Kwa mujibu wa takwimu za sasa za FAO, idadi ya watu wote duniani itafikia bilioni 9.1 ifikapo mwaka 2050, hii ni sawa na asilimia 34 ya ongezeko la ziada ya watu wote waliopo duniani kwa sasa.
Aidha, asilimia 70 ya watu wote duniani watakuwa wanaishi mjini tofauti na sasa ambapo ni asilimia 49...