mwanamke

  1. Hivi bado kuna mtu anasubiria mwanaume au mwanamke ampende ndio ajiskie raha kwenye maisha?

    Kama wewe ndio muhusika Unasubiria mpaka mwanaume au mwanamke akupende ndio uanze kujipenda Au kama bado una seek validation or approval kwa mwanaume au mwanamke kwenye swala zima la kupendana Comment hapo chini MIMI NI MJINGA
  2. Yule mwanamke nilimuhangaikia sana

    Usiku nilikuwa silali... Nikinywa maji namuona kwenye glasi... Kama nikilala namuota yeye.... Kila nilichopata nilimkumbuka na yeye.. Lakini alizidi kunisumbua na kunitesa sana sana..... Sasa siku isiyokuwa na jina kakubali... doooh..... Sikuamini...mapigo ya moyo yakaongezeka...pumzi...
  3. O

    "Ni Kama Michezo wa Town": Mwanamke Aonyesha Hali ya Pioneer Eldoret Baada ya Hafla ya Funguo

    Mwanamke mmoja kutoka mjini Eldoret ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kurekodi video inayoonyesha hali halisi ya mradi wa nyumba za gharama nafuu wa Pioneer (Pioneer Affordable Housing / Boma Yangu), akipinga madai kuwa mradi huo ulikamilika na kukabidhiwa rasmi kwa wananchi. Katika...
  4. Mwanamke apigwa viboko 74 kwa kutovaa hijabu

    Ni muimba muziki wa Iran aliyeimba mtandaoni bila Hijabu Kwa nini wanawake wa Kiislamu huwa wanalazimsha kuvaa hijabu
  5. Shetani ni mwanamke au mwanaume?

    kama shetani ni jinsia ya kiume ilikuwaje akakutana na mwanamke mtupu kwenye bustani ya edeni na kumshawishi kula tunda pekee kwanin hakumpa ushawishi kwa mambo mengine au shetan naye sio rizki (gay)🤣🤔
  6. Je, mwanamke ni lazima akupende au wewe umpende? Je, ushawahi kujiuliza ni upendo anataka kutoka kwako? Kama umechagua upendo kwanini una michepuko?

    LOVE IS COMPLICATED😁 kwa sababu kama wanadamu hatufahamu asili ya upendo na mipaka yake na namna ya ku-handle upendo. Upendo au mapenzi? Je ni mihemuko ya ile moment tunaichanganya kama lifelong affection?🤔
  7. Ukiwa mwanaume, mwanamke wako atakutuma dukani ama sokoni bila kukupa pesa....

    Huwa nawaza kwamba.... Kwakua yesu ni mkate ya uzima, ndiomaana niliamua kutembea na chai maana naweza nikakutana nae ghafla...😝
  8. Kila mtu duniani amezaliwa na single mother

    Kuna matumizi ya istilahi "single mother" katika jamii yetu ambayo yanahitaji kusahihishwa. Watanzania wamezoea kuwaita wanawake waliozaa na wanaume ambao hawakufunga nao ndoa kuwa ni "single mothers". Lakini tukichambua maana ya maneno haya, tunakutana na mkanganyiko wa kimantiki. Kila...
  9. Si adabu kumrekodi picha za utupu mwanamke mtu mzima vile (heshima ipo wapi?)

    1. Vijana tuweni na heshima kwa watu waliotuzid umri. Unafanya yote haya kwa ajioi ya nn? Pia hata hamtumii kinga. Kweli? 2. Fikiria unamrekodi mtu mzima kama Bibi mzaa baba yako kisha unarusha mitandaoni. Heshima ipo wapi? Adabu ipo wapi?
  10. Mwanamke ni kiumbe wa ngono, kama wewe ni mwanaume na umeshindwana naye vunjeni mkataba wa kuishi pamoja badala ya kuishtakiana

    Mwanamke ni kiumbe wa ngono, ikiwa wewe ni mwanaume na umeshindwana naye vunjeni mkataba wa kuishi pamoja badala ya kuishtakiana Mwanamke ni kiumbe wa ngono kwa maana kuwa wanaume wote watakapomuona watatamani kulala naye, ikiwa una mgogoro na mke wako kila msuluhishaji atakayekuja awe wa kiume...
  11. K

    Unamwoa mwanamke ambaye umemkuta kwenye mahusiano, yaani ametumika sio bikra, akikuchiti unaanzaje kuwa na hasira kali mpaka kua

    Habari wanazengo, natafakari hapa kama Kuna haja ya kuwa na wivu pale unapo gundua mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ukijua kuwa 1.Ulimkuta tayari anafanya hilo jambo ana mabwana mtaani 2.Sehemu zake zote za sili ziko wazi 3.Alisha zaa. Niwazi alifanya ndo maana akapata mimba 4.Ulimkuta na bwana...
  12. Wanaume, huwezi kudanganya mwanamke.

