msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Msaada wa lift kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Habari za wakati huu mimi ni binti mkazi wa Dar es Salaam ila kwa sasa nipo kahama, katika harakati za kujikwamua nilipata msaada wa mtu akanambia kuna kazi ya mgahawa hapa kahama hivyo nije kuanza na makubaliano yote yalifanyika ila baada ya kufika kwa nauli ya kujichanga mtu yule hapokei simu...
  2. A

    Msaada kuhusu maombi ya ualimu NACTE

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  3. Msaada wakuu laptop yangu (DELL) imegomea hapo toka juzi

  4. Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
  5. Msaada wa generator nzuri kwa umwagiliaji bustani

    Habari jf; Nina mpango wa kununua genereta. Ninaomba ushauri wa generator nzuri kwa ajili ya umwagiliaji bustanini (nyanya).
  6. T

    Kwa ufaulu huu naweza kusoma Shahada ya Sayansi ya Computer

    Habari zenu ndungu zangu.. Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science. Physics-E Chemistry-E Advanced mathematics-D
  7. 2

    Msaada wa kupata control number kwenye kujisajili loans board (helsb) 2021/22

    Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
  8. Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.

    Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
  9. N

    Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

    Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa. Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi. Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
  10. Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Wakuu habari zenu, Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
  11. Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
  12. Angalia hapa viwango vipya vya mishahara ya wafanyakazi wa serikalini

    TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh...
  13. Naomba msaada kwenye ajira portal

    Nimejaribu kujisajili kwenye ajira portal. Kuna kipengele kimeniletea shida nimeshidwa kuelewa nifanye vipi. Kipengele cha academic qualifications. Msaada wenu tafadhali🙌🙏🏻
  14. Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Heshima kwenu wakubwa zangu, na madogo hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Asubuhi hii saa 12 nimeota ndoto ambayo inaninyima raha sana, . Katika ndoto hiyo nimeota nimesingiziwa nimeiba box 9 za karatasi nyeupe yaani rim paper na kufungwa miaka miwili jela Nikiwa jela napata taarifa...
  15. Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai. Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua. Ninawashwa sana mwilini na vijipele...
  16. Msaada: Utaratibu wa kwenda nchi jirani na gari binafsi ukoje?

    Wakuu habari, Naomba kujua utaratibu au nyaraka unazotakiwa kuwa nazo ikiwa utasafiri na gari binafsi kwenda nchi nyingine, mathalani Kenya.
  17. Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  18. Msaada bei za simu Kariakoo

    Hope mpo poa.naomba kujua bei ya simu zifuatazo kwe bei ya jumla kwa dar(kariakoo):tecno 528,tecno 351,tecno 313,tecno 301,tecno 372,tecno 474,tecno 454,itel 2160,itel 2173 na bontel l 600.
  19. Walimu wa Geography naomba msaada

    Walimu wa Geography naomba points hata 4 za swali hili. It is argued that, population growth in developing countries has become the big problem. verify the statement by giving eight points.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…