mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi bado kuna mtu anasubiria mwanaume au mwanamke ampende ndio ajiskie raha kwenye maisha?

    Kama wewe ndio muhusika Unasubiria mpaka mwanaume au mwanamke akupende ndio uanze kujipenda Au kama bado una seek validation or approval kwa mwanaume au mwanamke kwenye swala zima la kupendana Comment hapo chini MIMI NI MJINGA
  2. Mwanaume hapo vipi?

    sijakisikia mwanaume!
  3. Shetani ni mwanamke au mwanaume?

    kama shetani ni jinsia ya kiume ilikuwaje akakutana na mwanamke mtupu kwenye bustani ya edeni na kumshawishi kula tunda pekee kwanin hakumpa ushawishi kwa mambo mengine au shetan naye sio rizki (gay)🤣🤔
  4. M

    Mwanaume! Hizi ni siku 6 ambazo unatakiwa umkaze kisawasawa mke wako

    1.Siku aliyokusamehe kosa lako.hakikisha siku hii unatumbua vijipu vyake vyote vya hasira vilivyoiva kwa wakati huo. utajua wewe utatumia mbinu gani ila hakikisha hilo bro! Ombi la msamaha kwa mwanaume linakamilishwa na mikazo. Ukimkaza vizuri hapo ndio atakusamehe mazima kutoka...
  5. Kubeba mimba ya mwanaume bila makubaliano ni ukatili kwa Wanaume. Iwe kosa la jinai

    KUBEBA MIMBA YA MWANAUME BILA MAKUBALIANO NI UKATILI KWA WANAUME. IWE KOSA la JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii ishu lazima tuizungumzie mara kwa mara mpaka izoeleke akilini. Na wanawake wajue ukatili wanaoufanya. Ni kama ubakaji hivi. Unabeba mimba ya mtu bila ridhaa yake. Huo ni...
  6. Mwanaume kama huna Pesa "huthaminiki"!

    Wanabodi.. Poleni kama nitakuwa nimeandika lugha ngumu, ila nataka kuweka msisitizo kabisa. Wanaume wenzangu, ni muda mwafaka wa kutambua ukweli Mchungu. Mnyama dume asipo kuwa na nguvu, hawezi kustahimili maisha ya porini. Ataishia kuteswa na wanyama wenye nguvu, hata pata jike, na pia hata...
  7. Ukiwa mwanaume, mwanamke wako atakutuma dukani ama sokoni bila kukupa pesa....

    Huwa nawaza kwamba.... Kwakua yesu ni mkate ya uzima, ndiomaana niliamua kutembea na chai maana naweza nikakutana nae ghafla...😝
  8. T

    Mwanafunzi wa kidato cha pili akutwa nyumbani kwa Mwanaume anayedaiwa kuwa Mwanajeshi jijini Arusha

    Vurugu zimeibuka katika mtaa wa Kimindorosi, Kata ya Ulasiti jijini Arusha, baada ya mwanafunzi wa kidato cha pili kukutwa nyumbani kwa mwanaume anayefahamika kwa jina la Sala, anayedaiwa kuwa mwanajeshi, katika mazingira yanayohusishwa na tuhuma za mahusiano ya kimapenzi. Akizungumza kuhusu...
  9. Mwanamke ni kiumbe wa ngono, kama wewe ni mwanaume na umeshindwana naye vunjeni mkataba wa kuishi pamoja badala ya kuishtakiana

    Mwanamke ni kiumbe wa ngono, ikiwa wewe ni mwanaume na umeshindwana naye vunjeni mkataba wa kuishi pamoja badala ya kuishtakiana Mwanamke ni kiumbe wa ngono kwa maana kuwa wanaume wote watakapomuona watatamani kulala naye, ikiwa una mgogoro na mke wako kila msuluhishaji atakayekuja awe wa kiume...
  10. Mpe moyo mwanaume mwenzio, Mtaa hauna huruma na wanaume

    Kila siku inapoanza na jua linapochomoza katika kona za Tanzania, iwe ni mitaa ya Dodoma, Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na kwingineko nchini, maelfu ya wanaume hutoka majumbani mwao wakiwa wamevaa nyuso ngumu zisizoonyesha hofu. Wanaamka mapema kupambana na jua kali, vumbi, na ugumu wa maisha...
  11. Umuhimu wa tendo la ndoa Kwa mwanaume

    Salaam jamiiforum. Siyo lazima kuwa kwenye ndoa ndipo ufanye hivyo,japo Kwa mujibu wa maandiko kwenye vitabu vya dini,kufanya tendo hilo bila ndoa au mwenzi anayetambulika kisheria,huhesabika ni zinaa. Yaani ni chukizo mbele za Mungu. Ila ukweli ni kwamba hili jambo ni tulizo Kwa wanaume...
  12. Ujumbe maridhawa unaomuhusu kila mwanaume anayejitambua. Pitia kwa faida yako.

