mtu

  1. Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

    Rais Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa wananchi kujitokeza katika zoezi la sensa huku akisema suala jipya lililoongezwa ni swali kuhusu anuani za makazi. Amesema hakutakuwa na swali la kuhusu dini ya mtu kwa kuwa suala hilo lilishakataliwa tangu enzi za Rais Julius Nyerere, hivyo hakutakuwa...
  2. Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

    Sikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana. ======== Freeman Mbowe: Tulianza kama chama kidogo, leo ni chama kikubwa dunia inakitambua hata CCM waliokuwa hawatutambui kupitia kesi hii wametambua kwamba CHADEMA ni jeshi...
  3. GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

    Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira? Labda niunganishe na wale...
  4. Video: Akojoa wadudu baada ya kutembea na mke wa mtu Kenya

    MK254 Hebu tumble huu uchawi wenu mmeupata wapi?
  5. Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

    Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu. Wakati nazunguka nilifika katika...
  6. T

    Hatimaye nimekuwa baba. Ni raha iliyoje na mimi kuwa baba wa mtu

    Mwezi December 2021 nilileta hii mada hapa kwamba natarajia kua baba, na kweli ndani ya mwezi January 2022 nikapata nafasi ya kua baba Kweli. https://www.jamiiforums.com/threads/baba-mtarajiwa-nini-natakiwa-kufanya.1943235/page-3 Girl friend wangu alijifungua salama Salmin mtoto imara wa kiume...
  7. Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  8. (VIDEO) Songwe: Wanaochimba nguzo za umeme wakutana na masalia ya mwili wa mtu kwenye shimo

    Wakazi wa eneo la Old Vwawa mkoani Songwe wamekutana na kinachodaiwa kuwa ni mabaki ya binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa maalum kwa ajili ya kusimika nguzo. Shimo hilo lipo eneo hilo katika mradi wa kuweka nguzo za umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani mkoani hapo. Mmoja wa mashuhuda...
  9. M

    Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naombeni hizo Amapiano kali.
  10. N

    Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine?

    Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine -- Mfano wanasiasa, relationships, lazima mtu awe juu yetu
  11. Ilikuweje KGB wameshidwa kumpandikiza mtu wao akaiongoza Ukraine

    Huwa najiuliza kuhusu hili shirika la kijasusi la KGB la urusi ni moja katika ya shirika ambalo linasifika sana ktk maswala ya kijasusi lakini ilikuweje hili shirika wakashidwa kumpandikiza kibaraka wao akaiongoza ukraine kwa matakwa ya urusi Lakini leo hii mpka vita inatokea ukraine ina maana...
  12. S

    Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

    Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza. Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi...
  13. Ummy Mwalimu: Wachangiaji damu, kupewa kipaumbele wanapohitaji damu hospitalini. Watapewa kadi Maalum

    Hivi huyu mtu anafahamu hata Medical Ethics? Waziri wa afya jifunze ‘medical ethics’ under the concept of ‘non malificence’ you can’t do harm to a patience. Hakuna priority kwenye afya who deserve the resources than another. It’s either first come first served or who needs it the most based on...
  14. FUNDISHO: Kila mtu ana mbabe wake

    asili yake ni ubabe
  15. S

    Ukurasa Maalumu wenye picha za Rais wa Urusi, Vladimir Putin

    Yuko kikazi zaidi. Kama wanadhani ana-beep, basi wasubiri kupigiwa. Russian Prime Minister Vladimir Putin rides a horse during his vacation outside the town of Kyzyl in Southern Siberia on August 3, 2009. AFP PHOTO / RIA-NOVOSTI / ALEXEY DRUZHININ (Photo credit should read Alexsey Druginyn/AFP...
  16. Saa chache kabla mtu hajafa

    Kwa mujibu wa uislam mtu anapokaribia kufariki huonyeshwa matendo yote alofanya katika maisha yake. Kisha huonyeshwa mafikio yake eidha motoni au peponi. Sasa wanasayansi wa leo wame prove hilo Je,wajua kinachopita akilini mwako unapokaribia kufa?-Utafiti Saa 7 zilizopita CHANZO CHA PICHA...
  17. Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

    Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine. Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya...
  18. Rais wa Ukraine kumpatia silaha mwananchi yeyote anayetaka kupigana vita dhidi ya Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyImage amewahamasisha wananchi wake kuwa tayari kupigana kwa taifa lao na kuwa atampatia silaha mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi. Picha kadhaa zilionekana hivi karibuni mitandaoni zikionesha raia wa Ukraine wakipewa mafunzo ya msingi ya...
  19. Namna ya kumsaidia mtoto kukabiliana na msiba wa mtu anayempenda

    Kuwa muwazi na mueleze kile kilichotokea kwa njia rahisi anayoweza kuelewa. Tumia maneno kama 'amefariki', usifunike kwa kumwambia amelala au namna nyingine yoyote. Mtoto akiuliza maswali yajibu kama unaweza na usimdanganye kwa kutunga hadithi ya uongo. Kubaliana na hisia za mtoto. Mtoto...
  20. Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

    Habari Wakuu! Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo ni Asili yake ni kutoka kwetu. Hata hivyo hatuwalaumu wanawake Kwa tabi zao kwani ndivyo hulka Yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…