Mwenyekiti wa Kijiji cha Juhudi, Wilaya ya Kakonko, Mkoa wa Kigoma Bw. Amos Hussein Kwigira (45), amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili (2) ya Rushwa yaliyohusisha matumizi ya fedha za umma kiasi cha Shilingi 5,000,000 ambapo kila kosa lina adhabu ya...