    Hivi huwa mnadhani wanawake hawajui? Mwanamke anaweza kusmell a mile away wewe ni mwanaume aina gani... She knows what kind of dude she's dealing with. Ila aisee ndugu zangu huwezi kula mali nzuri kama wewe ni kapuku, utaishia kula kwa macho wenzako waliojipata wakisaza Jisake, there's no...
  13. M

    Natafuta mwanamke wa kuishi Nae. Seriously

    Natafuta Mwanamke wa kuishi nae , Natafuta mwanamke wa kuishi nae serious, awe na miaka 25+, awe dar around Buza lakini, sifa awe Muslim, awe mnene mwenye shape, mweupe , nitamuhudumia na hata pa kuishi kodi nitamlipia, mm nina 32 miaka, akiwa hata na mtoto mmoja sio mbaya, awe anajielewa...
  14. B

    Mwanamke kukwambia shida zake za kipesa dakika chache baada ya tendo, hii imekaaje?

    Habarini, Unakutana na mdada kijijini, familia yake unaijua, unamtongoza fresh, kwenye talking stage unamzingatia vihela viwili vitatu, unakua sio mchoyo kwake, mnaongea vizuri , fresh.. unamuomba mzigo, mnakubaliana mnakutana siku flani, anakuja mnazagamuana.. Dakika chache baada ya tendo...
  15. Hivi ustawi wa jamii ni kutetea wanawake hata wanapokosea, au ni kusimamia haki za kila upande?

    KAMA KICHWA CHA HABARI KINAVYOSEMA, LENGO LA KUANZISHA DAWATI LA JINSIA NI NINI HASA? MAANA MIMI SIELEWI! Kuna mshikaji wangu mmoja ameoa, ana mke na watoto. Hata hivyo, ana mwanamke mwingine pembeni (hawara), ambaye alimpa ujauzito na hivi karibuni amejifungua mtoto wa kike ambaye sasa ana...
  16. Ipi hasara ya mwanaume kuzaa watoto halafu akamuachia mwanamke kulea mwenyewe?

    Ni sahihi kimaadili mwanaume kuzaa watoto kisha kumuachia mwanamke aliyezaa naye kulea mwenyewe au kuwapeleka kulelewa na bibi yao ?
  17. Sikatai mwanamke kuomba pesaa, ila 🤔

    Kijana usikubali kuombwa pesa na mwanamke ambaye hana kazi yoyote ya kumuingizia hata 5000 kwa siku🤔 Utakuja lia mno na kulaumu dunia 🤣🤣 Labda kama unataka kuichapa na kusepa tu🤔
  18. K

    Mwanamke aliye ndani ya ndoa kipato kikiongezeka anataka kuwa huru, Mwanaume akipata Pesa anawaza kujenga na kuimalisha famila /ndoa. Nini sababu?

    Habari za jumapili wadau, kuna hii tabia ya wanawake walio katika ndoa wanapopata Pesa cheo au umaarufu mahusiano yao ya kimapenzi / ndoa na wenza wao hufa. Kwanini mwanamke asitumie hicho kipato chake kuimalisha mahusiamo ya ndoa. Ukifuatilia baadhi ya ndoa zimevunjika baada ya mwanamke...
  19. Unaweza kumzalisha mwanamke kwa milioni tano (5)

    Hili ni swali kwa wanaume tu. Kama ametokea mwanamke ana milioni tano (5) anaomba umtie mimba halafu mtoto atalea mwenyewe utakubali?. Baada ya hapo anataka msaini mkataba kwamba mtoto atakuwa wake (mwanamke) na wewe hutahusika kwa chochote. Kwa kifupi hutakuwa na haki yoyote juu ya huyo mtoto...
  20. Mwanaume jithamini, jua thamani yako, usirudie mwanamke aliyekusaliti

    1. Usirudie mwanamke aliyekusaliti, mapenzi yanahitaji uaminifu. Ikiwa mtu amevunja imani yako, usikimbilie kumpa imani tena kuwa na msimamo na uwezo wa kufanya maamuzi yanayofaa. 2. Usikubali kudharauliwa weka mipaka katika maisha/mahusiano yako. Heshima inapaswa kuwa ya pande zote kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…