Familia ya Njile John, mkazi wa Kijiji cha Imalilo Songwe, Kata ya Ubaruku, Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, imegoma kuzika mwili wa mtoto wao Mboto Njile aliyefariki kwa kupigwa risasi, ikidai kuhusika kwa walinzi wa Mbarali Highland Estate baada ya mtoto huyo kutuhumiwa kuingia katika shamba la...