mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Moyo Medicare, Arusha hawajawasilisha michango yangu ya NSSF kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa

    Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini. Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
  2. A

    KERO Nilihitimu UDSM Mwaka 2021 lakini sijarudishiwa "caution money" mpaka leo, je kuna wangapi wanapigwa kama mimi?

    Kuna jambo linalohitaji kupewa umakini kuhusu urejeshaji wa fedha za dhamana (caution money) zinazolipwa na wanafunzi wa uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wakati wa usajili wa awali, wanafunzi hutakiwa kulipa kiasi cha Shilingi 50,000 kama caution money. Hata hivyo, baada ya...
  3. Je, unafahamu mwaka 2026 kuna uwezekano mdogo wa kufanyika mitihani ya Taifa ya Kidato cha Pili na cha Nne?

    Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea. 1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa kama inavyopaswa ni asilimia 29 2. Asilimia 30 ya wanafunzi wataingia kwenye vyumba vya mitihani...
  4. Muslims invaded Christian Ethiopia mwaka 1520, hatufundishwi shuleni!

    Historia ya afrika tunadanganywa na kufichwa mengi sana, kwa mfano shuleni sikuwahi kufundishwa kwamba muslims walivamia Christian Ethiopia kwa lengo la kuitawala ethiopia, nilifundishwa tu ukoloni wa "kizungu" lkn ukweli ni kwamba muslims walianza kuivamia afrika. Muslims chini ya imam ahmed...
  5. SI KWELI Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 katika uchaguzi wa mwaka 2026

    Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
  6. Je ni Kweli Fedha Hazitakua na Umuhimu Ifikapo Mwaka 2036

    "Money Won't Matter in 2036" Utabiri wa Elon Musk kwamba fedha zinaweza kuwa “hazina umuhimu” (irrelevant) karibu na mwaka 2036. Musk ameeleza kuhusu mustakabali wa miaka 10–20 ijayo ambapo AI na roboti zinaweza kufanya kazi nyingi za binadamu kuwa za hiari, na hivyo kupunguza sana umuhimu wa...
  7. Kwanini Polisi Wamemkamata Nabii Tito wakati 2018 walimuachilia kwamba ana matatizo ya akili?

    Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa. Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM. Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
  8. M

    Mzazi usimchagulia mtoto masomo

    Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
  9. Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

    Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu. Naomba msaada juu ya hili jambo, Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
  10. FALSE Je? ni kweli museveni amesema " nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031 lakini sioni kuendeleza maono yangu.

    Kumekuwa na chapisho linalosambazwa katika mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, likiwa na nukuu inayodaiwa kutolewa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Nukuu hiyo inasema kuwa “Nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031, lakini hadi sasa sioni mtu anayeweza kuendeleza...
  11. Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  12. Magaidi wa Hezbollah walihusika na Mlipuko wa Beirut Lebanon mwaka 2020!!!

    🖤🇱🇧 Miaka sita iliyopita leo, Beirut ilibomolewa na mlipuko mmoja wenye nguvu zaidi usio wa nyuklia katika historia. Zaidi ya watu 220 waliuawa, zaidi ya 7,000 walijeruhiwa, karibu 300,000 walipoteza makazi yao, na jiji zima liliachwa na kovu katika sekunde chache. Maumivu ya siku hiyo...
  13. M

    PostGE2025 Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana

    Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana. Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa...
  14. Kimasihara sana!. Hatimae ninafikisha nguruwe 50 ndani ya miezi 18

    Yes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa. ANGALIZO Lengo la uzi huu mbali na kushare uzoefu , ni kuwatia moyo wale ambao huenda wana ndoto ya kufanya hii kitu ila wanasita kwa sababu mbali mbali. Inawezekana kabisa. HAYA twende sasa. Mwaka jana ,2025...
  15. TRA: Wafanyabiashara wapya waendelee kujiachia mwaka mzima, wana msamaha wa kodi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja kwa kuhoji “Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?” Kama hukusoma, bofya hapa ~ Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa...
  16. Tulioajiriwa ni kwamba tumeamua kupata hela mara 12 tu kwa mwaka

    Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali. Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana...
  17. Kitaalamu ipo vipi? Mtoto wa mwaka 1 kuwa na meno 16

    Ana mwaka 1 na mwezi 1 ana meno 16!! Je hii ni kawaida ?
  18. A

    KERO Wanafunzi wa Uandishi tunalazimika kulika Ithibati mara mbili kwa JAB. Tunaomba utaratibu huu uangaliwe

    Habari, Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa ithibati kwa wanafunzi wanaohitimu shahada ya Mass Communication mwaka huu. Kwa sasa, hatuwezi kufanya kazi bila kuwa na ithibati kutoka JAB. Hata hivyo, ithibati ya awali inayotolewa ina muda wa miezi mitatu pekee, ikilenga...
  19. A

    RESOLVED Huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni zarejea baada ya kusitishwa kwa takribani mwaka mmoja

    Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
  20. K

    Tujadili hii kwangua kwangua ya barabara kila mwaka ina tija gani?

    Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu Hapa tusaidiane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…