mtu

  1. Ukimkopesha mtu laki tatu kushuka chini wewe tegemea umemsaidia wewe unazani atafanyia nini?

    Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili zikipita unategemea malipo? Ni biashara gani atafanya apate faida akupe hiyo elfu hamsini muwe na huruma...
  2. Wamebakia kujifariji kila mtu atakufa sijui ni Ideology.

    Yeeeerrrrreeeeh! He is dead. Kafa ama hajafa? Hamas sympathisers sasa hivi wanajifariji wakiwa na maumivu makali ooh kila mtu atakufa sijui Hamas ni ideology. Kwani nani hajui kila mtu atakufa nyie? Kafa ama hajafa? Asante Israel kwa kuwalipizia vijana wetu wapendwa kisasi. R.I.P and the...
  3. Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

    Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti...
  4. Kwanini huwa inatokea unamuota mtu ambae umekwisha achana naye?

    Kuna watu ambao wanajikuta wakilala huwaota watu ambao waliwahi kuingia nao katika mahusiano lakini wakaachana. ✍️Zipo sababu nyingi sana lakini kupitia Makala hii utaenda kujifunza sababu kubwa 3 zinazopelekea hali ya namna hiyo. 1. Memories Reviews (marejereo ya kumbukumbu)☑️...
  5. M

    Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

    Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA. Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
  6. Kimfaacho mtu chake

    Habari wakuu, Kama ilivyo kila mtu na starehe yake, wengine pombe, mpira, wanawake, uvutaji Muda si mrefu nilikua nipo kwenye PUBG MOBILE naplay na my teamates hadi saa saba usiku, tukiwa tunafurahia Unakutana na marafiki munabadirishana mawazo hadi #UZI TAYARI #JF STATUS #WAJINGA NDO WALIWAO
  7. Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

    Mwaka huu 2024 mwezi wa nne. Mwenge Dar es salaam. Nilikuta na Dada mmoja 26 Miaka. Nilitokea kumpenda nikamuomba namba tukandelea kuwasiliana. Baada ya mda tukaanzisha mahusiano. Kila siku nilikua na mtumia pesa ya matumizi. Huyo dada alinieleza kua ana Watoto 3. Kwa kua nilimpenda...
  8. Hivi kwanini tunaambiwa tuishi na wanawake kwa akili wakati kimsingi tunatakiwa tuishi na kila mtu kwa akili

    Unajua me huwa sielewi hapo kwamba kuna akili nyingine ya ziada tofauti na hii unayotakiwa kuitumia ili ukae na mke..nachojua kila mtu aliye mbele yako unatakiwa utumie akili uwe mjanja uwe mwerevu ila pia uwe mpole uwe kama njiwa pia uwe kama nyoka yaani full akili muda wote.ukifanya hivyo...
  9. Unawezaje kuishi na mtu mtata mwenye gubu mjuzi wa kila kitu mbishi wala haambiliki?

    Wakuu tumegeane maujuzi hapa maana mara nyingi unakuta watu hawa wana wenzi wao au inakuwa ni geresha tu ya kuwababaisha walimwengu huku nje lakin huko ndani wanalala vitanda tofauti?
  10. Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra. Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa...
  11. G

    UTI kali kwa mke wa mtu

    Wakuu salaam. Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu akanibless kimoja Cha chap! Lakini Hadi navyoongea hapa nimetoka kununua dawa ya kummaliza huyu...
  12. Kuna mtu nafahamu kiasi gani cha pesa kimetumika kufanya Land Rover Festival ya Arusha?

    Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa. USSR
  13. Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

    Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol, Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
  14. Mngetaja humu sehemu ambazo magari yatakuja kutuchukua. Tukamwone mama. Kila mtu ajue atapandia wapi kupelekwa Uwanjani

    Kuna wenyeviti wapuuzi sana. Wanachagua tu ndugu zao na watu wao wakaribu kupata lift ya kupelekwa uwanjani kumsikiliza mheshimiwa. Wanafanya kama ni suala la kifamilia. Ni bora ijulikane vitajwe vituo ambavyo mabasi na malory yatakuwa yanatusomba. Wote tunapenda tukapate nafasi ya kubadili...
  15. S

    Jicho la tatu: Huyu mtu kweli kajichinja au wamechinga baada ya kugeukana?

    Kuna video inasambaa inayodaiwa ni ya mtu mmoja alieua na kisha nae kuamua kujichinja. Mtu huyo pia anadaiwa kuwa alikuwa anatengeneza vinywaji feki na kuviuza kabla ya mambo kuharibika baada ya kuwa ameua mwenzake anaedaiwa kuwa alikuwa mfanyakazi wake. Binafsi najiuliza, hivi kweli mtu...
  16. Mtu asiye na jinsia

    Pichani ni Msanii Mkubwa Nchini Marekani Jennifer Lopez akiwa pamoja na mwanae “asiyekuwa na jinsia”… Huyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote… Jamii ya watu wa aina hii inaitwa “Non-binary” yaani asiyetambulika kwa jinsia yoyote (Siyo KE wala ME)… Mtu wa jamii hiyo...
  17. Ukiona mtu anaandika matusi na content ambazo hazieleweki fanya hivi.

    Ukikutana na Contents ambazo hazieleweki Fanya hivi Angalia huyo anayeandika amejiunga lini JF ukikuta ni 2020-2024 usiangaike kumjibu Hao ni vijana wa Facebook Hapa JF kuna I'd moja ya mkongwe ambaye hataki kukua kiufahamu anajiita po po ma
  18. Hivi ni kwanini mtu akihoji viongozi anaambiwa ni CHADEMA na akisifia viongozi anaambiwa yupo CCM?

    Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa 1. Elimu yetu ni mbovu? 2. Au ni umasikini? 3.Au ni taifa letu limekufa 4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
  19. R

    Ninapotaka kununua ardhi kutoka kwa mtu ni vitu gani vya msingi kuzingatia?

    Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
  20. Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya

    Mwanzoni mwa mwaka huu niliboresha mifumo yangu ya kijamii kwa kukitoa kipengere cha kumuaga marehemu mara ya mwisho kama ni kitu cha lazima kwangu. Sifanyi hicho kitu tena. Naamini muda sahihi wa kumuaga mtu mara ya mwisho ni wakati akiwa hai, kama hutapata nafasi basi jitahidi kukumbuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…