ualimu Mpuguso, Wilaya ya Rungwe. Akizungumza katika kikao hiki, Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya...
  10. Wanawake, mkipata nafasi muwakumbatie Wanaume kwa nguvu, hawana Furaha

    Wanaume wana huzuni, hasira, uchungu, wanatamani waoneshe hisia zao lakini haiwezekani, jamii inawakataza kufanya hivyo, hawatakiwi kulia wala kuhuzunika, wanatakiwa wawe ngangari muda wote, sasa hii inapelekea kua makatili au kupata changamoto za afya ya akili, ukichunguza sana utaona nyuma ya...
  11. Suzana Kaganda, Kamanda jasiri apewe nafasi kubwa polisi

    Huyu mama misimamo yake ilitosha kuwashawishi wakubwa wa wizard na idara ya polisi kumpatia nafasi kubwa ya maamuzi ndani ya polisi. Binafsi kwa sasa sijui aliishia wapi mara baada ya kuchomoza na hotuba zilizo trend sana kipindi kile Jiwe yupo magogoni. Soma Pia: Rais Samia asante Kwa Uteuzi...
  12. Je, unatamani kuendelea na degree au ulikatishwa masomo na unatamani kurudi shuleni? Una nafasi ya pili hapa.

    Arusha International Open School inakupa nafasi ya kusoma na kupata cheti cha O Level kupitia program maalum kupitia mtaala wa kimataifa wa Cambridge unaotambuliwa na NECTA. Nafasi hii ni kwa nani? βœ… Wanafunzi wa Clinical Medicine, Pharmacy na Nursing wanaotaka kupanda hadi Shahada (Bachelor)...
  13. Ukifanyika utafiti Tanzania tunaweza kuwa nafasi ya juu sana Afrika katika nchi zinazoongoza kuvujisha video za utupu wa watu mitandaoni

    In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
  14. Tetesi: Zitto Kabwe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Club ya Simba Sports

    Taarifa kutoka baadhi ya Vyanzo ni kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe ambaye ni Mwanasiasa Mstaafu, Mfanyabiashara na Mkulima anafikiria kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa Simba. Sasa hivi Zitto ni Mfanyabiashara akiwa amewekeza hapa Tanzania, Kenya, Ethiopia na...
  15. Tangazo la nafasi ya kazi

    NAFASI: FUNDI WA AIR CONDITIONING (AC) & REFRIGERATION. Kampuni yetu VGK, inatangaza nafasi ya kazi kwa Fundi wa AC mwenye sifa zifuatazo: Sifa za Mwombaji: 1. Awe na cheti cha ufundi wa AC/REFRIGERATION (VETA/NACTVET au taasisi inayotambulika). 2. Awe na uzoefu wa kazi ya ufungaji...
  16. Nafasi za kazi - Morning Joy Motors Singida bra CH

    WE ARE HIRING! JOIN OUR TEAM – SINGIDA BRANCH MORNING JOY MOTORS Morning Joy Motors is expanding its operations, and we are looking for ambitious, talented and results-driven individuals to join our growing team at our Singida Branch. We specialize in the importation and sale of quality...
  17. CIIE yasaidia bidhaa za Afrika kupata nafasi imara zaidi katika soko la China

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamefunguliwa hivi karibuni mjini Shanghai, yakivutia idadi kubwa ya makampuni na wafanyabiashara kutoka Afrika. Katika siku ya kwanza ya maonesho hayo, Kampuni ya kuchakata kakao ya Ghana ilipata oda ya tani 250 za kakao yenye thamani...
  18. Tufanye amendment: Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akose sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa. hii itadhibiti tabia za wanasiasa Nchini

    Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akili huwa haziko sawa utimamu wake hupungua kwa asilimia 70 (Qandt, K. R. & Jones, A.J, 2021). na sifa ya kiongozi ni kuwa na akili timamu. Hivyo basi: nashauri amendment ya katiba ifanywe na bunge letu tukufu ili kuzuia mtu yoyote ambaye alishawahi...
  19. M

    Kufika mbali kisiasa hadi uwe mkristo, Viongozi wengi wa kiislam wanabana nafasi wanapenda kurithisha familia zao

    Marais wajao wa kiislam wenye nafasi kubwa ya kuteuliwa ndani ya CCM iwe Tanzania kiujumla au Zanzibar wametoka kwenye familia za viongozi wakubwa Baadhi ya majimbo ni wanafamilia tu hugombea, kama umetoka hayo majimbo tafuta nafasi nyingine Wanafamilia hupewa vyeo vikubwa
  20. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…