mwanza

  1. A

    KERO Kero ya Maji Ilemela maeneo ya Buswelu, na mitaa mingine kama Nsumba na Kuseke

    Mimi nipo Mwanza maeneo ya Ilemela. Huku kuna changamoto ya maji maeneo ya buswelu, na mitaa mingine kama Nsumba na kuseke kwa ujumla. Yaani kuna maeneo inapita hata miezi miwili au zaidi maji hayatoki ilihali tupo jirani na ziwa. Kiufupi huku huduma ya maji hamna watu wanalazimika kununua...
  2. Tulisema ajali MV Mwanza ni uzembe au hujuma!-Nahodha asimamishwa kazi. Mkuu wa Mkoa alidanganya umma

    https://vt.tiktok.com/ZSsks68dc/ https://vt.tiktok.com/ZSsksjV77/ Mkuu wa Mkoa alidanganya umma. Eti ajali ile ni majaribio. Danganya wapumbavu na kudharau uwezo wa umma kufikiri. Mkuu wa Mkoa MWanza awajibike kuudanganya umma, alikuwa anamtetea nani, sidhani kama alikuwa anatetea Taifa kwa...
  3. C

    TASAC: Meli ya Mv New Mwanza haitarejea kutoa huduma hadi itakapothibitisha usalama wake

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameielekeza Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania (TASHICO) kutekeleza hatua za kiufundi na kiutawala kufuatia ajali ya meli ya MV New Mwanza iliyogonga mwamba katika Ziwa Victoria, huku akisisitiza kuwa meli hiyo haitarejea kutoa huduma hadi Mamlaka ya...
  4. Ndejembi anafungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST) - Mwanza

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, leo tarehe 25 Novemba 2026, anafungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 56 wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST), unaofanyika katika Ukumbi wa Kwatunza Beach Jijini Mwanza. Mkutano huo wenye kauli mbiu isemayo...
  5. R

    Mwanza: Watu 63 watuhumiwa kwa makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watuhumiwa 63 kwa kujihusisha na makosa mbalimbali ya jinai ikiwemo kujihusisha na dawa za kulevya, wizi na uvunjaji wa nyumba usiku na kupatikana na pombe ya moshi pamoja na mitambo ya kupikia pombe hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
  6. Sio kawaida tukio mwamba wa Bismack kugongwa

    Kuna kitu kwenye huu ulimwengu hakipo sawa, Kuna matukio yanatokea yanakufanya uwaze mara mbili kama ulichoshuhudia ni kweli au unaweweseka. Tukio la meli mpya New MV Mwanza kugonga mwamba wa Bismack ni mojawapo ya matukio hayo. Hivi inawezekana vip Uwazi wote ziwa Victoria mtu asione pa kupita...
  7. Ajali ya Meli Mwanza, Tunajua mtakuja na majibu mepesi na ya kipuuzi. Tunataka majibu ya kina

    This time hatutahitaji majibu ya kijinga wakati nchi inapoteza pesa nyingi. Waziri mwenye dhamana atoke hadharani atuambie shida ninini? Meli mpya ya mabilioni ya pesa inachezewa kijingajinga hivi Taarifa za mashuhuda wanasema Meli imekosa kugonga kivuko then ikagonga mawe. Ilikuwa inatoka...
  8. KERO Malipo ya kutumia Vyoo Stendi Kuu ya Mabasi ya Nyegezi - Mwanza yanatumika kufanya nini mbona vina hali mbaya ?

    Nimekuwa nikitumia Stendi Kuu ya Mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza kwa miaka kadhaa, nina kero kuhusu hali mbaya ya miundombinu ya vyoo katika kituo hicho. Stendi hii ambayo ilianza rasmi kutoa huduma Juni 5, 2023, inakabiliwa na changamoto ya kutokuwa na huduma bora za vyoo. Mabomba ya kunawia...
  9. F

    Wizara ya Maji imefanikiwa kuhakikisha maji hayatoki Jiji la mwanza siku ya tano mfululizo bila taarifa yoyote

    TANESCO pamoja na mapungufu Yao,wao wamefanikiwa kwenye utoaji taarifa,wakatapo umeme, wataarifiwa wateja kupitia namba zao za simu. Jambo hili,mamlaka ya Maji nchini hawana habari nalo, utatumiwa meseji ya kudaiwa maji na utapigiwa ulipe deni, ila wakikata maji,hawatoi taarifa yoyote maana...
  10. C