    Katika kuzurura kwangu huku na huko mitandaoni, nikakutana na ujumbe mzuri ambao nahisi utakuwa Ni Elimu tosha kwa wanaume (hususani wanaoitwa "simps"). Si dhambi nikashea nanyi. ====================== Kwa Kiswahili! Kwa Masada wa AI WANAUME - ACHENI KUTUMIA PESA ZENU KUTATUA MATATIZO YOTE YA...
  13. Ipi hasara ya mwanaume kuzaa watoto halafu akamuachia mwanamke kulea mwenyewe?

    Ni sahihi kimaadili mwanaume kuzaa watoto kisha kumuachia mwanamke aliyezaa naye kulea mwenyewe au kuwapeleka kulelewa na bibi yao ?
  14. B

    Mwanaume kulia kisa mapenzi ni udhaifu uliopitiliza

    Nimekuta lidume lina mlilia mwanamke, tena ni hawala tu. Nimetafakari sana, Dume zima linatoka machozi na makamasi kedekede kisha kuambiwa "its over" du! Hata huyo mwanamke atakudharau sana tu. Kuna kitu kimepungua kwa wanaume siku hizi sio bure!
  15. Broo, Imagine huyo unaesumbuka nae huko PM ni njemba au ni aina ya Anko T ⁉️

    nipo nawaza tu apa nawakumbusha tu ukija humu jukwaani washa akili zima hisia maana kuna vijana wengine humu jau kwelikweli nyege zipo mfuko wa shat 😂 shauri yako NB: 👇🏾 Mambo ya PM mwisho PM ‼️
  16. M

    Katika maisha ya kweli umewahi kumjua mwanaume mwenye maisha ya chini aliepata zali la mentali, kupendwa hadi kumuoa binti mwenye uchumi mzuri?

    Ukiacha stori ya kwenye wimbo wa 'Zali la Mentali', je, ushawahi kuona mwanaume wa hali ya chini anayebatika kuoa binti tajiri na maisha yake yakabadilika kweli? Ama hizi mambo hutokea kwenye nyimbo na filamu tu? Share kisa unachokijua.
  17. Sehemu 5 za kumshika mwanaume wakati wa tendo la ndoa

    Mwanamke hakikisha wakati wa tendo na mwanaume wako unazichezea, unazibusu na kuzinyonya sehemu zifuatazo 1. Uume 2. Shingo 3. Sikio 4. Chuchu 5. Navel (sehemu ya kitovu au tumbo la chini) Zingine ongeza
  18. K

    Mwanamke aliye ndani ya ndoa kipato kikiongezeka anataka kuwa huru, Mwanaume akipata Pesa anawaza kujenga na kuimalisha famila /ndoa. Nini sababu?

    Habari za jumapili wadau, kuna hii tabia ya wanawake walio katika ndoa wanapopata Pesa cheo au umaarufu mahusiano yao ya kimapenzi / ndoa na wenza wao hufa. Kwanini mwanamke asitumie hicho kipato chake kuimalisha mahusiamo ya ndoa. Ukifuatilia baadhi ya ndoa zimevunjika baada ya mwanamke...
  19. Mwanaume jithamini, jua thamani yako, usirudie mwanamke aliyekusaliti

    1. Usirudie mwanamke aliyekusaliti, mapenzi yanahitaji uaminifu. Ikiwa mtu amevunja imani yako, usikimbilie kumpa imani tena kuwa na msimamo na uwezo wa kufanya maamuzi yanayofaa. 2. Usikubali kudharauliwa weka mipaka katika maisha/mahusiano yako. Heshima inapaswa kuwa ya pande zote kamwe...
  20. Dada na wadogo zangu, mwanaume ndie kiumbe pekee mwenye upendo wa dhati kwako

    Hiyo nafasi nilio acha hapo juu, nitakuja kusalimia nikimaliza kuandika uzi. Baba na mama yako wanakupenda kwasababu walikuzaa (hawana hiyari) Dada/Kaka wanakuoenda kwasababu mlizaliwa pamoja (hawana hiyari) Huyo mwanaume uliekutana nae akiwa amezaliwa kwao na anatabia zake na hana undugu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…