mtu

  1. M

    Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi 👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) 👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  2. Hii collabo kati ya mtu mzima Jigga (Jay-Z) na Slim Shady (Eminem) Renegade nani aliua (verses kali)?

    Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu. Mpaka sasa mzani wangu bado upo 50/50 verses za machizi wote nazielewa kiaina. Sijui kwa nini hawa mataita huu mkwaju hawa...
  3. Utajiri , umasikini unapatikana katika Akili ya Mtu

    Wakuu habari ya uzima Kiukweli Younger Generation waambie tu ukweli ili wasiendelee kupotea ili kuwa Tajiri au kuwa masikini na kuishi Maisha ya wastani ni namna unapoamua kuiweka Akili yako katika mitazamo chanya. That's way Kuna watu hawana MIKONO Wala Miguu ila wanamiliki ukwasi Mkubwa...
  4. Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi. Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika...
  5. NADHARIA Iringa: Mzee Kiyeyeu alizikwa na mtu aliye hai na kaburi lake lilizuia umeme wa TANESCO kuwaka

    Kando ya barabara ya Iringa - Mbeya maeneo ya Njia panda ya Mlolo kuna Kaburi la mtu aliyekuwa maarufu katika fani ya Uganga wa jadi mkoani Iringa na alifahamika kama Mzee Martin Kiyeyeu. Inaelezwa mzee huyu alifariki mwaka 1974 na kuzikwa lakini muonekano wa Kaburi hilo ni kama alizikwa hivi...
  6. D

    Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  7. Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

    Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu. Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi. Wakuu...
  8. Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

    Naomba kuuliza wakuu, eti mtu mwenye division four ya 28 anaweza kupata nafasi ya kusoma advance shule ya private?
  9. Kwanini kila mtu anataka kushindana na Diamond Platnumz?

    Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba. Je, kuna manufaa yoyote wakipambanishwa na Diamond? Kwa nini hawataki kushindana wao kwa wao au kushindana na Ali Kiba wote...
  10. S

    Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  11. Chawa hakai kwa watu walio wasafi

    Kumekuwa na huu msemo wa CHAWA kwa muda mrefu sasa. Mdudu chawa ni mdudu anayeishi kwa kunyonya dam za viumbe hai hasa binadam. Kwa tuliozaliwa miaka ile tuliishi nao sana hawa kwenye mashuka, chupi, nguo ama mablanketi yasiyofuliwa, na machafu, wanapenda sana pia kuoshi kweenye nywele chafu...
  12. Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Friends and Enemies... Sheikh Machachari wa minakasha na makongamano nayeye amevunja ukimya DHIDI ya wanasiasa na wale ambao wamekuwa vinara wa kauli chafu na matusi DHIDI ya Rais Samia. Sheikh MAZINGE ameendelea kusema kwamba wengine ndani ya nchi hii walikuwa wakimbizi wakaihama nchi pasipo...
  13. Wakenya wamjibu yule Mtu aliyetutisha Watanzania kuwa tusipowakubali DP World watahamia Kenya na tutajuta

    "DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote" Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
  14. S

    Mtu akiingia Ikulu kwa "ndodndokela" anakuwa hana ajenda (anapuyanga). Tuliyaona kwa Magufuli na sasa tunayaona kwa Samia

    Kuna hadithi ya mfalme aliyetaka kumuoza binti yake kwa mwanaume jasiri atakayeweza kuogelea kwenye bwawa la mamba mpk kulivuka na kufika upande wa pili . Wakiwa wamejipanga pembeni ya bwawa mwanaume mmoja alisukumwa na mwanaume mwenzake. Yule mwanaume alidumbukia ndani ya bwawa na kwa bahati...
  15. L

    Naomba mtu mwenye ramani ya nyumba ya kisasa vyumba 4

    Kama una ramani yenye vipimo tupia ndugu ,na mimi nianze project mdogo mdogo,Hela ya soda haukosi,barikiwa sana
  16. R

    Je, unaweza kumpa mtu nafasi ya kumiliki utambulisho wako milele kwa gharama ya Ksh. 7,000 (sawa na Tsh. 120,000/-)?

    Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa sarafu za kidigitali zenye thamani ya 7,000 za Kenya na mpaka sasa zaidi wa watu 50,000...
  17. Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

    Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
  18. G

    Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

    Wakuu habari. Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story mbili tatu na mwishowe tukabadilishana namba!. Badae kilichofatia tukakubaliana tuonane na...
  19. Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

    Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji. Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
  20. R

    Kuna mtu bado anabisha uwepo wa SUKUMA GANG ndani ya CCM? Lissu kawafariji wamenyanyuka kwa shangwe

    Tanzania kuna watu wanateseka kisiasa ila wamejificha; Tanzania imegawanyika; Tanzania haiwezi kuponywa majereha ya watawala kwa madaraka wala miradi ya maendeleo tunahitaji haki, usawa na ukweli. Kauli ya Lissu kwamba JPM hakuwa mwizi kama wengine; kwamba hakuuza nchi kwa mikataba imetufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…