mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

    Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo. Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii...
  2. Wanakumbuka VIZURI agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho ila wanapinga na hawataki agizo kua mwanamke atakua chini ya mwanaume.

    Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu. Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
  3. K

    Inakuwaje baadhi ya wanawake wapo tayari kumwacha mwanaume anayempenda kisa fedha baadaye anarudi na kutaka muwe wapenzi kisirisiri?

    Nilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela. Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi, mwengine tulijuana kwenye projects moja ambayo ilikuwa tempo ya kama mwaka mmoja. Huyu mwana niliyejuana...
  4. Survival “skills” kwa Wanaume

    Hizi ni skills ambazo ni lazima mwanaume uwe nazo. 1. Mwanaume lazima ujue kupika. Kupika sio kazi ya wanawake wala sio gender role hii. Haya ni maarifa anayotakiwa kua nayo kila mtu. Kuna watu waliamua kuoa tu kwa sababu wanataka mtu wa kuja kuwapikia. Maana yake kama wangekua wanajua kupika...
  5. Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

    Ntajaribu kuifupisha Sana hii kadiri ya uwezo wangu[emoji116] NI HIVI, Bila shaka mnamkumbuka yule Mchepuko Wangu anaesoma chuo kikuu ambae ni mdg wake na mamaJ. Uyu Binti mahusiano yangu na yeye yapo yapo TU kwa msimu. sometimes ON, sometimes OFF Yaan kwa mwez tunaweza kuonana Mara 1 au Mara...
  6. H

    Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni...
  7. K

    Putin aagiza mataifa hasimu kununua gesi kwa pesa ya Urusi (rubble)

    Rais mbabe na mmiliki wa mkanda mweusi wa judo katangaza kuanza kuuza gas yake kwa zile nchi alizoziita unfriendly kwa sarafu ya rubble badala ya dollar & euro na katoa wiki moja kwa bank kuu ya Urus kukamilisha utaratibu wa kupokea mauzo ya gas kupitia rubble Kwahiyo kuanzia wiki moja toka Leo...
  8. Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Wasalam! Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi. Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara wake. Muda haukuwa mrefu aliomba kurudi kwangu kienyeji enyeji ila hali swala lilishafika kanisani...
  9. Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

    Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset). Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na...
  10. Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

    Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja. Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
  11. Emoji mpya za mwanaume kubeba mimba kwenye ios 15.4, ushoga unazidi kupromotiwa

    Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba. Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?
  12. Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

    Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu. Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
  13. Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

    Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi. Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha...
  14. Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?

    Habari wana jamvi? Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena...
  15. L

    Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

    UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
  16. Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

    Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
  17. B

    Wanawake mnasema mnapenda mwanaume anayejua kuhonga, ila mkiwapata hao wanaume, mnawaona na kuwafanya maboya

    Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga. Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada...
  18. Mwanaume ukiwa na sifa ya ukorofi bado uko salama kwa wakwe zako

    Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense. HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako. Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao. 1. Ni mkorofi Sana. 2. Hutaki Nonsense. 3. Mbinafsi/ mchoyo. 4. Hupendi kusaidia ndugu wa Pande zote mbili si ndugu wa ukoo wako Wala...
  19. Mwanaume afariki akifanya tendo la ndoa, mwanamke asema "Alihema kwa kasi kisha akaanguka pu!"

    Mwanaume mmoja amefariki dunia wakati akiwa faragha na mpenzi wake katika nyumba ya wageni kwenye ghorofa moja jijini Nairobi. Taarifa za Polisi zinasema, Joseph Ngaruiya umri miaka 40, anadaiwa kupata shida ya kupumua akiwa na mpenzi wake katika vyumba vya Myra, Jumatatu, Februari 28, 2022...
  20. Nigeria: Baada ya miezi 3 abaini 'house girl' ni mwanaume

    Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume. Mwanamke huyo amebaini kuwa huyo si mwanamke baada ya kumfanyia kazi kwa takribani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…