mwanamke

  1. Binti amjibu mama yake, ndio maana baba ana mwanamke mwingine

    Wanajamvi hii imetokea ni rafiki wa mama kaja kushtaki mwanawe kamtukana hivyo, baada ya kumsema mwenendo wake hauridhishi atapata mimba isiyo na baba. Akamtamkia maneno hayo ila kaka wa yule msichana alivyosikia akampiga makofi dada yake. Msichana akaenda polisi, mama na kijana wake wakaja...
  2. Navutiwa sana na mwanamke mweusi

    Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaani nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni:- 1.Ni wa mooooto 2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe 3.Hachakai haraka 4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa Kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa...
  3. Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

    Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka! Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
  4. Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    Mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…