Habari zenu wadau, Naomba msaada wa kujuzwa kuhusu hii kitu Kwenye simu za iphone. Kwa sasa kumekua na matoleo ya iphone ambapo ni dual line ( laini mbili), lakini laini moja inakua ni eSim (laini usioiona kwa macho na inakua ndani ya simu).
Hoja yangu ya msingi hapa nataka kujua je, hapa...