mwanamke

  1. M

    Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

    Naamini mko njema wakuu Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto Kingine niliamini mwanamke akianza...
  2. Hulka ya mwanamke kukopa kopa na kupenda pesa za dezo msimshangae bibi yule kuwa na hiyohiyo hulka

    Asilimia kubwa ya wanawake wanaishi kwa kutegemea mikopo.Wapo wanaokopa na kufanya mambo ya maana na pia wapo wanaokopa lakini mwisho wa siku pesa haionekani ilipopotelea. Sasa huyu kibibi naye anawakilisha kundi la jinsia yake , hana akili ya kupambanua afanye nini kusogeza gurudumu, cha...
  3. Imenichukua muda kuelewa kuwa kama mwanamke anakuambia kuhusu matatizo na issues zake wala hahitaji suluhisho bali umsikilize na umpe attention

    Na bado ukiishia kuwa msikivu na ukimpa attention anakuuliza "imekuwaje leo umeniskiliza hivi, kun kitu unanificha" Such unpredictable creatures, mehn.
  4. Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

    Wakuu, Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero! Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana. Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao...
  5. Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  6. Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

    Shikamoon wakubwa zangu wote Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani. Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini...
  7. Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

    Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset (tabia) Licha ya kuwa tuna kampeni kubwa ya kataa ndoa lakini bado wanaume mara nyingi tuanjitafuta...
  8. Oscar Wilde: Mwanaume anaweza kuwa na furaha akiwa na mwanamke yeyote mradi tu hampendi

    Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na migogoro ya kihisia; hivyo mtu anaweza kuwa “mtulivu” zaidi katika uhusiano ambao haujafika kiwango cha...
  9. Director wa FBI anasema wanakaribia kudondosha mafaili kuhusu aliens na UFO. So hii inamaanisha vile vijimtu/vibwengo ni kweli vipo?🤔

  10. Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

    Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa...
  11. Huyu Mwanamke amenishangaza sana

    Nimekaa nae weekend hii aisee Hajui kabisa kupika vingereza kibao Inawezekanaje mtu Hajui kupika kama Kwa ufundi mkubwa hivi
  12. Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  13. Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

    Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna...
  14. Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

    WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA). Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika maisha yangu na hivyo kwa nyakati hizi nimeamua kufuata Mila na desturi za kabila Langu la kisukuma...
  15. G

    Rais Mwanamke shujaa na shupavu ndio huyu

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  16. Kuna kazi au Majukumu mwanamke au Mwanaume akiziweza kuoa inakuwa kipengele

    KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo. 2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
  17. Kudate/kuoa mwanamke mwembamba (slim) unatakiwa uwe na uvumilivu wa kiwango cha SGR

    sjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira , mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
  18. Mwanamke ambaye sio rafiki yako hawezi kuwa mkeo

    MWANAMKE AMBAYE SIO RAFIKI YAKO HAWEZI KUWA MKEO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Rafiki yako namba moja baada ya Mungu ni Mkeo/Mumeo. Kama hii kwako ni ngumu acha kuoa/kuolewa. Ndoa itakushinda Mapema Sana. 2. Na isipokushinda ukajikaza. Utaishi kwa Mateso na kugugumia. Ndoa ni urafiki...
  19. Mwanamke anayejilipia mahari ndoa yake haiwezi kudumu

    Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii Mahari ninini? 1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama...
  20. Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya?

    Leo naamka na wanawake. Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya? Sizungumzii mwanamke mnywaji, nazungumzia mlevi. Yule wa kurudi usiku kutoka kwenye ulevi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…