msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wananchi Jimbo la Mpendae Wanufaika na Msaada wa Sikukuu

    Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu...
  2. T

    Msaada tafadhali - Kifungu cha 31(10) cha sheria ya kazi na mahusiano kazini kinanichanganya

    Kifungu cha Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Sura 366, Toleo Rekebu 2019 kinasema hivi: - 31(10) The pro rata amount of annual leave referred to in subsection (8) shall be calculated at the rate of one day’s basic wage for every 13 days the employee worked or was entitled to work. Na kifungu...
  3. Tutorial Assistant in Accounting - Msaada Mwenye uelewa na maswali yanavyoulizwa kwenye Written & Oral interview

    Msaada wakuu, mwenye uelewa wa maswali ya Interview ya Tutorial Assistant in Accounting Written na Oral huwa wanauliza nini naomba kujuzwa. Natanguliza Shukran 🙏
  4. Msaada simu imetoa mistari

    Wakuu msaada ,simu aina ya samsung s21 imetoa mistari kwenye kioo
  5. MSAADA

    Habari za wakati huu wakuu, kwa wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu mambo vipi. Baada ya miaka minne ya kukomaa shamba na kuambulia mabua, sasa naona ni muda muafaka wa mimi kujaribu bahati yangu kwenye gurudumu hili la utumishi kama wengine walivyojaribu. Nimekuja mbele yenu kuomba...
  6. U

    Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement ============ Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na...
  7. Ushauri na msaada

    Habari wana JF. niende straight kwenye mada. Nina kiwanja kina ukubwa wa sqmtr 405 maeneo ya mbezi beach goig upande wa juu. Ndani ya kiwanja kuna nyumba la zamani au niseme ni gofu sasa nilikua nataka kupaendeleza na pesa hiyo sina nafikiria niingie bank sababu ni sehemu ukipafanyia planning...
  8. Waziri wa maji, Maji ya kawe, Mbezi beach yanakuja na udongo, watu wana fungus wanaharisha pharmacy zimetuchoka msaada

    MHESHIMIWA WAZIRI WA MAJI, HABARINI ZA UZIMA. Pole sana na kazi zenu nyingi za kuhudumia wananchi. Napenda kukuletea kilio cha wakazi wa maeneo ya Kawe, Mbezi Beach na Makazi Mapya, ambao kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tatizo kubwa la maji ya bomba yanayokuja na udongo mzito...
  9. M

    Msaada Garage na Fundi mzuri wa Volkswagen Dar es Salaam

    Wanajamvi Msaada kwenye tuta Nahitaji fundi mzuri kwa ajili ya gari aina ya VW(Volkswagen) Napokea recommendation nitashukuru nikipata namba ya simu na location ya garage Natanguliza shukrani.
  10. K

    Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

    Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda Kyela lenye jina la Kyela Express. Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea. Namba ya Hilo gari...
  11. Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujiunga na Vyuo vya Uvuvi kama Mbegani-Bagamoyo na Nyegezi-Mwanza

    Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona chochote naomba kwa mwenye ufahamu anaipe ualewa zaidi.
  12. R

    Msaada wa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria

    Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine. Anaamua kutokwenda. 1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje? 2. Nimemshauri mtoto aende kambi iliyo karibu aripoti, inawezekana?
  13. Msaada : submeter MT electrical

    Habari ya wakati huu wakuu. Samahani naomba msaada anayefahamu zinapouzwa submeter kampuni hii Ya MT electrical nina shida na namba za wauzaji au operator hapa ninapo kaa nimeikuta hii meter na kwa bahati mbaya mwenye nyumba hajui fundi alinunua wapi na hana contact zake sasa sijui hata umeme...
  14. Nahitaji Msaada: Kuunganishwa na Fursa za Kazi za Kusafiri na Mabasi ya Mikoani

    .
  15. KERO Changamoto za mfumo wa Ajira Portal zinachochea Matapeli kuigeuza fursa!

    Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal. Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni lazima walau profile yako ya Ajira Portal, wenyewe wanaita dashboard ifikishe walau 70% na ili...
  16. Kwa Lugha rahisi na mifano msaada wa kujua tofauti ya active, portifolio na Passive incomes.

    Karibuni wataalam wa uchumi na masuala ya kifedha. Natanguliza shukrani.
  17. Msaada jinsi ya kuset ussd code zifanye kazi

    Habari za muda huu wakuu , Msaada jinsi ya kuset USSD zifanye kazi maana kila nikijaribu kuingia kwenye menu inaonyesha ussd code running alafu baada ya muda inaandika connection failed or mmi invalid
  18. Tumepoteza shillingi moja, tunaomba msaada wa kuitafuta

    Mathematical Riddle ; Fumbo la Hisabati Marafiki watatu, Gwajima, Wambura na CCM walienda hotelini kwa Tulia, wakalipia room shs.30/= , ambapo kila mtu alichangia shs.10/=. Baadae Tulia akagundua kwamba gharama ya chumba ilikuwa shs.25/= tu, hivyo akamkabidhi mlinzi Mafwela shs.5/= ili...
  19. R

    Naomba msaada wa kazi

    Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu...
  20. Nataka kwenda ujerumani, Canada au Australia katika hizo nchi moja wapo

    Habari wakuu ... Elimu yang diploma ya afya ..... Mpango ni kujiendeleza kielimu au kufanya kazi Uzi tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…