    Lami imepasuka katikati Mwanza na Kusababisha ajali

    Kumekuwepo na video ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutoka jijini Mwanza maeneo ya pasiansi Katika tukio hilo gari aina ya canter inaoneka kuwa ikiwa imetitia kwenye Barabara na kusababisha jali katika maeneo hayo, Tukio hilo linadaiwa lutokea siku ya jumamosi tarehe 14/11/2026
  11. M

    Mwanza imepitwa hadhi na Arusha, ni local city kama Mbeya na Tanga. Uwanja wa Serengeti utaipush Mwanza, tatizo ni kukosa elimu kwa baadhi ya viongozi

    Juzi nilisikiliza podcast moja na walitoa hoja ambazo kwa kweli zilikuwa na mantiki sana kuhusu hadhi ya majiji yetu nchini. Hoja kuu ilikuwa kwamba Mwanza haina utambulisho au hadhi yoyote ya kipekee nje ya kuwa jiji la kikanda, isipokuwa tu ni kubwa kijiografia, majengo na idadi ya watu...
  12. wakuu nauza kiwanja Mwanza

    Nimeamua kuuza tena Maana nili ahirisha kiwanja changu kipo mwanza Buswelu kahama ukubwa 18 kwa 28....wahituwahi....0756038510...Bei....Milion 3.2M..Piga simu tuwahi Nikuunganishe na ssiter angu hapo Mwanza tumalize mi npo DSM
  13. Muda huu 12: 23 tarehe 5/11/2026 limepita tetemeko kubwa la ardhi eneo la Masumbwe Geita likiwa na uelekeo wa Magharibi lililodumu kwa sekunde kadhaa

    Ukubwa wa tetemeko hili ni mkubwa kuwahi kutokea kutokana na mtetemo wake, kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika eneo hili hili linaweza kuwa tetemeko lenye mtetemo mkubwa kuwahi kutokea maeneo haya mchana. Kwa upekee limepita muda nilioutaja hapo juu na kujirudia tena saa 1:22pm. Mtetembo...
  14. F

    Siku hizi Mwanza haipendi tena kama zamani, kunani?

    Alipewa Hadi uchifu, Safari za mwanza zilikuwa haziishi, Kilichonishangaza, iweje mwanao anaoa, tena mwanao anayeoa atokea Mwanza, na Hilo halitoshi anaoa Binti wa Mkubwa Fulani wa nchi jirani na hukuudhuria ukaishia kumtuma mjomba maskafu akuwakilishe. Hii ni Nini hasa tafsiri yake, unaoza...
  15. O

    Kizibo Kitamu Cha Upendo: Rais William Ruto Awasili Mwanza Kusherehekea Harusi ya Bintiye

    Hali ya shamrashamra na furaha kuu inatawala jijini Mwanza, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo Rais William Ruto wa Kenya aliwasili jana jioni ili kuungana na familia na marafiki katika kusherehekea harusi ya bintiye inayofanyika rasmi leo. Tukio hili la kifahari linawaleta pamoja viongozi...
  16. Ntafuta Garage nzuri Mwanza au Geita

    Wadau kwema? Nina shida ya kupata garage nzuri yenye fundi mahiri wa umeme wa magari pamoja na fundi mzuri wa body. Gari yangu ni Subaru Forester SJ5 (2015). Mara ya mwisho nilikuwa na tatizo la gari kugoma kuwaka linapoingia kwenye maji. Baada ya uchunguzi, nimebaini kuwa maji yanaingia...
  17. A

    DOKEZO Ufanyike uchunguzi wa kina kuhusu uuzaji wa dawa katika Kituo cha Afya Katunguru

    Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa uuzaji wa dawa katika Kituo cha Afya Katunguru, kilichopo Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza. Tunaomba Wizara ya Afya na mamlaka nyingine husika zifuatilie suala hili ili kubaini ukweli na kuchukua hatua stahiki. Baadhi ya wafamasia wanapoingia zamu huleta...
  18. Tetesi: Mwenyekiti CHASO Mwanza kupewa kesi ya ugaidi na Polisi

    Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
  19. A

    KERO Responded Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka

    Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli? Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
  20. C

    Brenda Rupia :Tunafuatilia kukamatwa kwa Zakaria Obadi polisi wafuate sheria

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Brenda Rupia Jonas, amesema chama hicho kimeshatuma wawakilishi wake katika vituo vya polisi jijini Mwanza kwa ajili ya kufuatilia hatua za kisheria baada ya kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…