mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Uganda Kurusha Satellite yake ya kwanza Oktoba, 2022

    The launch of Uganda’s first-ever satellite, PearlAfricaSat-1, has been postponed to October 28 because of bad weather. The launch, which is supposed to be accomplished by America’s National Aeronautics and Space Administration (NASA), was initially scheduled for September 28. But in an...
  2. Mwaka jana Simba ilianza hivi hivi 2 -0 ikaja kutolewa Kwa mkapa 3-1

    Ndiyo balaa la Jwaneng Galaxy wanajisahaulisha
  3. Watu watano wanaacha kutumia dawa za ARV kila mwaka

    WAZIRI wa afya Ummy Mwalimu ameeleza kati ya watu 100 Tanzania wanaoishi na virusi vya ukimwi 95 wanatumia dawa za kufubaza virusi (ARVs) huku watano kati yao wanaacha dawa hizo ,suala ambalo linakwamisha juhudi za mapambano dhidi ya gonjwa hilo. Aidha amewaasa , wanaoishi na Virusi vya Ukimwi...
  4. Mwanamke akikaa mwaka mzima bila kuduu lazima dishi liyumbe

  5. N

    Wana-Simba, mwaka huu ndiyo umeisha; tusubiri usajili wa mwakani

    Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi" Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana. Aiseee, eiiish ...
  6. Utata baada ya Serikali kusitisha uwindaji kwa mwaka mzima

    Katika hali inayoonyesha vita vya kampuni za uwindaji nchini, Serikali imeingia katika lawama ya upotevu wa mapato na kuzisababishia hasara kampuni sita zilizoshinda zabuni ya uwindaji kwa wenyeji na wageni wakazi iliyoendeshwa Agosti, 2021. Taarifa ilizozipata Mwananchi zinaonyesha kampuni...
  7. L

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio.
  8. ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 27 mwaka 2021/2022

    Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma, Jerry Silaa imeonesha kuwa hasara ya shirika Shirika la Ndege Nchini (ATCL) imepungua kutoka Tsh. Bilioni 36 mwaka 2020/21. Aidha ameishauri Serikali kuharakisha mchakato wa utekelezaji wa kuhamisha umiliki wa...
  9. Anaenda masomoni mwaka mzima, anunue turubai gani kupunguza gari kupigwa jua na vumbi, vitu gani vya ziada azingatie?

    Hbari wana jf, kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga je, ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali? kaniomba aniachie funguo kwajili...
  10. UAE watamba na teknolojia ya kupanda mawingu ili kuongeza kiwango cha mvua kwa mwaka

    Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua. Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla...
  11. L

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China
  12. L

    Mkutano wa akili bandia (artificial intelligence) duniani mwaka 2022 wafunguliwa Shanghai

    Mkutano wa akili bandia duniani mwaka 2022 umefunguliwa leo katika Kituo cha Maonyesho cha kimataifa huko Pudong, Shanghai. Kauli mbiu ya mkutano huu ni "muunganiko wa akili bandia, fursa zisizo na ukomo".
  13. Watoto 25,000 wamepotea Afrika kwa Mwaka 2022

    Watoto 25,000 wamepotea Barani Afrika, idadi hiyo ni sawa na 40% ya jumla ya idadi ya watu waliopotea mwaka 2022 katika bara zima. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) iliyotangaza katika ukumbusho wa Siku ya Kimataifa ya Waliopotea (Agosti 30). Hali ya...
  14. B

    SoC02 Mbaraka Mwinshehe na maonyesho ya Wajapan mwaka 1970

    “TEKINOLOJIA HUWA HAIOMBWI HUIBWA, HUCHUKULIWA KWA HILA” Mwanamuziki Mbarak Mwinshehe aliacha kumbukumbu ya wimbo wake; “kwanza tunatoa shukrani kwa serikali yetu ya Tanzania. Kwa kutupatia nafasi ya kwenda Osaka Japan, kwenye maonyesho ya Ulimwengu ya mambo yote ya viwanda na biashara. Mwaka...
  15. Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017! ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma. Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
  16. Serikali imejipangaje kukabiliana na wimbi zito na la kutisha la njaa mwaka huu? Nfra inahifadhi yoyote ya chakura mpaka Sasa?

    Kwa kifupi tu! Siuoni mkakati wowote wa kukabiliana na wimbi la njaa mwaka huu na dalili zote zinaonesha hakuna akiba yoyote ya chakura na Wala hatusikii mpango wowote wa tafadhari kunusuru Hali hii. Jakaya katika mhula wake wapili kulitokea Hali kama hii lakini alifanya mbinu ya kuagiza mchele...
  17. S

    SoC02 Maisha ya Mtanzania kiuchumi Tangu mwaka 2021

    MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021- Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na kadhalika. Makala haya yanaangazia maisha ya Mtanzania tangu mwaka 2021 na kuendelea yakilenga uchumi...
  18. Kupiga picha miili ya Watu waliokufa ni kosa, adhabu yake ni kifungo mwaka

    Kwa mujibu wa kifungu namba 162 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kupiga picha maiti, watu waliokufa au waathirika wa uhalifu au matukio mabaya kama vile ajali bila kuwa na kibali cha polisi au chombo chenye mamlaka...
  19. Mabadiliko ya sensa kwa mwaka huu 2022, tofauti na miaka mingine, je yana tija kwa wananchi?

    Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida? Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na: 1: kubadilika kwa mihula ya shule/ vyuo. (Kwenye muda wa likizo) 2: matumizi ya vishikwambi 3: mabadiliko ya siku, (sensa...
  20. Baada ya muda mrefu nimekutana na vitabu vizuri sana vipitie

    Mwaka haujaisha lakini na recomend kwako acha kila kitu usome hichi kitabu, once nilikua sisomi vitabu mpaka nilipoanza kukisoma hichi sijawahi kupata kingine zaidi ya hichi, Kama kuna mtu anacho kitabu cha hivi cha story nzuri Kama hiki (based on try story) aseme hapa niongeze kwenye library...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…