mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Wadada wanaosema hawako katika mahusiano na mwanaume yeyote ni hatari kwani wanajiuza

    Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye utajiri. Hawa watu wanaishi kwa pesa za kudanga kwani watu wengi huwa wanajipata wakiwa tayari na...
  2. Kuna shida gani mwanaume kupiga magoti mbele ya mke wake kwa ajili ya kumuomba msamaha wa jambo ambalo liko sensitive sana

  3. Eliza; wanawake tukienda geto kwa mwanaume, asipoonyesha kukuhitaji kimwili huwa tunarudi na stress

    Mwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui. Eliza akiongea na mwandishi, ameulizwa swali ni kitu gani ambacho wanaume hawajui kuhusu wanawake? Eliza amejibu hivi. "Kitu Ambacho wanaume hawajui ni kuwa, tukienda magetoni kuwatembelea halafu wasionyeshe hata dalili ya...
  4. Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

    Kozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nesi na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu. C.c Kiranga
  5. Yasinta; Mwanaume hata kama una kibamia jiamini, yupo mwanamke atakupenda na kibamia chako

    Mwana Mitindo , Jasinta makwabe ame washauri wanaume ambao wana hisi kuwa na maumbile madogo ya kiume (KIBAMIA) ni ulemavu, Waanze Kujiamini Kwa sababu hakuna kitu ambacho MUNGU ana kiumba bila sababu za msingi. Hata uwe na Kibamia lazima Kuna mwanamke wako Atakupenda na Kibamia Chako na...
  6. Kila mwanamke ana ndoto za kumtawala mwanaume

    Hii ni sababu kuu kwanini singo maza wanaongezeka kila kukicha hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu atakubali kutawaliwa na mwanamke Wanawake wa sasa wanataka watupindue wao ndio wawe vichwa vya familia afu sisi wanaume tuwe kama watoto . Wapo wanawake wengine wanafika mbali wanaroga...
  7. Wanawake, Kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa tajiri au ndoa na mwanaume mbangaizaji?

    Kwa mwanamke kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa mwanaume tajiri/ kigogo/ mwenye uwezo wa kuhudumia mtoto wake mahitaji yote kuanzia bima ya afya ya maana hadi shule za level ya Feza au ndoa ya kudumu na mwanaume wa kawaida, masikini, kapuku, mbangaizaji ambaye watoto watasoma St Kayumba...
  8. Kuna mtu aliwahi kusema kuwa mwanamke akikasirika basi mwanaume ampe pesa na mwanaume akikasirika basi mwanamke ampe good sex

    Unaweza kuchukulia poa huu msemo Labda ukaona umekaa secular sana Ila mwanamke yoyote alie katika household ambayo kuna ukata mara nyingi ni mtu wa kuvuta vuta mdomo sana, alafu itokee bwana ake amemuudhi, bwana nae kapiga pini, alafu mdada akutane na vijana wa crown wenye uwezo wa kukidhi...
  9. SAIDA KAROLI : “Sizalii Mwanaume, Kila Mtoto Wangu Ana Baba Yake”

    Mwanamuziki nguli wa nyimbo za asili nchini, Saida Karoli, amewashangaza na kuwagusa wengi baada ya kufunguka kwa uwazi kuhusu maisha yake ya uzazi, mahusiano, na sababu zilizomfanya apate watoto na wanaume tofauti tofauti. Akizungumza katika mahojiano maalum, nguli huyo aliyewahi kutamba na...
  10. Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

    Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...! 1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂 2. Kupika dagaa wana vichwa.. 3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa...
  11. Dalili za mwanaume maskini ni hizi

    Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako . WEwe jua wewe ni maskini . Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
  12. Hivi kuanzia lini na wapi ngozi ya mwanaume Kwa mwanaume inakuwa na hisia/ msisimko hasa wa kingono?

    Kuna vitu vinashangaza sana na sijui ni wasomi kuwa wengi au hata sijui tu. Sisi tumezaliwa na kukua tunalala pamoja tena pasina hata kujua kuna kulawitiana nk Tukaenda shule maghetoni Bado tutakutana na watu Si ndg zetu tunaungana wawili Hadi watatu geto Moja tunalala na maisha ya naenda...
  13. Mwanaume unanunua nguo maalumu za kulalia ili iweje?

    Wakuu, Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha. Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje? Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume? Kwa mtoto wa kike...
  14. K

    Mtazamo wa watu zamani kwa mwanaume na mwanamke hata kiroho

    Wakati wa sasa ni watu wengi sana wanafahamu habari ya maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini. Jamii ya kiswahili inafahamu uwepo wa dini nyingi na hasa dini mbili uislamu na ukristo. Watu wa zamani pamoja na mambo yote walielewa uwepo wa nguvu za aina mbili katika uwepo, yaani uwepo wa nguvu...
  15. Mwanaume kabisa unatenga muda wa kumsikiliza Rose shaboka serious?

    Hii Nchi wanaume Wana mambo ya ajabu sana. 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
  16. Juma lokole anakwambia wolper na mulky vita ni kubwa ya kugombania mwanaume isarito

    Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
  17. Kila mwanaume aliumbwa awe Msodoku kisha Myebusi

    Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke. Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja kengeuka na kuwa Wapashiwa.
  18. Myebusi ni toleo la kwanza na la Mwisho la Mwanaume

    1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia. 2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza mkuta anawatoto hata 10 wote atawahudumia vizuri na wake mke wake bila shida 3. Nlisema Wayebus...
  19. Mwanaume anaetetea wanawake kwenye kila jambo, ukiwa serious ukamtongoza anaweza kukubaliki

    Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia Hii theory nataka niifanye kazi kwa hawa wanaume wanaotetea sana wanawake katika kila jambo bila kuangalia...
  20. Card B; Siwezi kumpikia mwanaume kama una njaa si uagize

    Rapa machachali wa Marekani, Cardi B mwenye watoto wanne, ameweka msimamo wake wazi kabisa kwamba kwasasa hawezi kabisa kumpikia wanaume, na akiwa na njaa anaweza kuagiza chakula kupitia Uber Eats. Kauli yake imezua mjadala mkubwa mtandaoni kwa kasi, huku baadhi ya watu wakiiona kama ishara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…