MWANAMKE ANAONGOZWA NA HISIA ZAIDI KULIKO AKILI.
MAPENZI NI HISIA..
Mwanamke akikupenda AMEKUPENDA KWELI na utajua kuwa unapendwa hata kama wewe hutaona basi walioko pembeni ndugu jamaa na marafiki watajua kuwa huyo mwanamke anakupenda.
HATA KAMA HUNA PESA
atakuvumilia ,tena hatahitaji utumie...