mtu

  1. Responded Meya Tabora asema ukimuona mtu anatupa takataka mkamate, utalipwa

    Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa. Chanzo: ITV Pia soma ~ Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu
  2. KERO Hivi kukatika maji Dar ni shida iko au ni mradi wa mtu?

    Ni kama mwezi umepita tangu wakazi wa dar wametangaziwa kwamba sasa mradi wa kuboresha maji umekamilika. Matarajio ya watu bila shaka hapatakua tena na mgao. Lakini la kushangaza bado kuna mgao wa maji sehemu nyingi za jiji. Kila siku ya pili ninapoishi mimi maji asubuhi yanakatwa. Kwa uzoefu...
  3. MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  4. Mola aniepushe na hili pepo la kupenda mke wa mtu

    Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa...
  5. Maisha baada ya kifo? Au mtu akifa inakuwaje?

    Ukiacha masuala ya imani juu ya maisha baada ya kifo; kuna nadharia (theory) inayoelezea maisha baada ya kifo? Au mtu akifa inakuwaje?
  6. Kabla hamjaanza kufanya mapenzi ni vyema kila mtu azime simu yake

    Kuzima simu kabla ya tukio la kufanya mapenzi kutakusaidia kukuepusha na mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wako nakumbuka tukio lililowahi kunikuta 2020 pisi imeingia hoteli niliyolipia laki mbili na nusu kwa usiku huo mbaya zaidi chakula changu kala tena cha bei tumeingia room ili tuanze...
  7. Israel yapiga maeneo kama 100 hivi ya Hezbollah. Safari hii hakuna kumswalia mtu yeyote

    Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni. Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa...
  8. Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana

    Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha. Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi...
  9. LGE2024 Pwani: CHADEMA wamsaka Mgombea aliyechukua Fomu Kibaha, wadai sio Mtu wao

    Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya masaa matatu baada ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) kufika kwenye ofisi hiyo...
  10. L

    Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na mtu kupotea kimaisha

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada yetu huyo kusemekana kuishi kinyumba Kwa muda na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako... Jamani...
  11. Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

    Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari! 1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel imeanza na mkakati wa kuwadhoofisha washirika wake wa karibu, makundi ambayo yamekuwa tishio kubwa kwake. Baada ya...
  12. Maisha yana safari ndefu. Pambana kila muda, relax kula maisha. Usiweke umuhimu wa mtu yoyote kabla yako!

    Habari wanajukwaa! Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka. Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
  13. Kigwangalla aambiwe amefika alipofika kwa mbeleko zaidi, aache kudharau vijana mafukara.

    Huyu mwanasiasa huwa anajiweka hustler mpambanaji sana wakati kila mtu anajua amefika hapo alipo kwa mserereko na kubebwa, mzazi wake alikuwa mtu wa chama, kuupata ubunge mara ya kwanza yeye mwenyewe alishindwa kura za maoni akabebwa na baadaye jimbo likagawanywa ili aendelee kubaki mbunge...
  14. Mimi nikimwangalia mtu miguuni jinsi alivyovaa viatu na kichwani jinsi alivyo napata jibu moja kwa moja naongea na mtu wa namna gani

    Kujua mazingira ya mtu anayoishi. Kujua uwezo wa mtu kichwani. Kujua tabia ya mtu. Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi. Wewe unatazama nini?
  15. Kuwa maskini Tanzania ni chaguo la mtu mwenyewe. You can choose to die poor

    1998 nikiwa na miaka 12 kijijini kwetu alikuja kijana mmoja kutoka mkoa mwingine, alikuja kutafuta maisha. Alisema baada ya miaka 10 atawapa watu vibarua. Alifika hana kitu, kibarua chake cha Kwanza alilimishwa na Doni mmoja pale kijijini kwa makubaliano ya kupewa baiskeli used phoenix...
  16. Hiki ndicho kinatakiwa kuwa kiwango cha chini kabisa cha imani ya mtu ambaye bado anaingia nyumba za Ibada

    Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
  17. LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Serikali za mitaa: Mtendaji na Mwenyeki watakiwa kuonyesha alipo Mke wa Mtu.

    Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji. Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka...
  18. C

    YESU NI MTU AU NI NAFSI NYINGINE?

    Wanajukwaa naomba mnisaidie hili,hivi yesu ni mtu au ni nafsi nyingine yenye nguvu.Nimepitia baadhi ya sifa chache za yesu lakini nimeshindwa ku conclude kama ni mtu tu. Baadhi ya sifa zake nilizozipitia ni kama ifuatavyo hapa chini: 1. Kazaliwa na Bikira na hakuwa na baba 2.Ni neno toka kwa...
  19. Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke. Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke...
  20. Usimwonee Wivu Mtu yeyote

    Katika nchi hii kuna watu hujui wanapambana na nini. Usidanganywe na jinsi baadhi ya wasichana wanavyojipiga picha na kupost makalio yao kwenye mitandao ya kijamii. Wengi wao huwa wamevunjika moyo tu. Kupitia picha hizo huwa wanatuma ujumbe kwa wale waliowakataa. Usidanganywe na wanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…