Mahakama Kuu mkoani Mwanza, imemwachilia huru Daudi Kanyengele, baada ya kushinda rufaa aliyofungua kupinga kifungo cha miaka 30 jela, aliyohukumiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumnajisi binti wa miaka 5.
Hukumu hiyo iliyotowa Juni 23, mwaka huu...