mtu

  1. Baada ya sanamu ya Rage ninashauri sanamu ya Mangungu ijengwe pia, Mtu wa maana kabisa

    Au mnasemaje waungwana? Huyu mtu wa maana kabisa mpenda haki na amani. Tukutane JUNE 25
  2. Mke wa mtu ame “crush” kwangu hadi namuonea huruma.

    Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana. Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku...
  3. M

    Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na...
  4. R

    Mahakama ya Rufani yabariki mtu binafsi kufungua mashitaka yanayohusu "Haki za Msingi na Majukumu" ( Basic Rights and Duties Enforcement )

    Sijui kama tafsiri yangu ni sahihi lakini the take home message ni hii kama nilivyoinakiri kutoka Tweeter kutoka kwa Olengurumwa Asante timu y’a mawakili na jomo la Majaji Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa...
  5. Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi

    Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu awe na ari ya kutosha, kuwajibika na kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za Kijamii na Kiuchumi...
  6. Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo. Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza...
  7. Unawezaje kujinasua kwa mtu Mwenye balaa, mikosi?

    Wakuu hivi ni nini kinatakiwa kufanyika pale unapojikuta tayari umedate na mwanamke au mwanaume Mwenye GUNDU,NUKSI,MIKOSI? Nitolee mfano mfano umedate na mwanaume x au mwanamke x na ghafla kesho yake unaanza kuona mambo Yako yanaanza kwenda ndivyo sivyo, vitu haviendi kama mwanzo, je ni njia...
  8. Je ni kwa namna gani unatengeza furaha yako binafsi bila kutegemea mtu wala vitu?

    Habari wana JF, niliweka uzi hapa JF nikawa nimeelezea changamoto yangu kwenye mahusiano. Nashukuru mlinipa na mnaendelea kunipa maoni ambayo kimsingi yananijenga upya japo kuna jambo jipya limeibuka ndani mwangu nikutokana na maoni yenu lakini pia kuna uzi mwingine nilisoma nikakutana na...
  9. S

    Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

    Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta. Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
  10. Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  11. Mwenye CV ya Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali aiweke wazi

    Salaam Wakuu! Mwenye CV ya huyu Mtanzania mwenzetu, tafadhali aiweke hapa.
  12. Heshima na zawadi ya kipekee kwako mtu wa aina yako hapa Jamii forum.

    Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum. Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako. Fanton Mahal Ahsante.
  13. K

    Hakuna aliyewahi kumpenda mtu mbabe, muaji, muonezi, mbaguzi, mfitini n.k hata kama huwa anakupa hela

    Kwa hulka ya mwanadamu alivyo huwa hampendi mtu Muuaji, mbabe, mtesaji, muonezi, mchonganishi, mbaguzi, mfitinishi, hata kama anakupa hela kiasi gani, watakuchukia tu. Hata ukijilazimisha kuwachekesha vipi, watakupa tabasamu la uongo lakini miyooni mwao hawakupendi, mapenzi yao yote watampa...
  14. Mtu akishaona anakuweza, atakufanya anavyotaka.

    1. Wanamuweza Gwajima ndio maana wakafanya walioamua, ndiomaana hayakufanywa kwa mdhehebu mengine. 2. Wanaiweza CHADEMA ndio maana wakaamua kufanya maamuzi yao. 3. Wanawaweza Wananchi ndio maana wamefunga Twitter ila viongozi wanaitumia, 4.Kama wananchi wangekua na power, wabunge wangelua...
  15. Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - hakuna mtu asiyependa kusifiwa

    Msifie mwanafunzi shuleni uone atakavyofanya vizuri zaidi. Msifie mke wako au mme wako uone jinsi upendo wake utakavyoongezeka kwako. Isifie timu yako ya mpira, uone kama haitacheza vizuri zaidi... Kitabu cha Mwanzo 1:27 kinatufundisha kuwa "Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake." Ndio...
  16. Kwanini mtu anapambana sana kweli kweli lakini bado hatoboi? zipo sababu

    sababu nyingi kwa nini mtu anaweza kuwa anafanya kazi ambayo inaendana na nyota yake lakini bado hafanikiwi, hata baada ya miaka mingi. Hapa chini nitakueleza sababu kuu 7 zinazoweza kuzuia mafanikio, hata kama kazi inaendana na nyota: 1: Karma Kuna vipingamizi vya kiroho vinavyotokana na...
  17. Ukweli, uwazi humuweka mtu huru

    Shikamooni wakubwa wote wa JamiiForums Leo ni siku nzuri kabisa ya jumatatu ikiwa inaishia,poleni na majukumu ya hapa na pale,Mimi binafsi nimechoka na hekaheka za daladala haswa baada ya kujikuta nimesimama kutoka kariakoo kibaruani kwangu hadi nyumbani Kinyerezi. Leo kuna Jambo niulize...
  18. Kama mtu akifa anaenda mbinguni kwanini watu wanaogopa kifo, kwanini wanalia, je kwenda mbinguni ni jambo baya sana ?

    Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo? Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni? Kumekuwa...
  19. S

    Kati ya PF3 na uhai wa mtu kipi bora?

    Habari zenu? Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali kuchelewesha huduma, na wengine kupoteza maisha kabisa kwa kigezo cha kuhitajika PF3 kwanza. Kingine nawachana...
  20. Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

    Habari ya Jumatatu waungwana.. Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi.. Sasa buana huyu bidada alitongozwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…