mtu

  1. Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni. Serikali ya...
  2. Pick up lines weka wako lengo kila mtu atabasamu

    wakuu hakuna kitu kizuri kama tabasamu katika uso wa binadamu uzi huu ktk coment weka line ambayo mtu akisoma atatabasamu au aki pick up line akamtumia mtu lazima atabasamu lugha yoyote mfano ' hakuna kitu kingine cha gharama ninachokipata buree kama upendo wako, Nahisi umemwambia Mwenyezi...
  3. Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

    Kwema Wadau! Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi. Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo...
  4. Maadui zetu ni watu wazuri, tuwaombee maisha mazuri

    MAADUI ZETU NI WATU WAZURI,TUWAOMBEE MAISHA MAREFU. Leo 13:15hrs 02/07/2022 Maisha yanaanza na kibao cha mgongoni mtoto analia,kila mtu anafurahi ya kwamba mtoto ni mzima,kibao baada ya kuzaliwa kinakupa ukweli wa maisha halisi ya hapa duniani,kumbe maumivu yaani adui yetu ndiye mtu mkweli...
  5. Mzungu Ni mtamu sana, asikwambie mtu. Nimebahatka kula Mjerumani

    Mliowah kula wazungu bila Shaka mtaniunga mkono katka Hil Wazungu wanajua Mambo,yaan mpaka unavutiwa na unalizka kabsa kingono Mim Nmebahatka kula mzungu bonge hiv,yaan anajua kumbembeleza we acha tu Mliowah kula wazungu ongezeen utam walionao
  6. UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

    Habari zenu wakuu, Hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu (wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet unawiana na Urefu wa uume wake in terms of inches ukiwa umepanda mtungi (umesimama). Nilifanya jaribio...
  7. Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

    Habari ndgu wana jamii forums, Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho, Je, unajua mtu anaweza kubeba...
  8. Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

    Bruce lee Alikuwa mwana kareti wa kichina na Muigizaji mashuhuri wa Filamu. Aliweza kufanya mambo yasiyo ya kawaida ya kustaajabisha . Alikuwa na Uzani wa pondi 350 kipimo cha uzani wa mapigo. Aliweza kupiga push up 1500 kwa mikono miwili. Aliweza kupiga push up 400 kwa mkono mmoja, Alikuwa...
  9. S

    Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la serikali ya muungano Tanzania. Nipo kwenye mjadala mzito na mke wangu kuhusu hii mifuko ya UTT. Tumepata pesakiasi Fulani baada ya KULIPWA fidia na Sasa nimemshauri tuwekeze kwenye bond ya utt, tatizo anatishika kuwa huko ukiweka fedha siku ukizitaka kupata...
  10. Inamaana Tanzania nzima hakuna mtu anayeweza kuwa Senior Accountant mpaka akatafutwe India?

    Kwema wakuu Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka...
  11. Nguvu Ya Ukiri Inavyoweza Kuleta Matokeo Chanya Au Hasi Kwenye Maisha Ya Mtu

    "Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari", Yoe 3:10 SUV. Mtu aliyechoka sana kwa kukata tamaa au kwa kuchoka, mtu huyu anaweza kuinuliwa kwa kinywa chake mwenyewe, ama mtu huyu anaweza kuinuliwa na maneno yenye kumtia moyo. Ukiri wa mtu...
  12. Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

    Nyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.
  13. Madhara 5 ya kuoa/kuolewa na mtu uliyemhurumia/uliyemwonea huruma

    Tunakutana na changamoto mbalimbali katika maisha, pia katika utafutaji wa maisha tunapitia nyakati ngumu tofauti tofauti, zipo nyakati za kuumiza mioyo yetu, zipo nyakati za aibu, nyakati za kudharaulika kutokana na hali za maisha tunayoishi wakati huo. Wapo vijana unaowaona wamefanikiwa leo...
  14. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Habari wana forum, Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye... Hali ya ajira ni ngumu...
  15. Serikali wekeni sheria mtu asiingie airport bila VISA na Tiketi ya kusafiria

    Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi. Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama. Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo. 1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na...
  16. J

    Kuna mtu alishawahi kupata hii mikopo ya 10% ya Halmashauri inayotetewa sana na wabunge wa CCM Bungeni?

    Wakuu niaje, kuna mikopo ambaypo fedha zake hutengwa kwenye asilimia 10 ya mapato ya halmashauri, mikopo hii inaelezwa inatolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. sasa kwenye bajeti ya mwaka huu imependekezwa kwenye huo mkopo badala ya kutolewa asilimia 10 ya mapato, itolewe tu...
  17. Baada tu ya Kuisikia hii Nukuu ya Rais ya Radio One Leo, kuanzia sasa sina Lawama na Mtu nitamsubiria huyo wa Kumrithi 2030

    "Kila Matokeo ya Mitihani yakitoka Wizara ya Elimu akina Mkenda huniletea Vitabu vikubwa pamoja na Flash hivyo nikiiweka tu katika Computer yangu Kwanza huanza Kuangalia Kwetu Mkoani Kusini Unguja kisha nikiona huwa nasema Mama yangu ni nini hiki? Yaani Mkoa anaotoka Rais ndiyo unaongoza kila...
  18. Kuoa/kuolewa na mtu wa imani tofauti na yako kunavyoweza kuharibu uhusiano wako na Mungu

    Hili sio jambo geni kwa wengi wetu, tunaweza kuwa tumeshuhudia au tumesikia, na wachache tunaweza kuwa hatujakutana na changamoto hii au hawajaona kabisa. Kijana ambaye hajaoa/hajaolewa anaweza asijue shida atakayokutana nayo baada ya kuoa/kuolewa na mtu wa Imani tofauti na yake. Imani ni...
  19. Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in spinoff and will be focusing on death and conscience respectively. Imekua kama jambo la kawaida kwa...
  20. Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

    Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…