mwanamke

  1. Kila nikitaka kuoa napata hofu, wasiwasi,kutojiamini na uchoyo(Ego)pamoja na kukosa mwanamke bikra

    Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo nimeshindwa cha kufanya na ukiangalia umri unaenda na nakaribia third floor sasa napata wanawake na...
  2. Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

    Kuna mwana mmoja dereva wa bajaj, sasa kuna usiku mmoja alikesha ila biashara haikuwa nzuri. Asubuhi mkewe anataka hela ya pampas, akamwambia kama ana kaakiba akanunue, ila mchana akiingia mzigoni atampa, demu kakomaa ila jamaa akambembeleza, baadae akamfunga mtoto vikanga. Sasa mwana siku...
  3. Aina za single mother

    1. Single mother mjane. Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
  4. Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

    Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama atakupiga kizinga basi jua kweli amekwama you need to support her. Mwanamke anayekupenda yupo tayari...
  5. Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  6. Nimeapa kiapo cha KIFO sitokuja nimuogope Mwanamke katika Maisha Yangu

    Wakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao. Ngoja nakuja kueleza kisa kizima hapa. Wanawake wanatesa vibaya sana yaani km una roho ndogo km mimi unaweza ukaua mara moja.
  7. B

    Je kuoa mwanamke aliyesoma sheria linaweza kuniletea madhara siku Za mbeleni?

    Wakuu, tupeane uzoefu kwa walio wahi kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na wanawake waliosoma sheria Mapungufu yao yapo wapi🤔 Je mwanamke akipata kazi hawezi kunisaliti na kutaka wenye elimu zaidi phds na maboss? Vipi kuhusu ujuaji ndani ya family? Vipi ikitokea nimetumia mabavu na ukali...
  8. A

    Kumbe mwanamke hafai kupewa uhuru kamili ndani ya nyumba?

    leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐 nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi. Namuuliza umetokawapi haeleweki nimempiga vibaya sana nakesho namtimua nyumbani kwangunilitaka nimuone nimeahirisha hilozoezi sijui...
  9. K

    GE2025 Dhana ya viti maalum na nafasi ya kweli ya mwanamke kwenye siasa

    DHANA YA VITI MAALUM NA NAFASI YA KWELI YA MWANAMKE KWENYE SIASA Wakati huu ambapo TANZANIA inajivunia kuwa na viongozi wa ngazi ya juu kabisa ambao ni wanawake – Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson – tunapaswa kujiuliza kwa dhati: je, bado kuna...
  10. Maisha ya Temeke: Uhuni, defender za polisi hadi kunusurika kuuawa kisa mwanamke

    Hii ni series ya matukio yaliyotokea miaka ya 2010-2013. Ni mtiririko wa matukio ya ujasiri,kushangaza,kufurahisha na kusikitisha. Maisha ya watoto wa Temeke. Miaka hii ilikuwa ndiyo mwisho mwisho wa uhuni uliokithiri wa watoto wa Temeke. Bhangi,wizi,mauaji, kukimbizana na defender za polisi...
  11. Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine. Bikra Matter
  12. Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

    Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge...
  13. Ishi na mwanamke kiakili

    TRUE STORY. Maisha hua yanatupa fundisho sana lakini hilo fundisho huwezi jua utalipata lini na wakati gani kwa muda gani. Back then wakati niko chuo mkoa X kuna baridi kinyama sana huko sasa wakati ule nilikua playboy sana hivyo sikuwahi kuumia na mapenzi kabisa na niliwahi sema aah mapenzi...
  14. Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
  15. Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu

    Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu
  16. Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba

    This is very interesting for me Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne. Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba. Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa...
  17. Mwanamke Akumbuka Shambulio la Sindano Katika Tamasha la Muziki Ufaransa

    Ilikuwa yapata saa 7:30 usiku, baada ya umati kupungua mitaani mjini Bordeaux, ndipo Manon alipohisi kudungwa na sindano kwenye mkono wake. “Mtu alinipiga kidogo kwenye mkono wangu wa kushoto. Nikaanza kuhisi ganzi kwenye misuli, kama vile unavyohisi baada ya kupata chanjo. Baada ya takriban...
  18. A

    Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

    Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3 Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili...
  19. D

    Kila Mwanamke Anapaswa Kujua Hili Kuhusu Mvurugiko wa Hedhi

    Hedhi ni Nini Haswa? Hedhi ni damu inayotoka kutokana na ukuta wa ndani ya mfuko wa mimba (uterus) ambao huandaliwa kila mwezi kwa ajili ya ujauzito. Endapo mimba haijatungwa, ukuta huo hubomoka na kutoka kama damu ya hedhi. Wanawake huanza kuona hedhi wakati wa kubalehe (puberty) kati ya miaka...
  20. PreGE2025 Edda Sanga: Udhalilishaji katika Mitandao kwa Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai ngazi ya Uongozi

    Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…